Onyo kwa vijana wa ACT Tanzania

Onyo kwa vijana wa ACT Tanzania

Status
Not open for further replies.

Juliana Shonza

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
2,009
Reaction score
1,609
Nimepata taarifa za uhakika kwamba vijana wa ACT Tanzania wanatumika kunichafua mimi na Mwampamba kwenye social media.

Naomba kuwaambia kwamba mimi na Mwampamba hatuwezi kujiunga na chama cha wahuni ACT Tanzania na naomba kuwaambia sisi tunajua vyanzo vya mapato ya maboss wenu na mkiendelea tutawaanika hapa.

Fanyeni siasa safi sio huu upuuzi wakati mnajijua ni wapuuzi tu.

Tutawalipua soon endeleeni.
 
Nimepata taarifa za uhakika kwamba vijana na ACT tanzania wanatumika kunichafua mimi na Mwampamba kwenye social media.naomba kuwaambia kwamba mimi na Mwampamba hatuwezi kujiunga na chama cha wahuni na naomba kuwaambia sisi tunajua vyanzo vya mapato ya maboss wenu na mkiendelea tutawaanika hapa.fanyeni siasa safi sio huu upuuzi wakati mnajijua ni wapuuzi tu.tutawalipua soon endeleeni

mkuu is it possible for a ccm guy to ruin an ACT member and likewise the opposite to apply?
 
Doooh! wenyewe kwa wenyewe tena imekuaje!
Kwani Zitto sikuhizi ndio mmepotezeana kabisa upo kwa Mwigulu Nchemba tu!!
ok jambo la kheri kutulia sehemu moja na natumaini kijana wa ACT msaliti mwenzako Mchange amekusikia
 
Last edited by a moderator:
Juliana Shonza hizi ndo Siasa za maji taka wala usiwatishie kuwaanika, waanike kabisa ili na sisi wengine tufahamu manake hivi vyama vya Siasa ni majanga tu hakuna kitakachomkomboa mtanzania
 
Last edited by a moderator:
Nimepata taarifa za uhakika kwamba vijana na ACT tanzania wanatumika kunichafua mimi na Mwampamba kwenye social media.naomba kuwaambia kwamba mimi na Mwampamba hatuwezi kujiunga na chama cha wahuni na naomba kuwaambia sisi tunajua vyanzo vya mapato ya maboss wenu na mkiendelea tutawaanika hapa.fanyeni siasa safi sio huu upuuzi wakati mnajijua ni wapuuzi tu.tutawalipua soon endeleeni
July mbona unabakiza maliza kabisa tunawajua kuwa ni watu kupewa na kuambiwa kaseme hili maboss wao wanapewa hela na .........pamoja na ..........sijui tuwalipue kabisa.
 
Dada Juliana si inasemekana ACT-Tanzania tawi lenu kupambana na chadema sasa inakuaje wanakuchafua???
 
Kwa kweli nchi yetu ina sinema za kushangaza mno kwenye siasa zetu..

i mean hata hollywood hawawezi sinema hizi......

yaani unashangaa hili mara linakuja lingine unashangaa tena

Hiyo ni picha ya wazi namna gani uwezo wetu wa kufikiri ulipofikia kama Taifa. Mbona hicho ni kiashiria tu....nenda kwenye michezo, makazini, hospitalini n.k.
 
July mbona unabakiza maliza kabisa tunawajua kuwa ni watu kupewa na kuambiwa kaseme hili maboss wao wanapewa hela na .........pamoja na ..........sijui tuwalipue kabisa.
Walipue mkuu. Unawabakisha nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom