ACT-Tanzania na tunu ya demokrasia rasiliamali

ACT-Tanzania na tunu ya demokrasia rasiliamali

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
883
Reaction score
340
ACT-Tanzania ni chama kipya kilichokubalika kwa watanzania kwa kasia ya ajabu sana,Ila leo wanajamvi ningependa tujadili msingi mmojawapo kati ya misingi kumi inayounda ACT,msingi huo ni "DEMOKRASIA RASILIMALI" ACT-Tanzania inaamini kuwa demokrasia ndiyo msingi wa kujenga fikra pevu na kueneza uhuru wa mtu,jamii na Taifa kwa ujumla.

Hivyo basi viongozi na wanachama wa ACT-Tanzania watapigania uwepo wa demokrasia ya kweli katika kila ngazi,ndani na nje ya chama.

Hata hivyo ACT inaamini kwamba umaskini na ufukara ni kikwazo kikubwa katika kufikiria fikra huru.ACT inaamini kwamba wananchi kuwa na sauti katika umiliki na uendeshaji wa rasilimali za Taifa ndio njia sahihi na ya haraka ya kumaliza umaskini.

Chama kinaamini katika demokrasia rasilimali ikiwa na imani kuwa utajiri wa Maliasili ya Afrika kwa ujumla na Tanzania.

Hivyo basi sera za chama zitaelekeza mfumo wa umiliki wa utajiri wa Nchi kuwa ni mali ya wananchi na uendeshwaji wake utafanywa kwa faida ya wananchi na kwa ruhusa yao,yaani demokrasia rasilimali.

Aidha ACT Inaamini kwamba serikali lazima ishiriki kikamilifu,kama mdau na mbia sambamba na sekta binafsi,katika utafutaji,uendelezaji,uvunaji na umilikaji wa rasiliamali za Taifa kwa niaba ya wananchi na inapinga kabisa serikali kuwa tu mapangishaji wa rasilimali na mkusanyaji tu wa kodo na uvunaji wa rasilimali hizo.

Nawaomba wale wapenda maendeleo tuijadili kwa malengo na maslahi kwa Taifa letu
 
Chama ambacho kimeshindwa kuwataja viongozi wake kwa miezi kadhaa sasa na ambacho kimeamua kutumika ili kuishambulia CHADEMA kamwe hakiwezi kuleta demokrasi nchini.
 
Tunashubiri Zitto aingie rasmi kwenye chama chenu ndipo tutakapojua sura yenu halisi. msidhani kwamba hatuwajui.
 
ACT-Tanzania ni chama kipya kilichokubalika kwa watanzania kwa kasia ya ajabu sana,Ila leo wanajamvi ningependa tujadili msingi mmojawapo kati ya misingi kumi inayounda ACT,msingi huo ni "DEMOKRASIA RASILIMALI" ACT-Tanzania inaamini kuwa demokrasia ndiyo msingi wa kujenga fikra pevu na kueneza uhuru wa mtu,jamii na Taifa kwa ujumla.Hivyo basi viongozi na wanachama wa ACT-Tanzania watapigania uwepo wa demokrasia ya kweli katika kila ngazi,ndani na nje ya chama.Hata hivyo ACT inaamini kwamba umaskini na ufukara ni kikwazo kikubwa katika kufikiria fikra huru.ACT inaamini kwamba wananchi kuwa na sauti katika umiliki na uendeshaji wa rasilimali za Taifa ndio njia sahihi na ya haraka ya kumaliza umaskini.Chama kinaamini katika demokrasia rasilimali ikiwa na imani kuwa utajiri wa Maliasili ya Afrika kwa ujumla na Tanzania.Hivyo basi sera za chama zitaelekeza mfumo wa umiliki wa utajiri wa Nchi kuwa ni mali ya wananchi na uendeshwaji wake utafanywa kwa faida ya wananchi na kwa ruhusa yao,yaani demokrasia rasilimali.Aidha ACT Inaamini kwamba serikali lazima ishiriki kikamilifu,kama mdau na mbia sambamba na sekta binafsi,katika utafutaji,uendelezaji,uvunaji na umilikaji wa rasiliamali za Taifa kwa niaba ya wananchi na inapinga kabisa serikali kuwa tu mapangishaji wa rasilimali na mkusanyaji tu wa kodo na uvunaji wa rasilimali hizo.Nawaomba wale wapenda maendeleo tuijadili kwa malengo na maslahi kwa Taifa letu

acheni ujinga nyie, huu ni upumbav.u nikumbushe lini mefanya chaguzi ndani ya chama au kila anaeingi mnawapa uongozi, kwa taarifa yenu tupo huko msiwadanganye watanzania bana

mapewa pesa lini mmeweka wazi cash flow yenu au manawadanganya watanzania kama vile mlivyowadanga kigoma kuwapelekea Treni ya umeme wakati kigoma tu umeme autoshi mwambieni zitttttto alete umeme kwanza
 
Jadilini hoja iliyopo mezani suala la uongozi kikatiba na kisheria viongozi wa mpito watakaa kwa muda wa mwaka mmoja huku uchaguzi ukiandaliwa na wanapew haki kisheria kuongeza miezi 4 kwahyo sasa tuna miezi mitatu tangu tupate usajiri kwahyo uchaguzi bado sana utakuja tu
 
Huu ni wehu wala siyo debe tena. Kimekubalika na Watanzania wa wapi? Kimeonyesha uwezo katiba jambo gani ikiwa hata sera na vipaumbele kina kopi kwa CDM?

Chama kisichokuwa na kiongozi?

Ondoa upuuzi wako hapa tuna masuala ya maana ya kujadili. Huu wehu peleka vijiweni kwa Big Results Now now!.
ACT-Tanzania ni chama kipya kilichokubalika kwa watanzania kwa kasia ya ajabu sana,Ila leo wanajamvi ningependa tujadili msingi mmojawapo kati ya misingi kumi inayounda ACT,msingi huo ni "DEMOKRASIA RASILIMALI" ACT-Tanzania inaamini kuwa demokrasia ndiyo msingi wa kujenga fikra pevu na kueneza uhuru wa mtu,jamii na Taifa kwa ujumla.

Hivyo basi viongozi na wanachama wa ACT-Tanzania watapigania uwepo wa demokrasia ya kweli katika kila ngazi,ndani na nje ya chama.

Hata hivyo ACT inaamini kwamba umaskini na ufukara ni kikwazo kikubwa katika kufikiria fikra huru.ACT inaamini kwamba wananchi kuwa na sauti katika umiliki na uendeshaji wa rasilimali za Taifa ndio njia sahihi na ya haraka ya kumaliza umaskini.

Chama kinaamini katika demokrasia rasilimali ikiwa na imani kuwa utajiri wa Maliasili ya Afrika kwa ujumla na Tanzania.

Hivyo basi sera za chama zitaelekeza mfumo wa umiliki wa utajiri wa Nchi kuwa ni mali ya wananchi na uendeshwaji wake utafanywa kwa faida ya wananchi na kwa ruhusa yao,yaani demokrasia rasilimali.

Aidha ACT Inaamini kwamba serikali lazima ishiriki kikamilifu,kama mdau na mbia sambamba na sekta binafsi,katika utafutaji,uendelezaji,uvunaji na umilikaji wa rasiliamali za Taifa kwa niaba ya wananchi na inapinga kabisa serikali kuwa tu mapangishaji wa rasilimali na mkusanyaji tu wa kodo na uvunaji wa rasilimali hizo.

Nawaomba wale wapenda maendeleo tuijadili kwa malengo na maslahi kwa Taifa letu
 
Hahaaaaaa,wanafiki ,wabadili jina liwe la kiha au la Kiswahili!kiingereza watanzania hawakijui,,,,
 
Eti kimekubalika na watanzania !
mmefanya utafiti lini?
hapo juu umekiri kuwa chama kina miezi 3 sasa mmejuaje kama kinakubarika?
chama hata katiba hakuna mpaka mnazidiwa akili na vikundi vya mitaani ambavyo vingi vina katiba zao.
semeni mnaisaidia ccm isiangamizwe na ukawa
 
Hansen: Pole. Hawa wenzako wamezoeshwa kujadili matukio na watu. Ukilete hoja na sera lazima uambulie matusi. Polepole wataelewa lakini.
 
Nilikuwa cjui kama nabishana mbwa maana mbwa ndio wamezoea kutumwa na kubweka ovyo,kwahyo bora vijana wake wangekuwa mbwa wa polisi angeonesha uwezo kumbe ni mbwa koko tu kazi yake kubweka tu
 
Wamefungwa mdomo na CCM hawawezi kusema chochote. Walichokoza kidogo wakajibiwa na Shonza

Nimepata taarifa za uhakika kwamba vijana wa ACT Tanzania wanatumika kunichafua mimi na Mwampamba kwenye social media.

Naomba kuwaambia kwamba mimi na Mwampamba hatuwezi kujiunga na chama cha wahuni ACT Tanzania na naomba kuwaambia
sisi tunajua vyanzo vya mapato ya maboss wenu na mkiendelea tutawaanika hapa.

Fanyeni siasa safi sio huu upuuzi
wakati mnajijua ni wapuuzi tu.

Tutawalipua soon endeleeni.

Wakanywea wote, kwa kuwa wanajua kuna siri kubwa zingevuja. Lakini bado kwa ulaghai wanatangaza msingi wa UWAZI!!!
 
Jadilini hoja iliyopo mezani suala la uongozi kikatiba na kisheria viongozi wa mpito watakaa kwa muda wa mwaka mmoja huku uchaguzi ukiandaliwa na wanapew haki kisheria kuongeza miezi 4 kwahyo sasa tuna miezi mitatu tangu tupate usajiri kwahyo uchaguzi bado sana utakuja tu
Acha kulialia kama mtoto wa kike.

Tulia uelewe vizuri kuanzisha chama si lelemama.
 
Kuanzisha chama sio lelemama ila mipango na mikakati mizuri ndio siri kubwa ya kukwea kwa ACT
 
Back
Top Bottom