Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,928
- 6,467
Soma hiyoACT ndio inaoongoza kwa wagombea wake wote kujaza fomu vibaya kuliko Chama chochote Cha siasa
Wagombea wake wamejaza kuwa wanagombea kupitia Chama Cha ACT wazalendo.Ambacho hakisajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa.Hakuna Chama chenye jina la ACT wazalendo kwa msajili Wala hakuna hati ya usajili wa Chama waliyopewa yenye jina la ACT wazalendo
Hakuna Chama kilichosajiliwa kinachoitwa ACT wazalendo.
Chama kilichosajiliwa kinaitwa Alliance for CHange and Transparency au kifupi ACT .
Ndivyo hata kwenye katiba kinavyotambulika. Kwa mujibu wa kifungu Cha kwanza Cha katiba ya ACT
Wagombea wake Wote wamejaza jina la Chama kwa kuandika ACT wazalendo na mihuri waliyogongewa inasomeka ACT wazalendo Chama kisichokuwepo
Zitto Kabwe anatangaza wanajitoa lakini Chama chake yeye ndie kawakosesha wote.Wote maskini walikuwa wakijua Chama Chao kinaitwa ACT wazalendo Zitto.kawabwaga wote mchana kweupe.Kaifungia CCM goli.
Kujitoa ni.porojo wameshindwa kujaza fomu.vizuri
Akitangaza kuwa ACT wazalendo inajitoa atakuwa Yuko sahihi sababu ACT wazalendo hakijasaliwa.Na hakina hati ya usajili yenye jina ACT wazalendo
Ngoja tumsikie kwa mdomo.wake anaongelea Chama kipi ACT au ACT wazalendo.Waandishi wa habari tegeni masikio vizuri mtuambie anaongelea ACT au ACT wazalendo