ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

Unajua chama kilichoshinda Scotland mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu wa Uingereza?

Chama hicho ni Left wing...na kinafuata ideology ya ujamaa wa kidemokrasia....na kimepata ridhaa ya wananchi ambao wapo exposed na modern environment and economics....

Iweje useme mambo anayozungumza zitto ni irrelevant na out of date? ilhali jamii iliyoendelea inautukuza ujamaa wa kidemokrasia....?

Naona unaendeshwa na chuki upon reaching ur conclusion whenever u discuss anything said by Kabwe......and not reality.
Nilisema mtapata shida kama hamtaachana na CDM na ikatokeo je kutahadharisha ni chuki? Nikasema humu kadi zenu zitasombwa na Kinana imetokea , na hili la CCM kuja kuwaponda kwa kudandia sera yao na kuelezea vyama vyao vya TANU na ASP ni kuwapiga jeki na wanavojua kuongea naamini watu watawacheka mpaka basi. Unaonekana unayachukulia haya mambo ki-facebook , mi mazungumza siasa yenyewe ambayo unabisha leo kesho linatokea. Hii speech ni ufyagio kwa CCM .NI SAWA NA KUPASIWA MPIRA KWENYE MIGUU SITA KIPA HAYUPO.jiulize mbona sijasema Mbowe ama Lipumba lakini nakuambia CCM mi naongele siasa . Tafuta humu utakuta thread nimeandika Dr Slaa anatakiwa kurekebishwa utaona yaliyoandikwa, mi nipo huru ndio maana pia nasema wapinzani urais sahauni
 
Wafa maji always hutapatapa tu..pole zenu mliokata tamaa na mnaoamini maisha bila siasa hayaendi

Huyu nae vipi? Maisha yataendaje bila siasa? Maji, elimu, barabara, afya, umeme na shughuli zote za kijamii na kiuchumi zinasimamiwa na siasa, sasa unaikwepaje siasa? Halafu utakuta wewe ni mmoja kati ya wanaoitwa wasomi
 
Mimi nasibiria tu October hawa wasaliti watapata wabunge wangapi. Maana nikiangalia MP material ni Zitto peke yake.

Hakuna shida, hata huyo mmoja anatutosha, kumbe unakubali Zitto ni MP material, hata kwa hilo tunakushukuru
 
Huyu nae vipi? Maisha yataendaje bila siasa? Maji, elimu, barabara, afya, umeme na shughuli zote za kijamii na kiuchumi zinasimamiwa na siasa, sasa unaikwepaje siasa? Halafu utakuta wewe ni mmoja kati ya wanaoitwa wasomi

Nakuhurumia sana wewe usiejitambua ...pambana taaluma zisimamie uchumi..jamii..na sio siasa xisimamie hizo idara ..wanasiasa wapewe maelekezo na wenye taaluma bwana..ipo siku hayo ninayoyasema yatatokea
 
Huyu nae vipi? Maisha yataendaje bila siasa? Maji, elimu, barabara, afya, umeme na shughuli zote za kijamii na kiuchumi zinasimamiwa na siasa, sasa unaikwepaje siasa? Halafu utakuta wewe ni mmoja kati ya wanaoitwa wasomi

By the way
 
Nilisema mtapata shida kama hamtaachana na CDM na ikatokeo je kutahadharisha ni chuki? Nikasema humu kadi zenu zitasombwa na Kinana imetokea , na hili la CCM kuja kuwaponda kwa kudandia sera yao na kuelezea vyama vyao vya TANU na ASP ni kuwapiga jeki na wanavojua kuongea naamini watu watawacheka mpaka basi. Unaonekana unayachukulia haya mambo ki-facebook , mi mazungumza siasa yenyewe ambayo unabisha leo kesho linatokea. Hii speech ni ufyagio kwa CCM .NI SAWA NA KUPASIWA MPIRA KWENYE MIGUU SITA KIPA HAYUPO.jiulize mbona sijasema Mbowe ama Lipumba lakini nakuambia CCM mi naongele siasa . Tafuta humu utakuta thread nimeandika Dr Slaa anatakiwa kurekebishwa utaona yaliyoandikwa, mi nipo huru ndio maana pia nasema wapinzani urais sahauni

Ur twisting the words so far....ideology ya CCM ni ujamaa tena far left....lakini waliachana na ujamaa huo tangu nyerere alipong'atuka.....hivi kuua viwanda na kubinafsisha mali za umma ni ujamaa?

ACT wao ni center left na wanataka njia kuu za uchumi zimilikiwe na umma na kuleta haki sawa kwa wote katika fursa za kiuchumi....wapi wanapofanana na CCM kwa jinsi wanavyoenenda kwa sasa!

Nakuuliza kuhusu SNP unapiga chenga.......unasingizia facebook. Kwa sasa CCM sio wajamaa tena ni mabepari....mtu yoyote mwenye akili timamu atakubaliana na mimi. ACT lazima itofautiane na vyama vingine kwa ajenda na ndio siasa....ww Mfuasi wa CDM si ajabu hata ideology ya chama hujui.....

I realized that arguing with u is just wastage of time.
 
Chadema hawathubutu kufanya mikutano Tanga.
Wao kila siku ni Arusha tu.
 
Chama kinaongozwa na mshirikina hakifiki popote labda kuzimu kinaweza kufanya kazi zaidi.
 
Kwahiyo ACT ni chama kipya cha waislamu? maana namuona zzk ana iwinda sana mikoa yenye waislamu wengi.
 
Saccos ya wachaga imejikita sana uchagani kila siku,act wazalendo wanapita mkoa kwa mkoa kufyka mapori
 
Back
Top Bottom