ACT-Tanzania ziarani Busega

ACT-Tanzania ziarani Busega

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
345
Reaction score
307
ny 1.JPGny 2.JPG Sehemu ya wananchi wa kata ya Nyanshimo jimbo la busega wakiupokea msafara wa mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT-Tanzania ulipoingia katika mji huo kwa ajili ya mkutano wa hadhara
 
Kama unataka ibaki jukwaa la siasa, weka maneno kadhaa vinginevyo itatupwa JF Photos na usilalamike. Otherwise salimia Mwl. Kaijage, ACTDAR, Betlehem, Dotto Rangimotto na wengine hapo kijiweni kwenu
 
ndugu, kutuletea picha za mnadani siiyo freshi kabisa, hili jukwaa lina heshima zake.

attachment.php
 
ni nini hii mmeleta jukwaani kwetu?
huku ni stress free bana
 
Back
Top Bottom