ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

Huyo Zitto wakati chadema wanampinga jiwe 2015 yeye na wenzake hawakutoa hata neno la kumpinga Jiwe asiingie madarakani. Hashimu Rungwe ndio alikuwa akiongea kwenye mikutano yake kutomchagua Jiwe .Acheni wamnyoshe ili ajifunze, kwamba wenzako wanavyompinga shetani sio wajinga
 
Kwa ulaji huu wa Ruzuku ACt itajifuta mapema kabla haijaanza
ACT waiache tu tukumbuke yaliyompata Lipumba amepotea kabisa katika ramani ya dunia, tukiendelea kuibughudhi ACT, ikijiunga tu na CHADEMA na kuunda chama kubwa watatufuta sisi wa sisyemu kwenye historia kama Kenneth Kaunda walivyomfanya
 
Back
Top Bottom