fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Kwa CDM watu washaweka nukta,Yani mpaka mkoloni mweusi(CCM) anatoka.
Uzuri wajinga wengi wameondona CDM(maombi yamejibiwa it's natural selection),imebaki pure cream.
Mwalimu wangu wa Advance aliwahi sema,Ni Bora kutawala wajinga buku(1000) kuliko welevu/wasomi wawili.
Ndicho kinachoendwlea,plus generation ya 1990`S na vitoto vya 2000 ni hatari.
Si miaka mingi kita-happen maana mnajua watu wengi wanaokimbilia CDM ni very bright na reasonable people's.
HIVI MMEJIULIZA WALIOMFURUSHA MBOWE NI KINA NAN?
Tulieni haya mambo yanahitaji subra tu ila yapo njiani.