jamaa wana propaganda za kisenge sana yaani
and it is getting old
sasa wamegeukia Chaumma
the same way,watapitwa sasa hivi!
Changamoto kubwa kwenye hivi vyama vya siasa hapa nchini vina watu wengi wenye akili ndogo.
Haiwezekani mtu/watu ukae nao miaka zaidi ya 10 unawasifu kila siku tena kwa mapambio ya kila aina.
Ghafla kuja kuondoka wageuke jina ghafla na kuonekana kuwa walikuwa hamnazo.
Lazima tujue kitu mtu huwa habadiliki ghafla kufanya ujinga kama hajauzoea huo ujinga hata kwa siri.
Narudia tena mwanasiasa yeyote yule duniani kwanza hutanguliza maslahi yake au ya wale wanaompa nguvu halafu ndio maslahi ya watu yanafata.
Kuthibitisha hili jikumbushe ishu ya tarrifs kati ya CHINA na USA je Trump alibana kote kwa rungu la tarrif au kuna sehemu alilegeza.
Natamani sana CCM wabadilike wamfae kila mwananchi na nchi kwa ujumla ila kwa aina ya watu wengi waliopo katika siasa za upinzani safari bado ndefu.
Hizi shutuma za usaliti zinazomuandama MBOWE sasa hivi ni siasa ambazo alizipanda yeye mwenyewe na anazivuna sasa hivi kwahyo wala asione wanamkosea wenzie.
Ila tu na Lissu nae ajiandae kikombe kilekile alichomnyweshea Mbowe nae atakinywea tuombeni uzima muda utakuja kuwa shahidi.
Pale Chadema miaka yote ya MBOWE alipokuwa mwenyekiti ilionekana yeyote anaegombea katumwa na CCM na ni msaliti propaganda iliyomgeukia MBOWE mwenyewe.
Kwahyo atakaefata kuchukua kiti baada ya Lissu kama kutakuwa na mtifuano wa uchaguzi basi hili suala la usaliti lazima liendelee.
Interview iliyommaliza MBOWE ni ile aliyoifanya LISSU na BBC akasema mwenyekiti toka atoke jela amebadilika.KAZI IKAWA IMEISHA.
LISSU alimuita MAGUFULI dikteta uchwara hilo jina aliitwa na wanachadema wenzie.