ACT-Tanzania yapata usajili wa kudumu!

ACT-Tanzania yapata usajili wa kudumu!

Wewe ndiyo unaumwa, unahitaji ACT tena yenye nembo ya jani iliyothibitishwa WHO. Kama ni hivyo hebu nenda kwa Mtungi usajiri chama kwa acronym ya CCM umwambie abbreviation yake ni Chama Cha Makini (CCM), uone kama atakisajiri?
acha kupotosha wewe kinaitwa ACT-Tanzania ,​akili ndogo.
 
Ujio wa CCJ ulitisha sana, lakini hiki chama cha CCJ kipo wapi?, labda Nape anajua. Aidha, huyo mwenyekiti ndo huyo huyo aliyeshiriki kuanzisha ADC, kwa hiyo hapo wanacheza shere.

wanapoteza muda wao bure sisi kwa sasa tunaangalia nini kitafuata kwenye katiba mpya.
ccj ni ccj. hata chadema ilivuma sana lakini leo ni marehemu
 
Nimefanya utafiti wangu mwenyewe,nimegundua ACT ina wanachama waha wengi kuliko kabila lingine lolote....
 
Eti mbadala wa Chadema, nawapa pole sana kunavyama vilikuja vikaiga slogan,mavazi na mpaka rangi zikashabihana na za cdm wakadhani wataupoka umaarufu wa Cdm lakini wapi! Cdm iko mioyoni mwa watu.

BACK TANGANYIKA
 
Nimefanya utafiti wangu mwenyewe,nimegundua ACT ina wanachama waha wengi kuliko kabila lingine lolote....

kama chadema ilivyo na wachaga wengi kuliko kabila lingine
 
Mliyokabidhiwa ni CHETIi ya kifo chenu RASMI.

This is hilarious! Wamekabidhiwa DEARTH CERTIFICATE instead of BIRTH CERTIFICATE? On a serious note hivi hao viongozi wakuu wa ACT wa mda ni akina nani? Na je Katiba yao inapatikana wapi?
 
Chama cha Wagoma nawabembe wa Ujiji na Mwandiga.Sisi Waha hatumo kwenye usariti huo,sisi bado ni✌
 
Chagadema presha zimewapanda... wanatokwa povu kama wamenyweshwa sumu.
Act-tz ndo leo naamini kama hili chama litatisha sana... hata kabla halijazaliwa, bado ni mimba tu chagadema walishaanza kupukutika kitambo kwa kusikia ujio wa act-tz.
Mwishowe wameamua kujificha kwenye mwanvuli wa UKAWA kwa kuwalubuni vyama washirika...

Ama kweli jeshi la watu watatu limetisha kwa kuweka historia ya aina yake... pipooooz pawa cku hz wanapanga kwenye nyumba ya ukawa kwa kukimbia kivuli cha act-tz.
 
hebu niambie ofisi yenu ipo wapi hapa dar nikajichulie kadi yangu mapema. maana naona tumaini jipya kupitia chama hiki.

Chama kilichovunja rekodi kwa kupata usajili wa kudumu miezi michache mara baada ya usajili wa muda; ACT-TANZANIA leo ndio kimekabidhiwa cheti chake cha usajili wa kudumu rasmi na masajili wa vyama vya siasa mara baada ya kumalizika zoezi la usajili lililofanyika katika mikoa kumi iliyoteuliwa.

ACT-TANZANIA

View attachment 155947

View attachment 155948

View attachment 155949
Mwenyekiti akikabidhiwa cheti.

kilifanikiwa kumaliza zoezi la uhakiki mara baada ya kuruka vihunzi vingi toka kwa wahafidhina na watu wasiopenda siasa za ushindani. Katika zoezi letu tumekumbana na vikwazo vingi ikiwa pamoja na uchomekaji wa wanachama fake waliotumwa kwaajili ya kazi ya kujifanya wako tayari kuhakikiwa lakini kwa lengo la kutojitokeza siku ya kuhakikiwa, jambo ambalo wahafidhina na maadui zetu walikuwa hawajui ni kuwa chama chetu kinapendwa na wananchi hivyo wengi walijitokeza kiasi cha kuziba mapengo ya mamluki ambao kwa makusudi hawajajitokeza siku ya kuhakikiwa. Pamoja na hayo tunatambua wanachama wetu waaminifu waliotaka kujitokeza lakini sababu zilizo nje ya uwezo wao zilipelekea washindwe kujitokeza siku ya kuhakikiwa.

Karibu ACT-TANZANIA, wewe ndio mbadala wa CHADEMA na CCM.

Mungu ibariki Tanzania.

View attachment 155950

Njano5.
Mwanachama.
0784845394
 
"Karibu ACT-TANZANIA, wewe ndio mbadala wa "CHADEMA na CCM" kumbe hiyo speed ni kwa ajili tu ya CHADEMA NA CCM bali sio kwa wananchi..
 
hawa ndio wapinzani wa kweli wenye hoja sio haya machumia tumbo

Naaam, sisi ACT-Tanzania chama makini tuko kwa ajili ya kupambana na Chadema TU. Hii ndiyo kazi yetu tuliyopewa wandugu.
Wanaisumbua sana CCM sasa tunataka tuwamalize.
 
Chagadema presha zimewapanda... wanatokwa povu kama wamenyweshwa sumu.
Act-tz ndo leo naamini kama hili chama litatisha sana... hata kabla halijazaliwa, bado ni mimba tu chagadema walishaanza kupukutika kitambo kwa kusikia ujio wa act-tz.
Mwishowe wameamua kujificha kwenye mwanvuli wa UKAWA kwa kuwalubuni vyama washirika...

Ama kweli jeshi la watu watatu limetisha kwa kuweka historia ya aina yake... pipooooz pawa cku hz wanapanga kwenye nyumba ya ukawa kwa kukimbia kivuli cha act-tz.

CHADEMA hawatishiki na kifaranga kilichopandishwa juu ya mafiga.Mama kifaranga mwenyewe akiisikia CHADEMA ana harisha kideri.
 
Naanza kutilia mashaka umakini wa Msajiri wa vyama vya Siasa Mhe. Judge Mtungi. Inawezekana vipi judge MAKINI asajiri acronym ya ACT kuwa chama cha Siasa Tanzania? Acronym ya ACT is an International registered trade mark ya Atermisinin Combination Therapy (ACT). Waswahili sisi tunaiita DAWA MSETO ya kutibu malaria. Huyu judge Mtungi anahitaji dose ya ACT atakuwa amepata cerebral malaria!

Na bado,,,,sisi tutaendelea kupambana na wanaotumia vibaya rasili mali za nchi hii.
 
"Karibu ACT-TANZANIA, wewe ndio mbadala wa "CHADEMA na CCM" kumbe hiyo speed ni kwa ajili tu ya CHADEMA NA CCM bali sio kwa wananchi..

Hiyo CCM tunazuga Tuu, ACT-Tanzania tuko kwa ajili ya kupambana na CDM yaani upinzani ndani ya upinzani.
 
Back
Top Bottom