Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Mbona kimya? Tuamini kuwa alizaliwa Kigoma na kuishia Mwanza? Kuanzisha,kukuza na kuendeleza chama cha siasa ni jambo kubwa. Si jambo la kukurupuka na kujaribu. Ndiyo mjue kuwa wenye vyama vyao walijitoa na kuvifikisha hapo vilipo