Hansen Nasli
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 883
- 340
ACT Ipo n inajenga chama sasa waratibu wanazunguka mikoani kupata wanachama na tunapokelewa kwa kishindo sana
ACT imeanzishwa kwa ufadhili wa watanzania wazalendo
wazalendo do u mean wasaliti au ..................................WASALITI NDIO WANZILISHI WA CHAMA CHENU
ACT ndio chama bora kabisa cha siasa
unajua maana ya usaliti wewe? Sisi wachaga watu wote wanaotupinga ni wasaliti... Act ni chama cha ukombozi
uko peke yako mkuu
ukombozi una0itajika tanzania ni kuwatoa watanzania kwenye utawala wa ccm ............................how can this this be possible through act-tanzania while they are getting fund from ccm
where are the source of cash inflow ( kama sio ccm direct or indirect)
hiyo fund kutoka ccm uliitoa wewe? ukiambiwa ulete ushahidi utaweza kweli? acha porojo wewe
Kunywa maji kwanza mkuu. Kama ACT ina vijana 30 milioni kama ulivonijibu kwenye uzi mmoja, kwa nini unapambana peke yako?
Nakumbuka siku ile mtangazaji kawapiga swali,,WAASISI WENU KINA NANI? Jamaa walibabaika sana aisee,,hawakutaja!! Afu wanahubiri uwazi,,pyeee
Yaaa nakumbuka alikuwa Yvona Kamuntu Hao Gwanchele Robert
R.i.p act