ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
Kama na wewe umesoma critical thinking basi elimu imekufa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,Mimi nilitegemea utetezi ujae vifungu vya sheria na kuonesha hayo madai sio ya kweli. Huo utetezi wa kupigania wanyonge mara viongoz wa serikali huwa wanasema bwana asifiwe mara tumsifu Yesu Kristo au asalam aleko ni utetezi wa kipuuz dhidi ya wafuas wake kusema takbir. Alichojaza huyo jamaa ni Appeal to emotions FALLACY.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
6,569
2,000
Hivi mbona karibu viongozi wote wa ccm hua wanasalimiaga hivi, "Asalamu aleikumu" Hivi hiyo sio salamu inayotumiwa Zaidi na waislamu? Msajiri hajawahi kabisa kulisikia hilo!? Sasa hivi wasomi wetu wanadhalilika na kudhalilisha sana taaluma yao, halafu huyo ndio JAJI, mwee!
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
22,104
2,000
S
Kwa mtindo ule ule wa CUF rungu sasa linakuja ACT, msajili anatafuta tu kianzio na goma inaanza hapo. Haijalishi kama kuna kesi mahakamani ama nini. Yeye amefungua makabrasha yake, akaita watu wake wakaagiza chai na korosho, wakajiuliza tunaanzia wapi, sasa wamepata pa kuanzia na wataanza hapo hapo. Tutegemee safari za mahakamani sizizoisha. Mungu tu ndio anajua ameandaaa nini kwa CHADEMA
Sure ghfla utasikia mama mghirwa anarudi na kutaka uenyekiti wake, na hapo balaa ndipo huanzia haya mambo yote yapo planned.
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
6,569
2,000
Sawa mkuu,Mimi nilitegemea utetezi ujae vifungu vya sheria na kuonesha hayo madai sio ya kweli. Huo utetezi wa kupigania wanyonge mara viongoz wa serikali huwa wanasema bwana asifiwe mara tumsifu Yesu Kristo au asalam aleko ni utetezi wa kipuuz dhidi ya wafuas wake kusema takbir. Alichojaza huyo jamaa ni Appeal to emotions FALLACY.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Nilicho elewa kwako ni kitu kimoja tu, kwamba hata wewe unaweza kuongea kingereza na hope ulikwenda shule but sina hakika kama ulipata ELIMU, kabisa hilo sina hakika nalo. Kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekwenda shule na mtu aliyekwenda shule na akapata ELIMU; wewe bado sina hakika kabisa ingawa kingereza cha kuongea na kuandika hicho chenyewe sina mashaka kabisa, unakijua, hilo tu.
 
Mtambwe

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
713
1,000
Ni kweli kabisa mkuuu. Walikuwa wanatafuta pa kuanzia na wameshapata tayari, watachukua picha ya yule jamaaaa aliyekuwa anachora ofisi ya CUF. Yule mpemba na kuanzia Apo. Siasa zina fitina sana, ogopa Sana watu wa mahakamani, wana zengwe kuzidi polisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo wakati wanachora hio ofisi ya CUF, walikuwa Tayari wameshakuwa wanachama wa ACT?. Nakumbuka hiyo video ya kuchora ofisi ya CUF ilisambaa tarehe 18.03, wakati siku hiyo aliyekuwa kakabidhiwa kadi ya ACT ni Maalim tu wenzake, hakuna mwanachama wa kawaida aliyekabidhiwa kadi siku hio
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,283
2,000
M
Nilicho elewa kwako ni kitu kimoja tu, kwamba hata wewe unaweza kuongea kingereza na hope ulikwenda shule but sina hakika kama ulipata ELIMU, kabisa hilo sina hakika nalo. Kuna tofauti kubwa sana ya mtu aliyekwenda shule na mtu aliyekwenda shule na akapata ELIMU; wewe bado sina hakika kabisa ingawa kingereza cha kuongea na kuandika hicho chenyewe sina mashaka kabisa, unakijua, hilo tu.
Mtu akijiita Misule ujue elimu haihitajiki misuli?
 
omegas

Senior Member
Jun 3, 2018
112
250
Zitto hoja ngumu usizijibu kwa bla bla ni vizuri ukaelewa jaji habipu amepiga maana ruzuku kaishafyeka kilichochobaki ni hako ka act utakimbilia mahakamani lakin utakuwa umechelewa nakushauri usiishi kwa maziea ya miaka ile ya siasa kuwa kichaka cha maovu yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,704
2,000
Kwenye mambo ya kanuni za fedha kumnasa Zitto labda msajili awe Utoh yule wa NBAA na baadae CAG.

Hayo mambo ya mahesabu msajili aende Chadema au pale CCM ya zamani yaani ni full madudu!
CCM ya zamani?!! Unataka tuamini kwamba kuna ccm mpya ambayo ni takatifu?!
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,253
2,000
Zitto hoja ngumu usizijibu kwa bla bla ni vizuri ukaelewa jaji habipu amepiga maana ruzuku kaishafyeka kilichochobaki ni hako ka act utakimbilia mahakamani lakin utakuwa umechelewa nakushauri usiishi kwa maziea ya miaka ile ya siasa kuwa kichaka cha maovu yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
According to hoja za msajili na yeye ana hoja nyepesi sana. Ni kama vile hana uhakika au ushahid kamili wa kilichotokea.
Hii kesi itakuw tam ikifika mahakamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
111,836
2,000
Mtungi ni kikaragosi cha dikteta na dhalimu wa Ikulu. Huu upuuzi wao wanaoufanya kwa hii miaka mitatu unaweza kabisa kuleta machafuko na umwagaji mkubwa wa damu nchini.

Msajili ajitafakari, la sivyo heshima kidgo aliyonayo nayo itapotea
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,944
1,500
Nimependa ulivyomalizia hotuba yako. Ifike mwisho na tuheshimiane....sote ni watanzania na TANZANIA ni yetu. Iweje wao wajione bora na watunza amani kwa kukiuka haki za wengine? Itatokea tu kwa waliowaoga
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,468
2,000
ACT-Wazalendo Shusha Tanga Pandisha Tanga; wamepanic hao mpaka busara na weledi vimewakimbia wanakurupuka tu, hawataweza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom