ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

Umexhasema n ACT hicho n chama kilicho jipanga na kina malengo ya kupata wabunge wengi hvyo mikutano inayofanywa n kujipanga kwao kama vyama vyenu. Havijajipanga huko huko cyo wazalendo ww
 
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?

Wadhamini wa chama ni akinanani.

Kama mtanzania nahitaji majibu?

Chukua kadi ya ACT uwe mwanachama utapata undani wao ila kwa sasa sababu sio mwenzao huna ulazima wa kujua wanapata wapi pesa. Mambo yao ya ndani kama vyama vingine. Waacheni jamani.
 
elewa kwamba mmi sio mwanasiasa wala mwanachama wa chama chochote kile hivyo naongea juu ya kile ninachokiona

ACT inawahitaji sana watu kama nyie ambao hamjaamua kujiunga na chama chochote.....ACT ina imani kuwa huenda moja ya sababu ya kutokujiunga na chama chochote ni kuwa hadi sasa hamjaona chama chenye malengo chanya kwa taifa hili, kutokana na hivyo basi ACT imeletwa ikiwa na muundo, sera na malengo yatakayowavutia sana watu kama wewe.

Karibu ACT
 
Nudgu mimi ni mtumishi wa umma hivyo sheria hainiruhusu kufanya hivyo, so naitakia kila la kheri ACT kwenye safari yake ya mafanikio
 
ACT wazalendo mwendo mdundo. mtajiju.

Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?

Wadhamini wa chama ni akinanani.

Kama mtanzania nahitaji majibu?
 
Mkuu [MENTION]BAK [/MENTION] , nilikua nakutahdharisha tu kuwa uwe makini. Hata kama unapishana kimawazo na ZZK, lakini jamaa kwa sasa ndio habari ya mujini. Tuungane nae kuleta mabadiliko ya kweli.

Atushawishi kwanza kwa kutuweka wazi anakopata pesa,maana hatutaki haramu sie maana hatujui italipwa vipi
 
Wanajamvi nisaidieni, hivi ACT-Tanzania na ACT-Wazalendo ni chama kimoja? Naona kama kuna chama kimejisajili kinyemela hivi!
 
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?

Wadhamini wa chama ni akinanani.

Kama mtanzania nahitaji majibu?

Mbona majinu yako wazi? Zitto kaondoka CHADEMA, kaondoka na lundo la wanachama wa CHADEMA na sehemu ya Wazungu ambao wamekuwa wanafadhili M4C na fujo mbalimbali za akina Tundu nchini. Mbowe na Slaa wanalijua hilo: Zitto kaondoka na baadhi ya Wazungu wanaofadhili upinzani Afrika. Umeelewa!
 
Mbona majibu yako wazi? Zitto kaondoka CHADEMA, kaondoka na lundo la wanachama wa CHADEMA na sehemu ya Wazungu ambao wamekuwa wanafadhili M4C na fujo mbalimbali za akina Tundu nchini. Mbowe na Slaa wanalijua hilo: Zitto kaondoka na baadhi ya Wazungu wanaofadhili upinzani Afrika. Umeelewa!

Hao wazungu ni akina nani?
 
ACT ni chama cha mtu sasa unataka kujua chanzo cha mapato ili iweje.Ukiwa ACT wewe hutakiwi kuuliza kitu wewe ni Ndiyoo.
 
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.

Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.

Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi?

Wadhamini wa chama ni akinanani.

Kama mtanzania nahitaji majibu?

Wivu bhana....mmemtimua tena kwa mbwembwe kakaa kimya kajiendea ACT anafanya mambo nyie huku midomo na prsha juu...tulieni mnyolewe ninyi
 
Mkuu acheni kutafuta visingizio,.......michango ya wanachama na wapenzi wa wachama inatosha kuendesha hiyo mikutano, pia kuna huduma ya vodacom abayo mtu yoyote anaweza kuomba tune ya chama na akachangia kidogo kama 200...mdogo mdogo mambo yanakaa sawa.

Hahahahaaaa umenichekesha sana we mwana ACT.....swali la MSINGI jibu JEPESI
 
Ungana na Wazalendo kwenye mkutano unaofanyika katika viwanja vya furahisha Mwanza LIVE kupitia RFA kuanzia saa 11

ACT WAZALENDO, TAIFA KWANZA, TURUDI KWENYE MISINGI
Mimi naupenda huo uzalendo, lakini kama kweli ninyi ni wazalendo, wekeni hapa chanzo chenu cha mapato. Naona chama chenu kilianza zamani kidogo lakini hakikupata kufanya mambo hadi siku kiongozi wenu mkuu alipochukua kadi na kupewa uongozi ndipo tukaanza kuona harakati. Je, ZZK ndiye ACT? Je, mna ujasiri wa kutueleza mnapata wapi mapato yenu kwa ghafla namna hiyo? Kwa nini tuwaamini?
 
Wana visima vinaitwa hazina na kingine kinaitwa Rostam Aziz, wanajichotea tu za kutosha. Kamwe hawawezi kuelezea vyanzo vyao vya mapato halali kwa sababu hakuna kitu kama hicho.
Nimeipenda sana hii kwani fedha hizi zinatoka kwa Mwigulu na lazima tujue mwigulu anazipata wapi? Pia kambi iliyo chini ya Rostam inatoa fedha nyingi sana kwa huyu MSALITI na MPENDA PESA.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu BAK , nilikua nakutahdharisha tu kuwa uwe makini. Hata kama unapishana kimawazo na ZZK, lakini jamaa kwa sasa ndio habari ya mujini. Tuungane nae kuleta mabadiliko ya kweli.

Nimewahi kukushauri uwe unaandika taarifa zako kabla ya kutumia UGORO ila unakuwaga mbishi! fanya hivyo utaona utaandika 'points' tofauti na sasa unatoa UHARO tu.
 
Jamaa kaomba Million 700 za mikutano, matangazo na wanahabari kwenye vyombo mbalimbali vya habari na huku kwenye mitandao ya kijamii. Wameajiriwa wengi sana nadhani ajira hizo ni kati ya zile millioni moja JK alizosema.

hahahaha hii nmeipenda... huenda kweli zile ajira milion moja mojawapo ni ya hawa wasema ovyo hku jf....
 
Back
Top Bottom