ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

ACT twende kazi, kurudi nyuma mwiko.

doto mwogopeni mungu haya maneno mnamuhadaa nani kweli kuna ujamaa gani wakati mkuu wenu anatembelea hamer mwambie auze mali zake zote awe masikin kama sisi kisha atutangazie hilo azimio lake laa sivyo huu ni uchuuz wa siasa zilizopitwa na wakati zilizokosa mwelekeo kama zitto mwenyewe nyerere mwenyewe haya yalimshinda akiwa raisi je atayaweza ay.a.to.llah akiwa na kikundi tu cha watu wasiojitambua nyie msituzingue bwana tuacheni tukomboe nchi yetu.
 
Saaafi sana ACT wasaliti ni kama vile maiti asivyo weza kukosa wasindikizaji anapo pelekwa kuzikwa,mwisho wake ni kuachwa peke yake akionja adhabu ya kaburi.
 
Ukipokea shetani ni hatari kwa wasio na dhambi kila dakika majaribuni.
--zito ni yuda
 
Ndio kiwango chake cha juu, I can see his downfall ,hayo ni maeneo ya lipumba na Kinana.Ukizukuza hizom picha utaona uchache wa watu. you can count them

We don't count people.... Our main consern is message.....so if ur in competition with us.... forget about that.....we are delivering issues.....
 
Mods unganisha uzi huu na nyingine....kuna nyuzi tatu zenye maudhui ya aina moja.....unganisha tujidai na ACT yetu
 
ukitaka kumboa zitto muulize pesa ya ziara wanatoa wapi!?
 
Ameanzisha ACT akiwa ndani ya CHADEMA. Ni USALITI...Hilo HATOKWEPA MILELE.
 
Ayatola kitu gani?Alikuw
epo injii hii na sasa amekwisha na kuomba hifadhi kutoka kwa wazee wa chukua chako mapema!Sisi watu wa Tanga tunamju kuwa huyo ni ccm B,hivyo hatusumbui,ataondoka kama alivyokuja!
 
Sasa ndiyo anafanya kazi kwa jasho alizoea kwenda Ujerumani kula bata wakati wenzake wakifanya mikutano vijijini.
 
Back
Top Bottom