Polepole alipokuja kuikana katiba ya mh Warrioba pale ndo nilijua huyu mtu ni mchumia tumbo hana jipya.VERY SIMPLE MINDED!Aibuuu iliyoje hiiii.hivi polepole si ilisemekana kua ni mtu smart sana kichwani haya anayatoa wapi!!!
Aliwaingiza kingi tuMwenyekiti wa Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara, amejitokeza na kusema mtu huyo aliyehamia CCM, tena mbele ya mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. John Magufuli Juni 20, mwaka huu, hawamfahamu na hajawahi kuwa kiongozi wala mwanachama wa chama hicho.
Polepole alipokuja kuikana katiba ya mh Warrioba pale ndo nilijua huyu mtu ni mchumia tumbo hana jipya.VERY SIMPLE MINDED!
Inafahamika ACT ni AKIBA ya CHAMA TAWALA! Vinginevo mkataeni na yule mama Mwenyekiti wenu aliyehamishiwa mkoa wa kilimanjaro!Mwenyekiti wa Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara, amejitokeza na kusema mtu huyo aliyehamia CCM, tena mbele ya mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. John Magufuli Juni 20, mwaka huu, hawamfahamu na hajawahi kuwa kiongozi wala mwanachama wa chama hicho.
Maigizo ya CCMYule jamaa alikuwa bwiiiiiiii sana, wala hajijui alikuwa chama gani wakati anamwaga maharufu ya gongo aliyojimwagia!
Mlevi asubuhiMwenyekiti wa Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara, amejitokeza na kusema mtu huyo aliyehamia CCM, tena mbele ya mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. John Magufuli Juni 20, mwaka huu, hawamfahamu na hajawahi kuwa kiongozi wala mwanachama wa chama hicho.
Wengine si walevi wanaact na wanatumia mic ya rais wanaacha makinikia yao hapo mtakuja kujua baadae. Huwezi ruhusu pretenders kutumia mic ya rais, usalama wawe makini. He was not a mlevi bali ni pretender.Yule jamaa alikuwa bwiiiiiiii sana, wala hajijui alikuwa chama gani wakati anamwaga maharufu ya gongo aliyojimwagia!