Kamanda tupe updated tunakutegemea sisi wengine tupo mbali Karatu huku.Mjumbe wa kamati kuu mama Terry ndo anapanda jukwaani. Mama huyu hujulikana kama mama ushauri anaesema kupitia kipindi cha mama ushauri ITV.
Jamaa anasema ACT WAZALENDO wamekuja kutafuta vijiji 103 vilivyoko mikono mwa CCM na sio vijiji vilivyochukuliwa na upinzani tofauti na wanavyosema wanapropaganda.
Umemaliza wajibu wako nenda kwamungu mtu umpe salamWafa maji always hutapatapa tu..pole zenu mliokata tamaa na mnaoamini maisha bila siasa hayaendi
Ikiwa kuna mheshimiwa manake pembeni kuna mdharauliwa. Sisi hatuitani waheshimiwa kuonyesha usawa wetu.
Ni juzi tu mlikuwa mnatoa povu kuhusu umuhimu wa ofisi!leo kulikoni kwa ACT?JOHN WA MARWA
Anakimbiza mwenge? Kila anakotoka hakuna hata ofisi wala nini, Maccm na mikakati ya kizaman.
Msaliti hatofanikiwa