ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

Kama na wewe umesoma critical thinking basi elimu imekufa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,Mimi nilitegemea utetezi ujae vifungu vya sheria na kuonesha hayo madai sio ya kweli. Huo utetezi wa kupigania wanyonge mara viongoz wa serikali huwa wanasema bwana asifiwe mara tumsifu Yesu Kristo au asalam aleko ni utetezi wa kipuuz dhidi ya wafuas wake kusema takbir. Alichojaza huyo jamaa ni Appeal to emotions FALLACY.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Hivi mbona karibu viongozi wote wa ccm hua wanasalimiaga hivi, "Asalamu aleikumu" Hivi hiyo sio salamu inayotumiwa Zaidi na waislamu? Msajiri hajawahi kabisa kulisikia hilo!? Sasa hivi wasomi wetu wanadhalilika na kudhalilisha sana taaluma yao, halafu huyo ndio JAJI, mwee!
 
S
Sure ghfla utasikia mama mghirwa anarudi na kutaka uenyekiti wake, na hapo balaa ndipo huanzia haya mambo yote yapo planned.
 
Nilicho elewa kwako ni kitu kimoja tu, kwamba hata wewe unaweza kuongea kingereza na hope ulikwenda shule but sina hakika kama ulipata ELIMU, kabisa hilo sina hakika nalo. Kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekwenda shule na mtu aliyekwenda shule na akapata ELIMU; wewe bado sina hakika kabisa ingawa kingereza cha kuongea na kuandika hicho chenyewe sina mashaka kabisa, unakijua, hilo tu.
 
Hapo wakati wanachora hio ofisi ya CUF, walikuwa Tayari wameshakuwa wanachama wa ACT?. Nakumbuka hiyo video ya kuchora ofisi ya CUF ilisambaa tarehe 18.03, wakati siku hiyo aliyekuwa kakabidhiwa kadi ya ACT ni Maalim tu wenzake, hakuna mwanachama wa kawaida aliyekabidhiwa kadi siku hio
 
M
Mtu akijiita Misule ujue elimu haihitajiki misuli?
 
Zitto hoja ngumu usizijibu kwa bla bla ni vizuri ukaelewa jaji habipu amepiga maana ruzuku kaishafyeka kilichochobaki ni hako ka act utakimbilia mahakamani lakin utakuwa umechelewa nakushauri usiishi kwa maziea ya miaka ile ya siasa kuwa kichaka cha maovu yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mambo ya kanuni za fedha kumnasa Zitto labda msajili awe Utoh yule wa NBAA na baadae CAG.

Hayo mambo ya mahesabu msajili aende Chadema au pale CCM ya zamani yaani ni full madudu!
CCM ya zamani?!! Unataka tuamini kwamba kuna ccm mpya ambayo ni takatifu?!
 
According to hoja za msajili na yeye ana hoja nyepesi sana. Ni kama vile hana uhakika au ushahid kamili wa kilichotokea.
Hii kesi itakuw tam ikifika mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtungi ni kikaragosi cha dikteta na dhalimu wa Ikulu. Huu upuuzi wao wanaoufanya kwa hii miaka mitatu unaweza kabisa kuleta machafuko na umwagaji mkubwa wa damu nchini.

Msajili ajitafakari, la sivyo heshima kidgo aliyonayo nayo itapotea
 
Nimependa ulivyomalizia hotuba yako. Ifike mwisho na tuheshimiane....sote ni watanzania na TANZANIA ni yetu. Iweje wao wajione bora na watunza amani kwa kukiuka haki za wengine? Itatokea tu kwa waliowaoga
 
ACT-Wazalendo Shusha Tanga Pandisha Tanga; wamepanic hao mpaka busara na weledi vimewakimbia wanakurupuka tu, hawataweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…