ACT-Wazalendo tangazeni sera za Chama chenu sio mtu

ACT-Wazalendo tangazeni sera za Chama chenu sio mtu

Hilo swali lirudi na kama kwako pia kwanini kila kukicha Chadema mnamwandama Zitto na kumwita majina ya ajabu au ndio sera ya chama?
 
Kweli kabisa mtumishi. Na wajinga wengi wanajiunga na hicho chama kwa kumfuata Zitto siyo chama. Chama ni sera, mikakati na vision. Yaani kile chama unaweza hata kukiita Zitto Followers Party yaani ZFP. Na ukweli wa hili ni kuwa kila anayejiunga kule anasema anamfuata Zitto lakini hasemi chama. Kuna watu wajinga watakao mfuata Zitto mpaka chooni wasijue kuwa anaenda kujisaidia watakachoambulia huko ni harufu tu ya kinyesi kwasababu wanakwenda kama bendera fuata upepo. Wajinga ndio waliwao!

Hebu waacheni wajinga wamfuate zitto na nyie wajanja mbaki kwenye vyama vyenu, tatizo liko wapi? au na nyie munawekeza kwa haohao wajinga? Lakini hebu ni kuulize kati ya ACT na vyama vyenu vipi vinaongozwa na wajinga, kuanzia elimu itikadi na uwezo wa kimkakati? Zitto katokea chadema inamaana kaondoka na wajinga wake? basi waliobaki ni mazuzu.
 
Naomba kujua mikakati ya ACT nchi nzima, je viongozi wa wenu wa chini nchi nzima wamepatikana vipi na wametokea wapi, na kama wametoka kwenye vyama vingine kwa hiari au kufukuzwa je wana nguvu gani ya ushawishi katika sehemu husika, msitumie mikutano ya zito kuona kuwa mmekubalika, viongozi wa wilaya au kata mnaweza kuendeleza sera zenu bila ya msaada wa zito?, chama kinaendeshwa kuanzia kwenye mashina

Sasa inakuhusu nini, si mwache yamsinde kinacho kushupaza ni nini?
 
Sasa inakuhusu nini, si mwache yamsinde kinacho kushupaza ni nini?

Yaleyale, njoo na hoja si kuleta maneno ya mipasho hapa, naona you are not great thinker, i am sorry
 
wacha kudanganya wewe,mbona kote alikopita hakuna alichoacha? Mfn njombe hata viongozi WA hicho kikundi hawajulikani hadi sasa.

ZITTO alitupatia kadi kwenye gari na mimi nikiwepo,alipokuja Dodoma.baada ya kutoka karibia wote tulizitupa kadi zake sisi tulikuwa tunamsanifu tu.
 
Kuna kosa moja la kimkakati na kiuelewa wanalifanya hawa watu mbali ya kutomjua adui yao na kupambana na CHADEMA nalo ni kufanya siasa za mtu badala ya sera za Chama.

Kutwa nzima wamejaa humu kumpromote na kumtetea Zitto badala ya kutangaza Sera za chama.

Ni hatari sana kwa chama kuwekeza kwa mtu kwasababu hamna Mkataba na Mungu.Hivi ikitokea Mungu akamchukua Zitto ndiyo mwisho wa ACT-Wazalendo?

Mtakaa sana kuandika mwakahuu, kwani kufa yeye wakwanza! du! polen sana wacheni chuki, unafki huu si muda wa hayo mambo badirikeni
 
Hilo swali lirudi na kama kwako pia kwanini kila kukicha Chadema mnamwandama Zitto na kumwita majina ya ajabu au ndio sera ya chama?

Seyo sera ya chama ila ni uzezeta walio jivisha wenyewe na kamwe hauwezi kuwasaidia
 
Yaleyale, njoo na hoja si kuleta maneno ya mipasho hapa, naona you are not great thinker, i am sorry

Kuna hoja gan hapo? kila siku mnakuja na chuki za kitoto tena zilezile hambadiliki, kama mmegandishwa ubongo, hv kwa akilizenu kutoa chuki ndo kumdidimiza zitto? njoo na mapya si ugoro wa kilasiku
 
Mleta Mada,
1.Ndani ya Jamii forum ZZK anatajwa sana sio tu na wana ACT bali members wote,wanachofanya ACT ni ku-counter attack mashambulizi ya CDM,Bavicha na wengineo dhidi ya ZZK,hatuwezi kukaa kimya tukimuona ZZK akichafuliwa na kikundi flani cha wahuni walioamua kwa matakwa yao ya kisiasa na kiuchumi kumuita msaliti.Na nikuhakikishie as long as Chadema wanaendelea kuanzisha thread zenye nia ya kumchafua,Trust me His name is in JF to stay,na hatutakaa kimya katika kumtetea hadi tutaelewana.
2.Dhana ya ACT kuwa mtu na sio Chama ndio moja ya Propaganda ambazo kwa kuongozwa na Chadema zimekuwa zikiaminishwa kila kukicha hali ya kuwa ACT sio mtu bali ni chama cha kutetea wanyonge wa nchi hii na wazalendo kwa ujumla,tunalisema hilo na tutaendelea kulisema hatutasimama kamwe na tutapita kila kona ya nchi hii wananchi walijue hilo,mwisho wa siku wao ndio wataamua.
 
  • Ivi ZZK ndiye akae gambea majimbo yote ya tanzania? Huyu ZZK ndiye atagomea udiwani tanzania nzima? nina shaka na viongozi wa hiki chama

    ​

ukitaka kulijua hilo subiri bunge livunjwe....
 
MBONA MAMBO WANAYOKUBALIANA MBOWE NA SLAA SEBULENI NYUMBANI WAKIYAFIKISHA OFISINI ASUBUHI LAZIMA YAPITE?CDM ni MBOWE na SLAA.Wengine wajumbe ndio,ukihojihoji unanaambiwa umetumwa unapigwa chini.
 
ZZK ili tukuelewe sera yako ya ujamaa nenda kauze hammer, nyumba yako na kila chenye thamani uwape maskini kisha na uenende ukikijenga chama chako katika ukweli na HAKI
 
Ungana na wazalendo katika mkutano wa ACT katika viwanja vya furahisha mjini Mwanza kupitia RFA kuanzia saa 11.

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
 
Ukiwa mtu makini utagundua Zito ameacha siasa za kuleta Ukombozi unaoambatana na Mabadiliko ya kweli yenye kuleta mrejesho na matokeo halisi kwa WANANCHI.

Badala yake tuonaona Zito amebakia kuendesha siasa za:-

-Kujijenga na zenye kumpa UMAARUFU yeye mwenyewe.

-Hana kusudio la kukibomboa au kukiathiri chama tawala (CCM) ila amedhamiria kwa dhati kabisa Kuubomoa Upinzani shabaha yake kuu hasa ni CHADEMA.

Inatia aibu,SHUJAA kugeuka kuwa KIBARAKA,kilichobakia ni kumhurumia tu Zito maana safari yake ya kisiasa inamtatanisha,alikofikia hajui ATOKAKO,ALIKO wala AENDAKO.

NAMHURUMIA ZITO KABWE maana Mwisho wa yoote atavuna fedheha.
 
Kiukweli inasikitisha sana, mtu aliyeaminiwa na wengi kukengeuka namna hii!
 
Alipo nusa kwa washahi tu! wakaanza kumzomea!! ... Nadhani hakuna kile kibao kinasema sasa Unaingia Mkoa wa MARA!!

Back
Top Bottom