ACT Wazalendo walia na INEC, sakata la Mpina kuenguliwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua

Tunaendelea kusubiri kuona ni namna gani ACT watalinda kura. Walituambia piga kura, linda kura. Sasa ni kama hata kwenye kura hawatafika.
 
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua

Hawajachelewa kuukwea mtumbwi wa kigiriki, NRNE.
 
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua

Ccm na act mnajitekenya na kucheka, msitubabaishe sie
 
Hivi walishindwa hata kudanganya kuwa Mpina alishajiunga nao toka mwezi wa sita??

Mtu kuwa mwanachama hai wa vyama viwili kwa wakati mmoja ni jinai?
 
hatari sana act wabishi sana, sasa walinde kura za urais
 
wanalalamika nini vyama shikizi? pumpaf zao watajua wenyewe madalali, inamana lijamaa na akili zake zote lilikua halijui kama zito ni mpango kazi wa mbogamboga? Stupid fellow
 
Hivi walishindwa hata kudanganya kuwa Mpina alishajiunga nao toka mwezi wa sita??

Mtu kuwa mwanachama hai wa vyama viwili kwa wakati mmoja ni jinai?
Huwezi kuwa mwanachama hai wa vyama zaidi ya kimoja kwa wakati moja. Katiba ya ACT inasema ili uwe na sifa ya kugombea nafasi ya Urais unapaswa kuwa mwanachama wao kwa miezi si chini ya mitatu. Maana yake hapa Mpina alipaswa kuwa ACT tangu tarehe 5 Mei, 2025. Akisema hivo tu anapswa kurudisha kiunua mgongo chetu cha ubunge maana bunge limekuja kuvunjwa rasmi kwa tangazo la Gazeti la Serikali tarehe 3 agosti, 2025 na yeye alikuwa Mbunge kwa dhamana ya CCM.
 
Nawaza kwa sauti na sipati majibu ni sheria gani ilimruhusu lowasa kugombea uraisi akiwa chadema akiwa chini ya mwamvuli wa ukawa na ni sheria gani inayomkataa mpina kufanya hivyo 😂😂😂😂?
 
Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua

Wanaweza kuwa wasiwe wa kubeza:

ACT mkikomaa hivi, mtatoa mfano wa namna mtu kujipatia anachoamini ni chake. Chake mtu, haombi!

Wiki ijayo itaongea.

Maongezi na marungu mikononi ndiyo siri ya mafanikio ya M23.
 
Back
Top Bottom