mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Tofauti yake ni nini?hapa umekosea siyo kusudio la serikali ni kusudio la msajili wa vyama vya siasa usikurupuke
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti yake ni nini?hapa umekosea siyo kusudio la serikali ni kusudio la msajili wa vyama vya siasa usikurupuke
Sawa mkuu,Mimi nilitegemea utetezi ujae vifungu vya sheria na kuonesha hayo madai sio ya kweli. Huo utetezi wa kupigania wanyonge mara viongoz wa serikali huwa wanasema bwana asifiwe mara tumsifu Yesu Kristo au asalam aleko ni utetezi wa kipuuz dhidi ya wafuas wake kusema takbir. Alichojaza huyo jamaa ni Appeal to emotions FALLACY.
Sure ghfla utasikia mama mghirwa anarudi na kutaka uenyekiti wake, na hapo balaa ndipo huanzia haya mambo yote yapo planned.Kwa mtindo ule ule wa CUF rungu sasa linakuja ACT, msajili anatafuta tu kianzio na goma inaanza hapo. Haijalishi kama kuna kesi mahakamani ama nini. Yeye amefungua makabrasha yake, akaita watu wake wakaagiza chai na korosho, wakajiuliza tunaanzia wapi, sasa wamepata pa kuanzia na wataanza hapo hapo. Tutegemee safari za mahakamani sizizoisha. Mungu tu ndio anajua ameandaaa nini kwa CHADEMA
Tunazungumzia kuchoma Kadi. Mimi nakumbuka kwenye maadili ya uchaguzi mwaka 2010 ilikuwepo. Na sheria ipo tangu wakati huo.Sheria inayowafunga ACT ni ya mwaka.huu
soma katiba ya chama utaelewa.
Nilicho elewa kwako ni kitu kimoja tu, kwamba hata wewe unaweza kuongea kingereza na hope ulikwenda shule but sina hakika kama ulipata ELIMU, kabisa hilo sina hakika nalo. Kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekwenda shule na mtu aliyekwenda shule na akapata ELIMU; wewe bado sina hakika kabisa ingawa kingereza cha kuongea na kuandika hicho chenyewe sina mashaka kabisa, unakijua, hilo tu.Sawa mkuu,Mimi nilitegemea utetezi ujae vifungu vya sheria na kuonesha hayo madai sio ya kweli. Huo utetezi wa kupigania wanyonge mara viongoz wa serikali huwa wanasema bwana asifiwe mara tumsifu Yesu Kristo au asalam aleko ni utetezi wa kipuuz dhidi ya wafuas wake kusema takbir. Alichojaza huyo jamaa ni Appeal to emotions FALLACY.
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Hapo wakati wanachora hio ofisi ya CUF, walikuwa Tayari wameshakuwa wanachama wa ACT?. Nakumbuka hiyo video ya kuchora ofisi ya CUF ilisambaa tarehe 18.03, wakati siku hiyo aliyekuwa kakabidhiwa kadi ya ACT ni Maalim tu wenzake, hakuna mwanachama wa kawaida aliyekabidhiwa kadi siku hioNi kweli kabisa mkuuu. Walikuwa wanatafuta pa kuanzia na wameshapata tayari, watachukua picha ya yule jamaaaa aliyekuwa anachora ofisi ya CUF. Yule mpemba na kuanzia Apo. Siasa zina fitina sana, ogopa Sana watu wa mahakamani, wana zengwe kuzidi polisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watu mna mbwembwe sana, sasa hiyo CCM mpya ndiyo iko wapi?Hayo mambo ya mahesabu msajili aende Chadema au pale CCM ya zamani yaani ni full madudu!
Mtu akijiita Misule ujue elimu haihitajiki misuli?Nilicho elewa kwako ni kitu kimoja tu, kwamba hata wewe unaweza kuongea kingereza na hope ulikwenda shule but sina hakika kama ulipata ELIMU, kabisa hilo sina hakika nalo. Kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekwenda shule na mtu aliyekwenda shule na akapata ELIMU; wewe bado sina hakika kabisa ingawa kingereza cha kuongea na kuandika hicho chenyewe sina mashaka kabisa, unakijua, hilo tu.
CCM ya zamani?!! Unataka tuamini kwamba kuna ccm mpya ambayo ni takatifu?!Kwenye mambo ya kanuni za fedha kumnasa Zitto labda msajili awe Utoh yule wa NBAA na baadae CAG.
Hayo mambo ya mahesabu msajili aende Chadema au pale CCM ya zamani yaani ni full madudu!
Mkutano nimeangalia mwanzo mwisho.. mpaka na maandishi. Nakushangaa sana unaona kuwa act ni adui kwa cdm..inaonekana wewe hujaangalia Mkutano, tupishe tuliofuatilia wewe endelea kusuka huko Saluni
According to hoja za msajili na yeye ana hoja nyepesi sana. Ni kama vile hana uhakika au ushahid kamili wa kilichotokea.Zitto hoja ngumu usizijibu kwa bla bla ni vizuri ukaelewa jaji habipu amepiga maana ruzuku kaishafyeka kilichochobaki ni hako ka act utakimbilia mahakamani lakin utakuwa umechelewa nakushauri usiishi kwa maziea ya miaka ile ya siasa kuwa kichaka cha maovu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Msajili ajitafakari, la sivyo heshima kidgo aliyonayo nayo itapotea
😀😀CCM sasa eti wanamtegemea Mwenyekiti wa TFF ambaye ni Msomali toka Mogadishu kuwa atawaletea Alshaabab kuwakoa Wapinzani