PreGE2025 ACT- WAZALENDO lieni kimyakimya msipige kelele

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,940
Reaction score
831,468
Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!

Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..

Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA

CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF

Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
 
Watanzania ni watu wajinga sana hapa duniani l. CCM inawacheza kama kitenesi
 
Kipindi kile Lipumba alijifungia ofisi makao makuu ya CUF, Mpaka ikabidi Hamad atandike daruga tu, aka hamia ACT
 
chadema wana tabia mbovu sana

wana tabia ya excuses

yaani their own weaknesses badala wajilaumu wenyewe kwa kua na akili ndogo na kufanya makosa yanayowa cost hua wanaishia kulalamikia watu wasiohusika

wao hawafanyagi kosa,hapana,it is always others

CUf did blunders,act wakafaidika

chadema is doing blunders wanaofaidika ni chaumma na act na maccm

chadema sasa wanachofanya now,malalamiko,wao hawana kosa,hapana ,ni wengine ndio wana makosa

kama juzi wanamlalamikia mbowe

juzi kati wanailalamikia ccm

leo wanailalamikia aCT

mpaka mwisho wa siku chadema inayeyuka watamlalamikia sijui nani

yaani chadema ni mataahira,ccm,act,chaumma ni competitors wenu,na kazi zao ni kuiua chadema kama chadema inavyotaka kuwaua wao

chadema inadhani chaumma au act au ccm ipo hapa kuwa-treat vizuri na kuwaabudu sijui blah blah,wapo hapa kuua competitors,ndio maana ya competition

you motherfvckers will never learn!
 
Kama huna matusi basi hujawa kada wa Chadema . KAZI YAO MATUSI. Wanapigania Demokrasia lakini hawajui Demokrasia . Kwao mtu yeyote ambae sio Chadema atapewa majina yote mabaya .
 
ACT kifo chenu kishafika, mpango ni kuinyenyua CHAUMA kwa gharama yoyote ile iwe chama kikuu cha upinzani.

Akili kichwani mwenu.

No Reforms
 
Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!

Vema msijisahau kwamba ile ilikuwa ni kandarasi na mlilipwa.. Ilikuwa ni biashara japo ya kificho kwakuwa haikuwa na stakabadhi za malipo! Na kwa namna fulani mliinyima mamlaka ya mapato, mapato yake stahiki..

Kandarasi ikiisha kambi inafungwa.. Wahusika wanatawanyika.. Sasa tawanyikeni.. Kandarasi mpya si yenyu tena! Zali limemwangukia CHAUMIA

CHAUMIA ndio habari ya mjini kwasasa .. Kwenye kandarasi ya kuifubaza CHADEMA.. sijui watafanikiwa kwa kiasi gani lakini nijuavyo kwa hakika CHADEMA sio CUF

Nimeona mahali ACT wameanza kulia...someni alama za nyakati.. Kama macho hayaoni.. Basi masikio yenu yasikie
Mkuu naskia Madeleka amehamia ACT kwa mkakati maalumu. Ni kweli?
 
Chaumma imekuja katika kipindi ambacho uelewa wa mambo kwa watanganyika siyo sawa na ule wa 2013 au 2014.
Hii chaumma project imeferi kabla haija kutekelezwa. Ni nani ataenda kuwasikiliza??
Wanakuja kipindi ambacho technology ipo juu,kulinganisha na miaka hiyo uliyotaja,ndo maana chadema ni ngumu kufa kwa sababu utandawazi na matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii, ingekuwa technology ipo chini, chadema nayo ingekufa chaliii,maana sasa hivi wananchi wanafatilia kila unachosema leo na kesho, wanajua huyu ni mganga njaa au anapigania kweli mabadiliko,naamini ktk wakati ambao chadema itaungwa mkono na watu makini ni sasa kuliko kipindi chochote kile!
 
Kama huna matusi basi hujawa kada wa Chadema . KAZI YAO MATUSI. Wanapigania Demokrasia lakini hawajui Demokrasia . Kwao mtu yeyote ambae sio Chadema atapewa majina yote mabaya .
mkuu

naona waliokua wanawatukana wote wamesepa na wengine wanafuata

hivyo hawana wa kumtukana tena...

wanaendelea kumtukana MBOWE nae atasepa

wakimaliza watawarudia wenyewe kwa wenyewe ndani

naona wana kikao kesho,nadhani watatangaza kushiriki uchaguzi na No reforms no election wataizika rasmi....pamoja na hayo washachelewa tayari!
 
Si mlishasusia uchaguzi mkuu, mnataka huruma ya nini? Tuliwaonya kuhusu kumfurusha Mbowe.
kesho wana kikao mkuu

nadhani watabadili gia angani watatangaza wanashiriki...

na pia wataizika no reforms no election kesho hiyo hiyo

pamoja na yote washachelewa tayari

maccm kupitia kwa mkuu wa tume washawapiga block hakuna kushiriki sababu hawajajaza form za maadili

cha ajabu,watakimbilia mahakamani....ambapo ni mahakama ya maccm wale wale...same results

hawa jamaa watakula kiburi chao wenyewe!

big mistake ni viongozi kumtukana mbowe bila hatia yeyote
 
Kipindi kile Lipumba alijifungia ofisi makao makuu ya CUF, Mpaka ikabidi Hamad atandike daruga tu, aka hamia ACT
Katika makosa ambayo Maalim(RIP) alifanya ni kuhamia ACT. Au pengine siyo makosa bali alijua anachokifanya kwa sababu hata kuingia kwenye serikali ya kupewa slesi ya mkate haijakaa sawa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu hapo hapo ukajiita ni mpinzani wa hiyo serikali.
 
kesho wana kikao mkuu

nadhani watabadili gia angani watatangaza wanashiriki...

na pia wataizika no reforms no election kesho hiyo hiyo

pamoja na yote washachelewa tayari

maccm kupitia kwa mkuu wa tume washawapiga block hakuna kushiriki sababu hawajajaza form za maadili

cha ajabu,watakimbilia mahakamani....ambapo ni mahakama ya maccm wale wale...same results

hawa jamaa watakula kiburi chao wenyewe!

big mistake ni viongozi kumtukana mbowe bila hatia yeyote
Mbowe hakutukanwa bali alishindwa kusoma alama za nyakati. Mbowe alikuwa ameshachuja na kura za mtaandao zote zilionyesha hakubaliki tena. Hayo mengine uliyoandika ni ndoto zako.
 
Back
Top Bottom