GE2025 ACT Wazalendo: Luhaga Mpina amejiunga na chama kitambo sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho.

Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita, amesema Mpina si mgeni ndani ya chama kwani alijiunga nacho muda mrefu uliopita na tayari ni sehemu ya harakati zao. Amesisitiza kuwa chama hicho kipo wazi kwa viongozi na wananchi wote wanaotaka kushirikiana katika kuleta mabadiliko ya kweli nchini.

View attachment 3448687
Pumbavu shenzi, kwahiyo alikuwa CCM akiwa ACT? Ana vyama viwili? Is that allowed by law? sheria ya vyama vya siasa inasemaje kuhusu hilo?
 
njaa hainaga adabu...

Sasa kama alishajiunga toka zamani na ACT kule CCM aliombaje kugombea Ubunge tena?? Kwahiyo alikuwa na mwanachama wa vyama zaidi ya kimoja kwa wakati mmoja...

Mpina hana sifa za kugombea Urais kwa ACT kwasababu Sheria ya Vyama vya Siasa ya Tanzania (Political Parties Act, Cap. 258, Marekebisho ya 2011 – Act No. 11 of 2011) inasema

"Mtu hataruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa zaidi ya kimoja kwa wakati mmoja."

Na kifungu cha 14(4) kinafafanua kuwa iwapo mtu ataamua kujiunga na chama kingine, uanachama wake wa chama cha kwanza unafutika mara moja kisheria, hata kama hajakata kadi ya kwanza rasmi.

kwahiyo huu ni ushahidi tosha kuwa zile rabsha za Mpina na Utawala zilikuwa drama.. Huyu ni Sellout tu wa CCM kuaminisha watu kuwa kuna wagombea...
 
ACT kuna vilaza wengi sana kwenye uongozi

Sijui maalim alijichanganyaje, nadhani ilikua short plan ili aingiee kwenye chaguzi badae aunde msingi wa chama chake bahati mbaya mauti yakamkuta

Hata kule Zanzibar kwa sasa hakuna upinzani ni kiini macho tu
 
Safi sana. Hii nchi kila mtu TAPELI. Poleni sana waTanzania mtafika mmechoka sana.

#Oktoba#Linda#Kura

#Oktoba#Tunatiki

#NoReforms#NoElection
 
Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho.

Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita, amesema Mpina si mgeni ndani ya chama kwani alijiunga nacho muda mrefu uliopita na tayari ni sehemu ya harakati zao. Amesisitiza kuwa chama hicho kipo wazi kwa viongozi na wananchi wote wanaotaka kushirikiana katika kuleta mabadiliko ya kweli nchini.

View attachment 3448739
Muda mrefu kivipi, wapi lini na nani?
 
Back
Top Bottom