Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Dah mkutano umeisha cm ilizima chaji lakini nitajitahdi kuwawekea picha inayonyesha nyomi pamoja na video.
We jamaa unafaa kujiunga na hicho chama
Dah mkutano umeisha cm ilizima chaji lakini nitajitahdi kuwawekea picha inayonyesha nyomi pamoja na video.
ofisi mchezo? Chagadema pamoja na ruzuku ya mabilioni bado wamepanga kule magoti
hawa ndio mashabiki wa ukwli wa hiki chama ,lazima ukutane na ukabila na udini ,hili ndio tatizo sugu la hawa jamaa mnakiharibu chama chenu rudini shule
We jamaa unafaa kujiunga na hicho chama

View attachment Act d.jpg
Siasa za udini siasa za ukandaACT twende kazi, kurudi nyuma mwiko.