ACT-Wazalendo, kimemuomba Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, asimamie mwenyewe zoezi la kurejeshwa kwa majina ya wagombea

Thubutu; ajaribu kuwarejesha aone kama hatakwemda kulima mihogo kwao Mzenga.
 
Kujaza fomu sio mtihani kuwa kila.mmoja anajaza chumba Cha mtihani peke yake kiasi kuwa useme Kama upinzani walikosea na CCM lazima wakukosea wawepo

Fomu mtu alikuwa hajazii hapo hapo ofisini alikuwa anapewa aondoke nayo akae nayo siku za kutosha lengo.likiwa awe na muda wa kujaza kwa usahihi.Kama kina kitu haelewi arudi hata kuuliza au aombe msaada kwa Wana Chama wenzie wamwelekeze au hata ndugu zake hata mawakili wamsaidie kumwelewesha.Hawakufanya.

CCM ilifanya semina elekezi za kujaza hizo fomu na ikawataka viongozi wa matawi wadimamie ujazaji.hizo fomu kujakikisha haikosewi hata nukta kujaza.

Kwa hiyo.mtu alikuwa akichukua fomu anaenda kwenye tawi.lake viongozi wa CCM wanamzunguka wakiwa wamekaa naye kuhakikisha anajaza vizuri bila kukosea.Sababu CCM ilionya fomu yeyote itakayojazwa vibaya uongozi wa tawi wote utachukuliwa hatua.

Upande wa upinzani.mtu alikuwa akichukua fomu anaenda kujijazia anavyojua mwenyewe wnarudisha.Hawakupewa semina elekezi Wala usaidizi.Zao zikarudi na mikosa kibao za CCM zote safi
Kwanin awamu hii tu ndio haya yametokeaAcheni upuuzi
 
Nashangaa baadhi ya watu wanafanya suala la kujitoa kama jipya!

Maalim Seif alianza tena kwenye Uchaguzi Mkuu na tunafahamu kilichotokea.

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ambao hauna hata foreign observer nani atahangaika nao!

Nchi nyingi sana zina mahusiano ya kibalozi na Tanzania na wana wawakilishi wao hapa. Wanaona na kujua kila kinachooendelea na hawafurahii na kushangilia. Subiri utayaona matokeo ya maelekezo toka juu!
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom