ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

Najaribu kupata picha kwamba huyu Msajili pia ni Jaji..

Kama yupo hivi akiwa Msajili wa Vyama vya Siasa, vipi alivyokuwa huko Mahakamani kama Jaji..??

Offcourse mambo mengi sana akiwa kama Msajili inaonekana wazi kabisa kwamba amekuwa anaburuzwa na watawala..

Je huko Mahakamani hali ikoje alikopata kuhudumu kama nako alikuwa anaburuzika katika kutoa HAKI kama anavyoburuzwa hivi sasa?

Mungu epushia mbali.
Jaji mutungi kasahau akichokisomea kichwani kabakia na Elimu ya darasa la nne kama rafiki yake Lipumba kwa kifupi wote kwa sasa ni mbumbumbu hawajui watendalo bali wamejitoa fahamu ili waibe na kupora ruzuku ya CUF wanagawana
 
hapa umekosea siyo kusudio la serikali ni kusudio la msajili wa vyama vya siasa usikurupuke
Usivyo na akili, Msajili wa Vyama vya Siasa anafanya kazi ya nani? Au kwa akili yako Serikali ni nini au ni nani? Punguani kweli wewe
 
Pesa ruzuku ya CUF anayoiba jaji mutungi kwa kugawana na Lipumba imemfanya kuwa limbukeni mkubwa na sasa kajisahau
 
Kumekuwepo na madai ya watu Mitandaoni kuwa kwanini Msajili wa Vyama anawatuhumu wafuasi wa ACT-Wazalendo kuwa ni kosa kuchoma Bendera za CUF wakati CCM waliwahi kufanya hivyo.

CCM walifanya hivyo kabla ya Sheria Mpya ya Vyama vya Siasa kutungwa. ACT-Wazlendo wamechoma juzi tu Sheria mpya imeshatungwa.

ACT- Wazlendo msjie mkajidanganya mtaaibika.
 
n
baada ya Maalim kuhamia ACT sasa fitna rasmi zimehamia huko, kwanza fitna inaoata hadhi ya kuitwa fitna ni lazima iwe na hila za kujificha, hii ni waziwazi kwamba sasa CDM itaoumzika kidogo chochochoko zinahamia ACT.

Ili tuedelee tunahitaji siasa safi, kwa mantiki hiyo watanzania tusahau maendeleo, tuna matatizo makubwa ya kisiasa kwa sasa.

Awamu ya kupambana na watu usitegemee maendeleo, na awatomaliza kupambana na watu wakistukta muda unawatupa mkono
 
Kwa hiyo ikibainika waliochoma bendela na kadi za CUF ni wanachama wa ACT... bhas itakua ni sababu tosha ya kuifutilia mbali act?


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kuna agizo la chama kuchoma hizo kadi, kama hakuna agizo, ikithibitika muhusika atawajibika yeye kama yeye kwa uhalifu.
 
Jaji mutungi kasahau akichokisomea kichwani kabakia na Elimu ya darasa la nne kama rafiki yake Lipumba kwa kifupi wote kwa sasa ni mbumbumbu hawajui watendalo bali wamejitoa fahamu ili waibe na kupora ruzuku ya CUF wanagawana
Hasira za hatma ya kukosa ruzuku akiwa mnufaika mpya mbadala wa maalimu
 
Hizi njama hazitofanikiwa kamwe

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Usiariasi haupimwi na nyie CCM bali hupimwa na watanzania ambao wanagandamizwa na kuonewa na chama chenu!!

Hii nchi haijawahi kuongozwa na chama kingine chochote kile cha siasa, na kila rais toka CCM akija husema aliyemtangulia aliendesha nchi hovyo. Maana yake nini?
Sina uccm wala uchadema,kwanza wapinzani waoga sana,waongo,ni rahisi kuwanunua kushinda hata juice ya azam.
 
Hawajamjibu kwa kigezo hicho wamesema wale waliochoma bendera za CUF hata msajili mwenyewe hana uhakika kama ni wanachama wa ACT.
 
Nimesoma Huo utetezi, Kwa waliopitia ka module ka critical thinking watakubaliana nami Jamaa kajaza PUMBA tupu.Watu wanachoma kadi na bendera we unaleta story za chama chetu kinapigania wakulima wa korosho mara mbazi mmmmmmh. Hizi ni Illogical arguments.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Kama na wewe umesoma critical thinking basi elimu imekufa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom