ACT-Tanzania mwiba mkali kwa CHADEMA

ACT-Tanzania mwiba mkali kwa CHADEMA

Poleni chadema na Hongereni ACT.
Baada ya chama cha Chadema kushindwa
propaganda ya kumchafua Mzalendo
namba moja Zitto zuberi Kabwe kuwa
anatumiwa na ccm,waliamua kuwatumia
waandishi wa Tanzania Daima pamoja na
wazee mashuhuri ili kumbakisha chadema.
Hofu kubwa ya chadema ni kuhofia endapo
Zitto atajiunga na chama cha Kizalendo cha
ACT,basi itakuwa mwisho wa chadema.
Pamoja na jitihada za kumbakisha chadema
Zitto alitoa Masharti Magumu ambayo
chadema walishindwa kuyatekeleza.
Moja ya sharti la Zitto kubaki chadema ni
wale waliomzushia tuhuma kuwa
anatumiwa kuhujumu chadema basi warudi
kwenye vyombo vya habari na kukanusha
maneno yao(Sharti gumu)
Sharti lingine ni kuwa yupo tayari kubaki
chadema endapo tu wapiganaji wake
watarudishwa kwenye chama,(Prof
Mkumbo,Mwigamba ,na wengine wengi)
Chadema baada ya kushindwa
kumshawishi,wakaja na plan B.
Katika plan hii waliamua kumrubuni
Mwenyekiti wa muda Bw.Kadawi Limbu ili
asikubali kuitisha uchaguzi wa chama na
kisha akiendeshe chama kwa maelekezo
toka makao makuu ya chadema (Ufipa)
Limbu kwa kushawishiwa na pesa kidogo
zilizoletwa na mtu anaeitwa Saidi
Kubenea,akaapa kuwashughulikia wote
wanaodai uchaguzi ndani ya chama
Akamfukuza Katibu Mkuu wa chama na
viongozi wandamizi wa chama bila kufuata
katiba wala taratibu za chama.
Lengo ni kuhakikisha chama
kinasambaratika ili kumkatisha tamaa Zitto
Kabwe ambae muda wowote atatua ACT
kujenga demokrasia kwa vitendo.
Hatimae Plan B nayo imeshindwa,Maana
mission kupewa mtu mwenye shule ya
Form four (Kubenea)kukabiliana na Think
tank za ACT kama Prof Mkumbo,Zitto na
Mwigamba ni sawa na kumtisha kuku ndoo
ya maji.
Kubenea kumshinda Prof Mkumbo ni sawa
na Kabati kuangushwa na Mende.
Nilitegemea tu kuwa plan B nayo
ingeshindwa maana akili ndogo haiwezi
kuishinda akili kubwa.
Kushindwa kwa mipango hiyo dhidi za Zitto
Kabwe ,kumewagharimu mamilioni ya fedha
chadema ,pamoja na hayo yote chadema
wameibuka na plan C.
Hii nikumwaga pesa kwa wahariri wa
vyombo vya habari ili kuhakikisha habari
chanya za Mzalendo Zitto hazitolewi
kwenye vyombo vya habari.
Lakini pamoja jitihada hizo za chadema
kumhujumu Zitto,lakini Zitto anazidi
kuchanja Mbuga.
Ni katikati ya zengwe hilo ,Zitto alihutubia
mkutani Mkubwa huko mkoani Mtwara kwa
kushirikiana na Mchumi wa Dunia Prof
Lipumba.
Lakin kwa upande wa chama cha ACT-
Tanzania imekuwa neema,chama kimepata
coverage ya kutosha katika vyombo vyote
vya habari.
Chama kimejitangaza bila kutumia
gharama,chakufurahisha nikuwa
wamaoitangaza ACT ni chadema.
Huenda kutokana na uelewa mdogo wa
viongozi wao hawajagumdia kama wanazidi
kuifanya ACT kufahamika mbele ya macho
yawanyonge.
Hapa ndipo unapokubali kuwa chama
kikiwa na viongozi makini kazi ya
kurangaza chama huwa rahisi.
Ni ukweli usiopingika kuwa chadema
ilitangazwa na CCM baada ya kuwa
inasemwa kila ccm walipohutubia.
Pia ni ukweli usiopingika kuwa ACT
inatangazwa na chadema
Hongereni ACT kwa kupata covarage
kwenye vyombo vya habari kwa kutumia
gharama za chadema.
Asanteni chadema kwa kuijenga ACT
kupitia magazeti yenu ya Tanzania Daima
na Mawio.

Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake!!! Nadhani wewe ni umezaliwa kipara kabisaa!! Bulls......!
 
Poleni chadema na Hongereni ACT.
Baada ya chama cha Chadema kushindwa
propaganda ya kumchafua Mzalendo
namba moja Zitto zuberi Kabwe kuwa
anatumiwa na ccm,waliamua kuwatumia
waandishi wa Tanzania Daima pamoja na
wazee mashuhuri ili kumbakisha chadema.
Hofu kubwa ya chadema ni kuhofia endapo
Zitto atajiunga na chama cha Kizalendo cha
ACT,basi itakuwa mwisho wa chadema.
Pamoja na jitihada za kumbakisha chadema
Zitto alitoa Masharti Magumu ambayo
chadema walishindwa kuyatekeleza.
Moja ya sharti la Zitto kubaki chadema ni
wale waliomzushia tuhuma kuwa
anatumiwa kuhujumu chadema basi warudi
kwenye vyombo vya habari na kukanusha
maneno yao(Sharti gumu)
Sharti lingine ni kuwa yupo tayari kubaki
chadema endapo tu wapiganaji wake
watarudishwa kwenye chama,(Prof
Mkumbo,Mwigamba ,na wengine wengi)
Chadema baada ya kushindwa
kumshawishi,wakaja na plan B.
Katika plan hii waliamua kumrubuni
Mwenyekiti wa muda Bw.Kadawi Limbu ili
asikubali kuitisha uchaguzi wa chama na
kisha akiendeshe chama kwa maelekezo
toka makao makuu ya chadema (Ufipa)
Limbu kwa kushawishiwa na pesa kidogo
zilizoletwa na mtu anaeitwa Saidi
Kubenea,akaapa kuwashughulikia wote
wanaodai uchaguzi ndani ya chama
Akamfukuza Katibu Mkuu wa chama na
viongozi wandamizi wa chama bila kufuata
katiba wala taratibu za chama.
Lengo ni kuhakikisha chama
kinasambaratika ili kumkatisha tamaa Zitto
Kabwe ambae muda wowote atatua ACT
kujenga demokrasia kwa vitendo.
Hatimae Plan B nayo imeshindwa,Maana
mission kupewa mtu mwenye shule ya
Form four (Kubenea)kukabiliana na Think
tank za ACT kama Prof Mkumbo,Zitto na
Mwigamba ni sawa na kumtisha kuku ndoo
ya maji.
Kubenea kumshinda Prof Mkumbo ni sawa
na Kabati kuangushwa na Mende.
Nilitegemea tu kuwa plan B nayo
ingeshindwa maana akili ndogo haiwezi
kuishinda akili kubwa.
Kushindwa kwa mipango hiyo dhidi za Zitto
Kabwe ,kumewagharimu mamilioni ya fedha
chadema ,pamoja na hayo yote chadema
wameibuka na plan C.
Hii nikumwaga pesa kwa wahariri wa
vyombo vya habari ili kuhakikisha habari
chanya za Mzalendo Zitto hazitolewi
kwenye vyombo vya habari.
Lakini pamoja jitihada hizo za chadema
kumhujumu Zitto,lakini Zitto anazidi
kuchanja Mbuga.
Ni katikati ya zengwe hilo ,Zitto alihutubia
mkutani Mkubwa huko mkoani Mtwara kwa
kushirikiana na Mchumi wa Dunia Prof
Lipumba.
Lakin kwa upande wa chama cha ACT-
Tanzania imekuwa neema,chama kimepata
coverage ya kutosha katika vyombo vyote
vya habari.
Chama kimejitangaza bila kutumia
gharama,chakufurahisha nikuwa
wamaoitangaza ACT ni chadema.
Huenda kutokana na uelewa mdogo wa
viongozi wao hawajagumdia kama wanazidi
kuifanya ACT kufahamika mbele ya macho
yawanyonge.
Hapa ndipo unapokubali kuwa chama
kikiwa na viongozi makini kazi ya
kurangaza chama huwa rahisi.
Ni ukweli usiopingika kuwa chadema
ilitangazwa na CCM baada ya kuwa
inasemwa kila ccm walipohutubia.
Pia ni ukweli usiopingika kuwa ACT
inatangazwa na chadema
Hongereni ACT kwa kupata covarage
kwenye vyombo vya habari kwa kutumia
gharama za chadema.
Asanteni chadema kwa kuijenga ACT
kupitia magazeti yenu ya Tanzania Daima
na Mawio.

duh mwalimu eti aiseee
 
kwahiyo unataka kutuaminisha Kuwait ACT ni mwiba mkali kwa CHAFRMA na ni rafiki wa CCM! Hatukuelewi
 
kwahiyo unataka kutuaminisha Kuwait ACT ni mwiba mkali kwa CHADeMA na ni rafiki wa CCM! Hatukuelewi
 
Kwa kweli kwa sasa heshima ya kuitwa mwalimu imeshushwa sana na watu kama hawa wakina Kaijage. Au huyu ni mwalimu wa Ujinga?
huyu ni maalim siyo sharif wala yule naibu katibu Mkuu CDM Zanzibar bali ni maalim madrastul au sunday school
 
We mwalimu umesomea wapi ndio maana umefukuzwa Mwilavya secondary sababu huna vyeti hata cha form 4 ulifeli Uganda na shangaa unamponda Kubenea wakati hapa Kasulu wanakujua wewe ni mbumbu,uwezo wako nikutuma salamu hakuna msomi anaepotezaga muda kutuma salamu kwenye redio,Ujinga wako utakufanya kuwa mtumwa wa kumtetea Zito na kuwa mpinzani wa CDM badala ya CCM

Tulishasema Huyu Ndiye Anayechangia Kuwavuruga Wenzake, Mkuu Upuuzi Kama Huu Si Wa Kuchangia. Wakina Shonza Walishakiita Chama Cha Kihuni Sababu Ya Hawa Wajinga.
 
Toka jana nilikuwa nasita sana kuufungua huu uzi, kumbe nilikuwa sahihi, mada ni ya kijinga sana na imejaa pumba tu za kufikirika.

Kwani kati ya chadema na Zito anayemwitaji mwenzie sana ni nani?
 
Hizi ni nondo za kutisha,ikweli mtupu kwa wahafidhina.
Kiukweli hata mimi nilikuwa najiuliza hivi kwanini siku hizi Mawio wanawaandika ACT kumbe ni mission ya chadema?
Daah ,ACT hawakamatiki,nafikiri chama cga ACT kishinda mitaa na vijiji kikiwa hata hakijulikani viongozi wake nitishio kwa vyama vya kifalme pindi kitakapopata watu wenye ushawishi kama Zitto Kabwe.

kama Zitto akitua ACT hakika chagadema watajuta.

wewe ni msukule!
 
Hongera sana Mwl Kaijage kwa Makala nzuri,tulikumis sana Jamiiforums maana wewe ni kiboko ya hawa watumwa wa Mtei.
Ukiona mtu anapemda kumtaja mtu ujue anamkosesha raha hivyo usilegeze uzi,wasasambue mpaka wasambaratike.

mimi sasa nipo ACT -TANZANIA
Ninyi mnaonesha kabisa ni Watumwa wa Zitto.

Kumbe chama kipo kwa ajili ya Zitto awe mwenyekiti? Hamfiki mbali, muulizeni Mrema. Vyama vya kufuata watu na si sera ni shida kubwa.
 
Nilicheka sana siku ile ulivyosema Chadema ni sawa na Panya road.
 
maweeeeee
wahaya mnaaibishwa na hyo kaijage pls ple mshaurini
 
Kuanzisha chama cha upinzani kwa ajili ya kupambanisha chama kingine cha upinzani huo ni kutotambua malengo ya vyama vya upinzani.
 
Zitto ni mwanasiasa ambaye ana malengo ya kujijenga yeye binafsi na si taasisi aliyomo.

Zitto ni mnafiki mkubwa, alitaka kuumbuliwa na Mwampamba humu akanywea jiiiiiiiii!

Zitto ni mroho wa madaraka. Harakati zake zote za kisiasa ni ili yeye awe mwenyekiti, na akikosa yuko tayari kuua chama chake. Ndio maana tunaona kwa mara ya kwanza Tanzania chama cha upinzani kinaanzishwa kwa ajili ya kupambana na kingine cha upinzani.

Halafu huyu ndie ambaye misukule inamwita mzalendo.
Mwl. Kaijage, unaishi kwa ajili ya kumtumikia Zitto na matakwa yake na bado unajiita mwalimu. Unaaibisha taaluma hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mwalimu kaijage kwa kufiwa na bosi wako mr maliatabu, nakushangaa badala ya kukaa msibani kushirikiana na waombolezaji wewe unakuja ku post utumbo humu wa chama ambacho kimeshajifia tangu lilipo anzishwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom