ACT-Wazalendo, kimemuomba Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, asimamie mwenyewe zoezi la kurejeshwa kwa majina ya wagombea

ACT ndio inaoongoza kwa wagombea wake wote kujaza fomu vibaya kuliko Chama chochote Cha siasa

Wagombea wake wamejaza kuwa wanagombea kupitia Chama Cha ACT wazalendo.Ambacho hakisajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa.Hakuna Chama chenye jina la ACT wazalendo kwa msajili Wala hakuna hati ya usajili wa Chama waliyopewa yenye jina la ACT wazalendo
Hakuna Chama kilichosajiliwa kinachoitwa ACT wazalendo.

Chama kilichosajiliwa kinaitwa Alliance for CHange and Transparency au kifupi ACT .

Ndivyo hata kwenye katiba kinavyotambulika. Kwa mujibu wa kifungu Cha kwanza Cha katiba ya ACT

Wagombea wake Wote wamejaza jina la Chama kwa kuandika ACT wazalendo na mihuri waliyogongewa inasomeka ACT wazalendo Chama kisichokuwepo

Zitto Kabwe anatangaza wanajitoa lakini Chama chake yeye ndie kawakosesha wote.Wote maskini walikuwa wakijua Chama Chao kinaitwa ACT wazalendo Zitto.kawabwaga wote mchana kweupe.Kaifungia CCM goli.
Kujitoa ni.porojo wameshindwa kujaza fomu.vizuri

Akitangaza kuwa ACT wazalendo inajitoa atakuwa Yuko sahihi sababu ACT wazalendo hakijasaliwa.Na hakina hati ya usajili yenye jina ACT wazalendo

Ngoja tumsikie kwa mdomo.wake anaongelea Chama kipi ACT au ACT wazalendo.Waandishi wa habari tegeni masikio vizuri mtuambie anaongelea ACT au ACT wazalendo
Soma hiyo
75398194_1183844768467851_620128234557669376_n.jpg
 
Poor argument only from a poor mind.
 
Baada ya watawala kuuvuruga uchaguzi kwa dhamira ya kulivuruga Taifa, ifanyike jitihada ya kuwatambua hao walio sambamba na wenye kulielekeza Taifa letu gizsni. Hawa watengwe na jamii yetu katika kila jambo.

Tusishikamane na wanaolinajisi Taifa. Tuwasusie wao na mawakala wao katika kila jambo - kwa mambo yote yawe ya kijamii au kiuchumi.
 
Bring yours
Katika mtazamo wa kisheria, hutanguliwa na dhamira. Kama dhamira njema ikiwepo, mtu kama ikitokea hata amekosea, jasa kama ni error na siyo blunder, aliyekosea huelekezwa na siyo kuchukuliwa kama nafasi ya kumkomoa. Ndiyo maana tunasema hao watendeji ni mawakala wa shetani.

Watu wengi wenye elimu ndogo, weledi mdogo na wasiojitambua wamejaa CCM. Kwa nini hayo makosa yasiwe mengi huko ambako wajinga wengi wapo?
 
ACT ndio inaoongoza kwa wagombea wake wote kujaza fomu vibaya kuliko Chama chochote Cha siasa

Wagombea wake wamejaza kuwa wanagombea kupitia Chama Cha ACT wazalendo.Ambacho hakisajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa.Hakuna Chama chenye jina la ACT wazalendo kwa msajili Wala hakuna hati ya usajili wa Chama waliyopewa yenye jina la ACT wazalendo
Hakuna Chama kilichosajiliwa kinachoitwa ACT wazalendo.

Chama kilichosajiliwa kinaitwa Alliance for CHange and Transparency au kifupi ACT .

Ndivyo hata kwenye katiba kinavyotambulika. Kwa mujibu wa kifungu Cha kwanza Cha katiba ya ACT

Wagombea wake Wote wamejaza jina la Chama kwa kuandika ACT wazalendo na mihuri waliyogongewa inasomeka ACT wazalendo Chama kisichokuwepo

Zitto Kabwe anatangaza wanajitoa lakini Chama chake yeye ndie kawakosesha wote.Wote maskini walikuwa wakijua Chama Chao kinaitwa ACT wazalendo Zitto.kawabwaga wote mchana kweupe.Kaifungia CCM goli.
Kujitoa ni.porojo wameshindwa kujaza fomu.vizuri

Akitangaza kuwa ACT wazalendo inajitoa atakuwa Yuko sahihi sababu ACT wazalendo hakijasaliwa.Na hakina hati ya usajili yenye jina ACT wazalendo

Ngoja tumsikie kwa mdomo.wake anaongelea Chama kipi ACT au ACT wazalendo.Waandishi wa habari tegeni masikio vizuri mtuambie anaongelea ACT au ACT wazalendo
Mbona kama vile ni povu?
 
Hayo yote ya ACT kuongoza umeyajuaje, wewe ni msimamizi wa uchaguzi huu
 
Katika mtazamo wa kisheria, hutanguliwa na dhamira. Kama dhamira njema ikiwepo, mtu kama ikitokea hata amekosea, jasa kama ni error na siyo blunder, aliyekosea huelekezwa na siyo kuchukuliwa kama nafasi ya kumkomoa. Ndiyo maana tunasema hao watendeji ni mawakala wa shetani.

Watu wengi wenye elimu ndogo, weledi mdogo na wasiojitambua wamejaa CCM. Kwa nini hayo makosa yasiwe mengi huko ambako wajinga wengi wapo?
Kujaza fomu za ugombea kinachoangaliwa ni kanuni sio dhamira isiyoonekana kanuni zenyewe hizi hapa

WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA?
1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152

2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (d) Uk. 10-11

3. Jina alilojaza wakati anachukua fomu lifanane na lililopo kwenye fomu ( dispatch book vs forms). Angalia kanuni ya 17 (1) Uk. 153

4. Mgombea arejeshe fomu mwenyewe na kusaini. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

5. Majina ya mdhaminiwa yafanane na ya mgombea yaliyojazwa kwenye fomu. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (a-d) Uk. 10-11

6. Fomu ya kiapo iwe halisi iliyotolewa na msimamizi msaidizi na ishuhudiwe na msimamizi msaidizi ngaz husuka. Angalia kanuni ya 16 (e) Uk. 152

7. Fomu zijazwe na mhusika lazima ziwe zimesainiwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (e&f) Uk. 10-11

8. Fomu zishuhudiwe na ngazi ya chini ya chama itakayobainishwa na chama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.1 & 14.2 (a) Uk. 10-11

9. Ambaye hajajiandikisha hana sifa ya kuwa mgombea. Angalia kanuni ya 13 (e)Uk. 152, ilinganishe na Kanuni ya 16 (d) Uk. 152 na Kanuni ya 14 (a) Uk. 152

10. Aliyejiandikisha mara mbili atakuwa amepoteza sifa ya kugombea au kupiga kura. Angalia kanuni ya 14 (b)Uk. 152

11. Lazima aeleze shughuli halali inayomwingizia kipato na endapo atabainika kudanganya atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (d)Uk. 152

12. Atakayeomba nafasi zaidi ya moja kwenye fomu moja atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 17 (1) & (5) Uk. 152-153

13. Nafasi anayoomba ionekane mpaka kwenye fomu ya kiapo. Angalia kanuni ya 17 (1)Uk. 153 isome sambamba na Kanuni ya 16 (e) Uk. 153

14. Fomu zijazwe kwa ukamilifu. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

15. Eneo la uraia ajaze uraia siyo nchi mfano: Mtanzania na siyo Tanzania. Angalia kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154

16. Usahihi wa maeneo kwa mujibu wa GN mfano chankobe akiandika chakobe atakuwa amepoteza sifa maana eneo hilo litakuwa halipo ktk GN. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152 & Kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154.

17. Mwombaji aeleze anaomba nafasi ipi na wapi mfano nafasi anayoomba mwenyekiti wa Kijiji cha Kagera vinginevyo atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152

18. Fomu ijazwe taarifa inayohitajika tu, kuwepo kwa maandishi au michoro isiyohitajika hilo ni kosa. Angalia kanuni ya 17 (5) Uk. 154

19. Mgombea arejeshe fomu zote mbili kinyume na hapo hana sifa. Angalia kanuni ya 17 (2), (3) na (4) Uk. 153-154

20. Kama mgombea ameomba nafasi mbili unaweza kumteua nafasi moja. Angalia kanuni ya 17 (1)& (5) Uk. 153-154

21. Mgombea akiwa na ajira, wadhifa au uteuzi wowote katika mihimili ya Serikali atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Anagalia kanuni ya 16 (f)Uk. 153

22. Ikiwa Mgombea alichukua fomu na hakurejesha atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia Kanuni ya 17 (2), (3) na (4)

23. Mgombea ambaye hatadhaminiwa na ngazi ya chini ya Chama chakeatakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi sehemu 14.1 na 14.2 (a)

Kabla ya kulalamika kukatwa majina,Jiridhisheni kwa kila hatua kama mmekidhi vigezo na masharti sio kulalama....
C&P
 
Zitto Kabwe msanii kaona hiyo press conference atachemka kaamua kukimbia kamtelekezea mama watu .

Kawakosesha wagombea wakajaza wanagombea kupitia ACT Wazalendo Chama ambacho hakipo kwa msajili.

Waandishi.msimbane Sana msswali huyo mama wa watu tatizo liko.kwa Zitto Kabwe anajiita mkuu wa Chama wakati hajui hata official name ya Chama chake inaitwaje.

Zitto huwa anajifanya Ana takwimu za kutosha za mambo ya uchumi.na fedha lakini Hana takwimu ya jina la Chama chake officially kinaitwaje.Very intetesting
 
Wagombea laki moja plus wanaawezaje kukosea fomu wote ?

CCM ya sasa haina wanasiasa ina maharamia wa kisiasa tu.
Leo chama cha ACT Wazalendo kutoa tamko lao juu ya ushiriki wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Je, kuungana na CHADEMA katika kujitoa?

=====

ACT-Wazalendo yaanika vioja wagombea kukatwa

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kufadhaishwa na kile kilichokiita hujuma dhidi ya vyama vya upinzani katika uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
DOROTHY.jpg

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, Dorothy Semu, alidai kuenguliwa kwa wagombea wao, kulipangwa mapema ili wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wapite bila kupingwa.

“Wagombea wetu 110,040 nchi nzima wameenguliwa, wakiwamo 2,000 ambao hata sababu za kuenguliwa kwao hazijaelezwa.

"Kuenguliwa kwa wagombea hawa na wengine kutoka vyama vya upinzani kumelenga kuhakikisha wagombea wa CCM wanapita bila kupingwa," alisema Semu.

Akifafanua zaidi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa chama chake, kiongozi huyo wa ACT alidai baadhi ya wagombea wao wameambiwa hawana shughuli halali licha ya kuwa miongoni mwa walipakodi wakubwa nchini.

Alidai miongoni mwa walioenguliwa kwa kigezo hicho ni mgombea wao katika Mtaa wa Masaki jijini, ambaye jina lake limekatwa licha ya kuwa ni mfanyabiashara anayetambuliwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) na hulipa kodi ya zaidi ya Sh. milioni 30 kwa mwaka.

Alidai kuna wagombea wao wameenguliwa kwa kuelezwa kuwa chama hicho hakipo katika orodha ya vyama vilivyosajiliwa kwa msajili wa vyama nchini.

Semu pia alisema kuna walioenguliwa kwa madai kuwa si wakazi wa maeneo wanayogombea licha ya kuwa na kuzaliwa katika maeneo hayo na kuwa na makazi ya kudumu na familia zao kuishi katika maeneo husika.

"Kuna hujuma pia ilifanyika kwa fomu za wagombea wetu kughushiwa na kuongezwa herufi za majina ya mgombea na hivyo mgombea kuenguliwa kwa maelezo kuwa majina yaliyotumika siyo sahihi licha ya kuwa fomu hizo zilijazwa majina sahihi," alidai.

Alisema tayari chama hicho kimeanza kuchukua hatua dhidi ya suala hilo kwa kufanya mawasiliano na vyama vingine, vikiwamo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), National League for Democracy (NLD) na Chama cha NCCR-Mageuzi ili kuunganisha nguvu na kuchukua hatua za pamoja.

Aliongeza kuwa kamati ya chama imeitishwa kwa dharura na itakuwa na kikao leo ili kutafakari hatua za kuchukua kukabiliana na kile alichoita hujuma dhidi ya vyama vya siasa nchini.

Chanzo: Npashe
 
Wagombea laki moja plus wanaawezaje kukosea fomu wote ?
Wamekuwa minsled na Zitto Kabwe .Jina la Chama wanachogombea wameandika ACT wazalendo.Ambacho jina Hilo halipo kwa msajili wa vyama lililopo kule ni ACT.
 
Nashangaa baadhi ya watu wanafanya suala la kujitoa kama jipya!

Maalim Seif alianza tena kwenye Uchaguzi Mkuu na tunafahamu kilichotokea.

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ambao hauna hata foreign observer nani atahangaika nao!

Kwa hiyo uchaguzi unafanyika kufurahisha foreign observers?
 
Wamekuwa minsled na Zitto Kabwe .Jina la Chama wanachogombea wameandika ACT wazalendo.Ambacho jina Hilo halipo kwa msajili wa vyama lililopo kule ni ACT.

Lengo hapa ni uchaguzi na sio kujaza fomu kwa usahihi. Na kama ni jambo lenye nia njema huwa unapewa fomu nyingine ili kujaza kwa usahihi. Hayo tunayaona sehemu zote ukikosea fomu unapewa nyingine unajaza kwa usahihi kama lengo la kujaza hizo fomu sio zenye nia ovu. Na isitoshe ni kwanini hao wasimamizi wa uchaguzi wanafunga ofisi mara kwa mara? Huo ushenzi uliogubika zoezi zima uko wazi.
 
"Kuna hujuma pia ilifanyika kwa fomu za wagombea wetu kughushiwa na kuongezwa herufi za majina ya mgombea na hivyo mgombea kuenguliwa kwa maelezo kuwa majina yaliyotumika siyo sahihi licha ya kuwa fomu hizo zilijazwa majina sahihi," alidai.
Hapa ni uongo wa mchana kweupe haya twende kwenye mihuri ya Chama iliyoyongwa kwenye hizo fomu za wagombea mbona Zina jina la ACT wazalendo jina ambalo haliko kwa msajili Hilo.nalo analiongeleaje?
 
na ccm je? kwa nini hakuna hata mmoja aliyekosea?
Kujaza fomu sio mtihani kuwa kila.mmoja anajaza chumba Cha mtihani peke yake kiasi kuwa useme Kama upinzani walikosea na CCM lazima wakukosea wawepo

Fomu mtu alikuwa hajazii hapo hapo ofisini alikuwa anapewa aondoke nayo akae nayo siku za kutosha lengo.likiwa awe na muda wa kujaza kwa usahihi.Kama kina kitu haelewi arudi hata kuuliza au aombe msaada kwa Wana Chama wenzie wamwelekeze au hata ndugu zake hata mawakili wamsaidie kumwelewesha.Hawakufanya.

CCM ilifanya semina elekezi za kujaza hizo fomu na ikawataka viongozi wa matawi wadimamie ujazaji.hizo fomu kujakikisha haikosewi hata nukta kujaza.

Kwa hiyo.mtu alikuwa akichukua fomu anaenda kwenye tawi.lake viongozi wa CCM wanamzunguka wakiwa wamekaa naye kuhakikisha anajaza vizuri bila kukosea.Sababu CCM ilionya fomu yeyote itakayojazwa vibaya uongozi wa tawi wote utachukuliwa hatua.

Upande wa upinzani.mtu alikuwa akichukua fomu anaenda kujijazia anavyojua mwenyewe wnarudisha.Hawakupewa semina elekezi Wala usaidizi.Zao zikarudi na mikosa kibao za CCM zote safi
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom