ACT Wazalendo imelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger

ACT Wazalendo imelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger

ACT Wazalendo kimelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Niger na kusema kuondolewa kwa Serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ni ukiukwaji mkubwa wa misingi ya demokrasia na utawala wa sheria.

Chama hicho kimelitaka jeshi kurejesha utawala wa kiraia.

View attachment 2707392

~Swahilitimes
ahahahaaa hii laana ya act wazaendo kwa Niger cjui hata kama inafikia nguvu ya jiwe la manati
 
Ecowas wenyewe washaambiwa wasisogeze pua zao
Wakienda wakatachokutana nacho watajuta ....

Ova
Vitisho mbuzi vya Gadafi na Sadamu,wamewashindwa waasi wa jihad ndio watawaweza jeshi la ECOWAS?
 
Back
Top Bottom