ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

Hongera sana jembe zito zuberi kabwe.Mimi mpigakuwa nipo pamoja nanyi.Siasa sio unafiki na hila za kujilimbikizia mali kama ilivyodhihirika kwa vyama vilivyotangulia.Big up....tuko pamoja....nami huku mtaani kwangu napiga ndogo ndogo watu wakitambue chama cha ACT na sera zake.Mkija kwetu nitaomba kununua kadi niwe mwanachama halisi. ACT sio chama cha kikabila bali ni cha watanzania wazalendo.
 
Hongera sana ACT hizo ndio siasa tunazozihitaji.
 
Bavicha vueni magwanda tufanye kazi na ACT chama chenye demokrasia ya kweli..Wala huwezi hofia watu wa kabila fulani kuwa watoa maamuzi wakuu wa chama..ACT ni kazi kwenda mbele mpk kieleweke.!!!
 
Kuhubiri siasa ya Ujamaa katika dunia ya sasa, inataka ujasiri wa mwendawazimu!!!!!!
 
Bavicha vueni magwanda tufanye kazi na ACT chama chenye demokrasia ya kweli..Wala huwezi hofia watu wa kabila fulani kuwa watoa maamuzi wakuu wa chama..ACT ni kazi kwenda mbele mpk kieleweke.!!!
 
Hii hotuba ni ngumu kumeza , wenye chama chao watakapofikaa hapo Tanga wana ACT muende musikilize hotuba ya CCM yakuijibu hiyo-Kama unazijua siasa utatarajia ACT kugalagazwa na CCM kirahisi kama Mwandosya alivofanya. Hii hotuba ilitakiwa kutolewa mwaka 1995 its irrelevant in te current world political ana economic paradigm
 
JOHN WA MARWA

Anakimbiza mwenge? Kila anakotoka hakuna hata ofisi wala nini, Maccm na mikakati ya kizaman.

Msaliti hatofanikiwa

Siasa inayogusa maisha ya watu, haitaki ushabiki husio na logic. Huwez penda au chukia mtu ktk siasa eti kwa sababu fulani hamtaki. Wengi wenu mnamchukia Zitto kwa sababu wametofaugiana na Mbowe. Katika siasa hiyo kufilisika kihoja. Ukiulizwa why do hate Zitto? Jibu rahisi ni msaliti. Ukiambiwa uelezee huwa usaliti utasema kaanzisha chama ndani ya chama. Unacote maneno ya Mbowe. Acheni siasa za kushikiwa kama hamjasoma.
 
Last edited by a moderator:
Huyu kijana yuko vizuri sana,Mungu ambariki sana
 
Hii hotuba ni ngumu kumeza , wenye chama chao watakapofikaa hapo Tanga wana ACT muende musikilize hotuba ya CCM yakuijibu hiyo-Kama unazijua siasa utatarajia ACT kugalagazwa na CCM kirahisi kama Mwandosya alivofanya. Hii hotuba ilitakiwa kutolewa mwaka 1995 its irrelevant in te current world political ana economic paradigm

Unajua chama kilichoshinda Scotland mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu wa Uingereza?

Chama hicho ni Left wing...na kinafuata ideology ya ujamaa wa kidemokrasia....na kimepata ridhaa ya wananchi ambao wapo exposed na modern environment and economics....

Iweje useme mambo anayozungumza zitto ni irrelevant na out of date? ilhali jamii iliyoendelea inautukuza ujamaa wa kidemokrasia....?

Naona unaendeshwa na chuki upon reaching ur conclusion whenever u discuss anything said by Kabwe......and not reality.
 
Mkuu muulize taratibu usije ukamkimbiza tunasubiri majibu hapa

mcwe pia na mihemko bila kusahau hoja za msingi, huyo Limbu alikuwa mwnykit lakn co mwanzilishi, mwanzilish wa ACT ni ZZK, ni sawa na Mbowe kuwa mwnyekit wa chama lkn mwanzilishi alikuwa Mtei. Lkn pia mcsahau kuhusu uongoz wa ACT kuwa juu ya mwnyekiti kuna kiongozi mkuu wa chama
 
Back
Top Bottom