ACT-Tanzania vipi tena?

ACT-Tanzania vipi tena?

ACT imejaa telee.. inachanja mbuga kwa kasi sana. watanzania wanakipenda sana hiki chama
Itakuwa mbuga za kuzimu sio za duniani. Manemo meemgi utendaji zero. Mjue gharama ua kudimalisha chama sio lelemama wasaliti wakubwa nyie. Mtaonja chungu ya usaliti na unafiki hapahapa
 
Kuna mtu humu akiona neno ACT akili yote inahama, anatiririka kama kachomolewa kichwa. sijui anaumia na nini!?[/QUni lzma mkubali kuwa kuanzisha chama ni kazi kubwa na wale wote waliombeza mbowe waone changamoto hii
 
uliposema zito kagoma kujiunga hadharani ulimaanisha nini?

Kwako wewe hiyo ina maana ameshajiunga? Nigga please!
Tumia ubongo na sio makalio. Ndio maana nasema ficha ujinga wako. Unaonekana mwehu na mjinga pia with your unjustified conclusion.
 
ccm wamechoka kuwa na vyama visivyoisaidia ipasavyo.
Waliingilia nccr na cuf lakini wanaona mambo yanabadilika.Wamebaki na akina Mrema L,P Mzirai,Dovutwa F n.k
Kuendelea kufadhili vyama ambavyo havina mwelekeo bado kama ACT ni hasara kubwa!
ACT inakufa mapema kuliko CCJ
 
mbona kila kitu unajbu peke yako, inamaana wenzio wamekata tamaa? mkuu pole wew pambana kuosha upepo kwa maj utatoboa tu hata kama wamekuacha peke yako

mimi ni jeshi la mtu mmoja... ACT ndio.habari ya mjini
 
Kwako wewe hiyo ina maana ameshajiunga? Nigga please!
Tumia ubongo na sio makalio. Ndio maana nasema ficha ujinga wako. Unaonekana mwehu na mjinga pia with your unjustified conclusion.

we kenge una mtindio wa ubongo. si bure umetoroka milembe wewe... kiazi mkubwa we
 
ccm wamechoka kuwa na vyama visivyoisaidia ipasavyo.
Waliingilia nccr na cuf lakini wanaona mambo yanabadilika.Wamebaki na akina Mrema L,P Mzirai,Dovutwa F n.k
Kuendelea kufadhili vyama ambavyo havina mwelekeo bado kama ACT ni hasara kubwa!
ACT inakufa mapema kuliko CCJ

we ndio taahira kweli.. ACT IKO IMARA KAMA BAYERN MUNICH
 
Itakuwa mbuga za kuzimu sio za duniani. Manemo meemgi utendaji zero. Mjue gharama ua kudimalisha chama sio lelemama wasaliti wakubwa nyie. Mtaonja chungu ya usaliti na unafiki hapahapa

msaliti wa kwanza ni wewe mende chama makini.cha act kinasonga mbele
 
Hivi ACT nacho ni chama cha kubaguana kwa hulka za ukanda udni na ukabila kama chadema???
 
we kenge una mtindio wa ubongo. si bure umetoroka milembe wewe... kiazi mkubwa we

Technically nimekujibu maswali yako yote yaliyokufikisha kwenye conclusion yako. Kwa maana hiyo unaendelea kuonyesha ujinga wako kwa walimwengu na kujitukana mwenyewe.

You better shut up bro.
 
Technically nimekujibu maswali yako yote yaliyokufikisha kwenye conclusion yako. Kwa maana hiyo unaendelea kuonyesha ujinga wako kwa walimwengu na kujitukana mwenyewe.

You better shut up bro.

usinitishe we kiazi
 
act kigoma ina mwanachama mmoja tu,naye ni huyo hapo juu anayetembea huku anaharisha bila msaada.haya ni maajabu ya mwaka 2014 chama kuzaliwa na kufa ,act ni marehemu #teyali #
 
Back
Top Bottom