ACT- Tanzania: Taarifa kwa vyombo habari

ACT- Tanzania: Taarifa kwa vyombo habari

Naona litakuwa kusanyiko kuu LA wasaliti, mamluki na wachumia tumbo
 
Naona litakuwa kusanyiko kuu la wasaliti, mamluki na wachumia tumbo
 
Kaa na theory zako za usaliti ulizo mezeshwa na mbowe huku wenzako hawana habari na ww itakula kwako..

Hivi nani asie msaliti? Mbona shibuda na wengine wengi akina slaa walivo toka ccm kuna chadema hamja waita wasaliti?

Acha akili za kubebewa changanya na zako sawa kaka.....??
 
Eti sasa wanasonga mbele!!! Mnasonga mbele na usaliti wenu wa kutaka kuisambaratisha CHADEMA.

Mbona unaidharaulisha Chadema hivyo?kwani huna imani na nguvu za Chadema?Chadema itasambaratika vipi kwa chama kingine kuanzishwa?jifunzeni kwa Profesa Lipumba.Mwenye nguvu hatishiki.

Ni mtu au kundi dhaifu tu litakalokuwa na hofu ya kuuliwa na kundi lingine, wenye nguvu uwa hawana hofu hizo kwa sababu yeyote atakayekuja wanajua hawezi kuwadhuru kwa lolote.
 
Ndani ya miaka mitano ijayo tutajua hizi ni kelele za Debe lililotoboka au lah!

Mrema alipotoka CCM tulim beba juju tukasukuma gari lake tukapigwa sana mabom ya machozi. Aah kumbe ulikuwa upepo. Haya leo hii ni mkiti wa TLP tena yuko bungeni. Lakini akili yake iko CCM.

Steven Wasira akatoka CCM akaingia NCCR akapata na ubunge mh leo hii yuko wapi? CCM..

Hawa wakubwa wanapoondoka kwenye vyama vyao ni hasira tu ya kukosa kitu flani. Lakini mara zote wakihama akili na mioyo yao hubaki kule walikotoka.

Ili wabaki hai kisiasa lazima atarudi tu alikotoka, akikomaa atapotea taratibu. Baadae tutamsahau.

Amani aliondoka CDM leo yuko wapi!

CCM huwa haina shida na useless ibdividuals ukishapoteza umuhimu katika kazi yao unaachwa upotelee mbali.
 
ACT haina msemaji wa chama kila mtu anaandika tamko la ACT sasa kama mmealika viongozi mbali mbali mbona hajamwalika raisi wa marekani Baraka Obama
 
Wanaosifia ATC bila kuangalia kasoro ni vichwa maji, hata siku moja huwezi ukashabikia chama kinachoingia kuvuruga vyama pinzani kisa ngivu ya mtu mmoja, Zito anachofanya sasa hv kuwakomoa Chadema nakuruga mipango ya Ukawa hii haipo sawa kabisaaaaa...

Wewe ndio kichwa maji.Hivi unaidharau chadema kiasi hicho?kwanin unadhan Chadema itahathiriwa kuanzishwa kwa Chama kidogo kama ACT?

Aliye dhaifu ndiye huogopa, aliye na nguvu haogopi changamoto maana ana uhakika haziwezi kumshinda.Muigeni Profesa Lipumba.Haogopi.
 
Ndani ya miaka mitano ijayo tutajua hizi ni kelele za Debe lililotoboka au lah!

Mrema alipotoka CCM tulim beba juju tukasukuma gari lake tukapigwa sana mabom ya machozi. Aah kumbe ulikuwa upepo. Haya leo hii ni mkiti wa TLP tena yuko bungeni. Lakini akili yake iko CCM.

Steven Wasira akatoka CCM akaingia NCCR akapata na ubunge mh leo hii yuko wapi? CCM..

Hawa wakubwa wanapoondoka kwenye vyama vyao ni hasira tu ya kukosa kitu flani. Lakini mara zote wakihama akili na mioyo yao hubaki kule walikotoka.

Ili wabaki hai kisiasa lazima atarudi tu alikotoka, akikomaa atapotea taratibu. Baadae tutamsahau.

Amani aliondoka CDM leo yuko wapi!

CCM huwa haina shida na useless ibdividuals ukishapoteza umuhimu katika kazi yao unaachwa upotelee mbali.

Mhhh kumbe tusimwamini Dr Slaa eti?maana nae aliruka toka CCM baada ya kukosa kuteuliwa ubunge kama Wasira vile?kweli wewe genius
 
Pelham....chama kipi ambacho hakuna kasoro?..c mlisema chadema sio zitto eti mnachukua maamuzi magum? Sasa kwa nn mnaanza kujamba? Tulien basi ndo kwanza game lina anza kitaeleweka na tuta heshimiana kuweni wapole kama mna nyolewa.
 
Mhhh kumbe tusimwamini Dr Slaa eti?maana nae aliruka toka CCM baada ya kukosa kuteuliwa ubunge kama Wasira vile?kweli wewe genius
mtaandika mengi sana mtasema mengi lakini Dr.Slaa ndo raisi mtarajiwa tunajua roho ya ccm imeshikiliwa na Lowasa ccm msipomtisha ccm itakufa hata mkipitishaji ccm itakufa .
 
Eti sasa wanasonga mbele!!! Mnasonga mbele na usaliti wenu wa kutaka kuisambaratisha CHADEMA.

Wanataka kuisambaratisha Chadema kivipi???.

Hata Mtei alitoka CCM na kuunda Chadema.. Slaa alikuwa CCM n.k.

Je ni makosa kuhama chama na kuanzisha Chama!??
 
​Kawadanganye wasiojua usaliti wenu, siyo mimi.

Fungua ukurasa mpya mkuu, wenzio hawana muda na chadema tena all they talk/write is about act. Ukiona mtu anamjadili mwanamke aliyemtimua (ni mfano tu) ujue bado anampenda
 
Back
Top Bottom