ACT Wazalendo imelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger

ACT Wazalendo imelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,426
Reaction score
12,161
ACT Wazalendo kimelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger na kusema kuondolewa kwa Serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ni ukiukwaji mkubwa wa misingi ya demokrasia na utawala wa sheria.

Chama hicho kimelitaka jeshi kurejesha utawala wa kiraia.

20230803_185938.jpg

~Swahilitimes
 
Yani kasubiri wee toka tarehe 28 mwezi uliopita ndo anajitokeza na kung'aka.
 
ACT Wazalendo kimelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger na kusema kuondolewa kwa Serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ni ukiukwaji mkubwa wa misingi ya demokrasia na utawala wa sheria.

Chama hicho kimelitaka jeshi kurejesha utawala wa kiraia.

View attachment 2707392

~Swahilitimes
Zito ni mpuuzi na kichaa kwa kiasi fulani. yanaomhuu ya bandari amekaa kimya, leo eti nasemea ya Niger. Mpuuzi mkubwa!
 
Laana zake hazina impact. Ameshindwa kulaani ukomoni wa Dubai Tanganyika analaani watu wanaopambana kutokomeza ubeberu!!!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom