ACT-Wazalendo tangazeni sera za Chama chenu sio mtu

ACT-Wazalendo tangazeni sera za Chama chenu sio mtu

Wataishia pale October mfadhili wao atakasitisha msaada!
 
Unataka watangaze sera ipi tena? Sera yao ni ile ya ujamaa na moja ya misingi ya ujamaa ni kuwa na usawa. Hivyo tunasubiri wauze mali zao ili wawagawie maskini kwa lengo la kuweka usawa.

Imekaa njema hii za zile milion miasaba 700,000,000/=tasilimu walizoomba toka chama chawala watujengee japo kadispensari na kashule kamoja ka msingi na kengine ka sekondari
 
Ivi zitto ndo atagombea ubunge majimbo yote au vip make simsikii mtu mwingine zaidi ya zitto ACT
 
labda nkuulize ndugu, unaijua ilani na katiba ya Chadema?kwa muda mfupi nliokuwa nakifuatilia hiki chama cha wazalendo nmeipata katiba yao pamoja na ilani yao ya uchaguzi. Pia fatilia mikutano yao utaona wanatangaza sera zao na nini watawafanyia wananchi.
Kama uiliweza kutafuta katiba ya act leo ukiwa act kwa nn ulishindwa kutafuta katiba ya cdm?....au ndio nyie wanachama mnaomfuata mtu?.... ndio mnaojikomba kwa riais na kuwasingizia watu kuwa mtu fulani nduiye anayeiyumbisha serilkali.... mtakufa nyie na roho zenu mbaya. ukiwa mnafiki wakati wa ujana utakuwa mchawi uzeeni.
 
Back
Top Bottom