ACT-Tanzania chama makini, vilevile tuko kule New Zealand hii huku TZ ni branch tu.
Kule New Zealand tunajulikana sana kwa kazi zetu za kupambana na vyama vinavyosumbua chama tawala
Wolking corpse wamtishe nani siada zina wenyewe sio wasaka tonge marehemu waliojua siasa kwa kununuliwa nguo za ndani na soksiChagadema presha zimewapanda... wanatokwa povu kama wamenyweshwa sumu.
Act-tz ndo leo naamini kama hili chama litatisha sana... hata kabla halijazaliwa, bado ni mimba tu chagadema walishaanza kupukutika kitambo kwa kusikia ujio wa act-tz.
Mwishowe wameamua kujificha kwenye mwanvuli wa UKAWA kwa kuwalubuni vyama washirika...
Ama kweli jeshi la watu watatu limetisha kwa kuweka historia ya aina yake... pipooooz pawa cku hz wanapanga kwenye nyumba ya ukawa kwa kukimbia kivuli cha act-tz.
ndio akili zenu hizo,,,,poleni sana
Michango yako humu huwa yaonesha kuwa wewe hata kidato cha pili hujakanyaga.ACT imepewa rasmi hati ya kumkomboa mtanzania .. Watanzania wamefurahi sana kwa ujio wa chama makini cha ACT
Naaam, sisi ACT-Tanzania chama makini tuko kwa ajili ya kupambana na Chadema TU. Hii ndiyo kazi yetu tuliyopewa wandugu.
Wanaisumbua sana CCM sasa tunataka tuwamalize.
dotto C.Rangimoto
Hongereni sana kwa kufanikiwa Kusajili chama na karibuni kitaa tupambane kumuondoa mkoloni mweusi.
Ombi langu ni moja tu, Je naweza Kupata KAtiba ya ACT, pia kuweza Kujua Muundo wa ACT kitaifa ukoje, pila Kusahahu Sera na Itikadi zao. nadhani nikipata katiba nitayapata yote hayo.
H
Ahaaaa!! True? I like that!!
Kwa hiyo mkishamaliza kuiua Chadema CCM wakatawala mtapata nini? Kumbe nyie ni Wapinzani wa Cdm kwa sababu waisubua CCM? Makubwa jamani!!!
zitto hajachukua kadi yake,mhaini mwenzie ndiye katibu mkuu
Naanza kutilia mashaka umakini wa Msajiri wa vyama vya Siasa Mhe. Judge Mtungi. Inawezekana vipi judge MAKINI asajiri acronym ya ACT kuwa chama cha Siasa Tanzania? Acronym ya ACT is an International registered trade mark ya Atermisinin Combination Therapy (ACT). Waswahili sisi tunaiita DAWA MSETO ya kutibu malaria. Huyu judge Mtungi anahitaji dose ya ACT atakuwa amepata cerebral malaria!
zitto hajachukua kadi yake,mhaini mwenzie ndiye katibu mkuu
Una hoja nzuri lakini umesahau kuwa moja ni dawa na kingine ni chama cha Siasa kwa hiyo ni vitu viwili tofauti.Wewe ndiyo unaumwa, unahitaji ACT tena yenye nembo ya jani iliyothibitishwa WHO. Kama ni hivyo hebu nenda kwa Mtungi usajiri chama kwa acronym ya CCM umwambie abbreviation yake ni Chama Cha Makini (CCM), uone kama atakisajiri?