ACT-Tanzania vipi tena?

ACT-Tanzania vipi tena?

ACT inaitisha sana chadema,,, chadema wakisikia act wanaweweseka
 
Ndugu yangu Petero, hatuwezi kuviendesha vyama vya upinzani kwa ufanisi kwa kutegemea ushabiki na ku shout bali kwa mikakati ya kisayansi.

mikakati imefail mapema mbona?kuanzisha na kuendesha chama cha upinzani mpaka kikubalikj na kiaminiwe kama CDM si jambo la lelemama,ndo maana waliovipigania vyama hivi huwa sio wavumilivu wanapoona dalili yoyote ya usaliti.refer ya hamad rashid CUF na Zito CDM
 
mkakati upi uliofail? subiri uchaguz serikali za mitaa ndio utaiona nguvu ya act
 
ACT ndio chama bora kabisa cha upinzani. hakina ubaguzi wa dini, kanda wala kabila
 
Back
Top Bottom