ACT- Tanzania: Taarifa kwa vyombo habari

ACT- Tanzania: Taarifa kwa vyombo habari

zito kabwe alikuwa kiunganishi mzuri na wafadhiri wa nje na misaada chadema mmechoma nyumba
 
ACT-Wazalendo Kuandika historia Tanzania.

Hatimae Zimebaki siku Tatu Chama cha ACT-Wazalendo kifanyen uzinduzi wa chama,utakuwa uzinduzi wa kihistoria kutokana na wananchi wengi hasa wanyonge kuhamisika sana kuona chama chao kinaandika historia Mpya.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama pamoja na wanachana ,wapenzi na mashabiki wa chama wanaendelea kumiminika toka kila pembe ya Tanzania.

Mapokezi ni mazuri Mpaka sasa Zaidi ya viongozi na wanachama toka Mikoa 24 wameshatinga Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kushiriki tukio hilo la Kihistori.

Pia Wageni Mbalimbali toka Nchi za Afrika,Amerika na Ulaya wanaendelea kuwasili kwaajili ya kushuhudia uzinduzi wa chama hapo tarehe 29-03-2015 ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

Tuliahidi ,tumeweza na sasa tunasonga Mbele.

Karibu wote mshuhudie safari ya ukombozi ikianza rasmi.

Kwani safari ya ukombozi bado haijaanza?
 
Nadhani mtapata coverage ya kutosha kutoka TBC
 
zito kabwe alikuwa kiunganishi mzuri na wafadhiri wa nje na misaada chadema mmechoma nyumba

Aliyekwambia wafadhili wamekosekana Chadema ni nani?

Au unadhani hao wafadhili aliokuwa akiwaunganisha ZK na CDM watahama ghafla kwa kuwa ZK amehamia Act - Wazalendo?

Kwanza hicho chama cha ACT unadhani wako serious sana na siasa za Bongo?
Tafuta maana halisi ya neno "act" kwenye kamusi kisha ujisomee kwa manufaa yako binafsi
 
We Nyani ni nani aliyekuroga? ivi ukiulizwa uoneshe barua ya zitto kufukuzwa unaweza ionesha? barua valid mpaka sasa ni ya zitto kujiondoa mwenyewe kwenye genge la mahafidhina wabaka demokrasia.

Na bado mtasema sana mwaka huu, ACT -wazalendo wameanza kueneza uzalendo kwa watanzania. Tutajua wanasiasa na wababaishaji wa siasa.

Barua ya nini wewe..?

Keshafukuzwa, that's it, period, end of sentence.
 
Hawa wasaliti wanatumia mbinu chafu ,,
naona wamemwalika lipumba na kumpa mada ya kiuchumi maksudically,i wish lipumba apate udhuru
 
Naona genge la wa wafitini linaalika wanahabari

Nyie wa Ufipa mkialika ni sawa tu, wenzenu wakialika nongwa. Safari hii lazima mpotee kabisa. Shauri yenu mmewaachia Baba Mkwe na Mkwe wake wakihodhi chama na kukiweka chini ya himaya ya Ukoo.

ACT mwendo mdundo!
 
Vua gwanda vaa uzalendo ACT ndio mpango mzima hakuna ukaskazini wala baba mkwe na mkwewe
 
mnanichanganya sana, ni ACT - Tanzania, au ACT- Wazalendo? Limbu ni mwenyekiti wa chama kipi kati ya hivi viwili!
 
ACT-Wazalendo Kuandika historia Tanzania.

Hatimae Zimebaki siku Tatu Chama cha ACT-Wazalendo kifanyen uzinduzi wa chama,utakuwa uzinduzi wa kihistoria kutokana na wananchi wengi hasa wanyonge kuhamisika sana kuona chama chao kinaandika historia Mpya.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama pamoja na wanachana ,wapenzi na mashabiki wa chama wanaendelea kumiminika toka kila pembe ya Tanzania.

Mapokezi ni mazuri Mpaka sasa Zaidi ya viongozi na wanachama toka Mikoa 24 wameshatinga Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kushiriki tukio hilo la Kihistori.

Pia Wageni Mbalimbali toka Nchi za Afrika,Amerika na Ulaya wanaendelea kuwasili kwaajili ya kushuhudia uzinduzi wa chama hapo tarehe 29-03-2015 ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

Karibu wote mshuhudie safari ya ukombozi ikianza rasmi.

ABABU Namwamba amekwisha fukuzwa kamati ya PAC Kenya Sababu ya Rushwa na Kamati yao kuvunjwa , Kama alivyo @ZITO ndege wanaofanana uruka pamoja
Tuliahidi ,tumeweza na sasa tunasonga Mbele.
 
Nguvu ya soda wasaliti hawa wezi kudumu
Act-wasaliti au act-kigoma hahahaaaa mtasanda lipumba haji ng'ooo
 
Unamaanisha KATIBU MKUU WA CHAMA CHA ODM?aliyefanyiwa zengwe kwenye kamati ya Bunge lakin kwa sbabu mjanja aliwarecord wabunge wlaa rushwa wa Kenya.

Yes, inawezekana analingana na Zitto maana wote ni wapambanaji wa ufisadi na mafisadi wanapambana nao sasa, mfano mmojawapo wa Ababu Namwamba ni huo wa kamati yake.Dogo yule ni jembe.
 
Vituo kadhaa vya televisheni ndiyo vipi,kwanini visitajwe tukavifahamu mapema,....hiki chama nikama hakijiamini amini vile
 
safi sana ACT naomba na mwenyekiti awe zzk hapo patanoga zaidi maana napenda msaliti atambulike.
 
Back
Top Bottom