ACT-Tanzania mwiba mkali kwa CHADEMA

ACT-Tanzania mwiba mkali kwa CHADEMA

Hizi ni nondo za kutisha,ikweli mtupu kwa wahafidhina.
Kiukweli hata mimi nilikuwa najiuliza hivi kwanini siku hizi Mawio wanawaandika ACT kumbe ni mission ya chadema?
Daah ,ACT hawakamatiki,nafikiri chama cga ACT kishinda mitaa na vijiji kikiwa hata hakijulikani viongozi wake nitishio kwa vyama vya kifalme pindi kitakapopata watu wenye ushawishi kama Zitto Kabwe.

kama Zitto akitua ACT hakika chagadema watajuta.
 
Hongera sana Mwl Kaijage kwa Makala nzuri,tulikumis sana Jamiiforums maana wewe ni kiboko ya hawa watumwa wa Mtei.
Ukiona mtu anapemda kumtaja mtu ujue anamkosesha raha hivyo usilegeze uzi,wasasambue mpaka wasambaratike.

mimi sasa nipo ACT -TANZANIA
 
Hiki chama wala hakitafika popote hata baada ya miaka 40
 
Very low capacity of reasoning and understanding

Hata huu utumbo nao unataka tujadili??
Act kweli inaongozwa na wanafunzi wa mmemkwa
 
Poleni chadema na Hongereni ACT.
Baada ya chama cha Chadema kushindwa
propaganda ya kumchafua Mzalendo
namba moja Zitto zuberi Kabwe kuwa
anatumiwa na ccm,waliamua kuwatumia
waandishi wa Tanzania Daima pamoja na
wazee mashuhuri ili kumbakisha chadema.
Hofu kubwa ya chadema ni kuhofia endapo
Zitto atajiunga na chama cha Kizalendo cha
ACT,basi itakuwa mwisho wa chadema.
Pamoja na jitihada za kumbakisha chadema
Zitto alitoa Masharti Magumu ambayo
chadema walishindwa kuyatekeleza.
Moja ya sharti la Zitto kubaki chadema ni
wale waliomzushia tuhuma kuwa
anatumiwa kuhujumu chadema basi warudi
kwenye vyombo vya habari na kukanusha
maneno yao(Sharti gumu)
Sharti lingine ni kuwa yupo tayari kubaki
chadema endapo tu wapiganaji wake
watarudishwa kwenye chama,(Prof
Mkumbo,Mwigamba ,na wengine wengi)
Chadema baada ya kushindwa
kumshawishi,wakaja na plan B.
Katika plan hii waliamua kumrubuni
Mwenyekiti wa muda Bw.Kadawi Limbu ili
asikubali kuitisha uchaguzi wa chama na
kisha akiendeshe chama kwa maelekezo
toka makao makuu ya chadema (Ufipa)
Limbu kwa kushawishiwa na pesa kidogo
zilizoletwa na mtu anaeitwa Saidi
Kubenea,akaapa kuwashughulikia wote
wanaodai uchaguzi ndani ya chama
Akamfukuza Katibu Mkuu wa chama na
viongozi wandamizi wa chama bila kufuata
katiba wala taratibu za chama.
Lengo ni kuhakikisha chama
kinasambaratika ili kumkatisha tamaa Zitto
Kabwe ambae muda wowote atatua ACT
kujenga demokrasia kwa vitendo.
Hatimae Plan B nayo imeshindwa,Maana
mission kupewa mtu mwenye shule ya
Form four (Kubenea)kukabiliana na Think
tank za ACT kama Prof Mkumbo,Zitto na
Mwigamba ni sawa na kumtisha kuku ndoo
ya maji.
Kubenea kumshinda Prof Mkumbo ni sawa
na Kabati kuangushwa na Mende.
Nilitegemea tu kuwa plan B nayo
ingeshindwa maana akili ndogo haiwezi
kuishinda akili kubwa.
Kushindwa kwa mipango hiyo dhidi za Zitto
Kabwe ,kumewagharimu mamilioni ya fedha
chadema ,pamoja na hayo yote chadema
wameibuka na plan C.
Hii nikumwaga pesa kwa wahariri wa
vyombo vya habari ili kuhakikisha habari
chanya za Mzalendo Zitto hazitolewi
kwenye vyombo vya habari.
Lakini pamoja jitihada hizo za chadema
kumhujumu Zitto,lakini Zitto anazidi
kuchanja Mbuga.
Ni katikati ya zengwe hilo ,Zitto alihutubia
mkutani Mkubwa huko mkoani Mtwara kwa
kushirikiana na Mchumi wa Dunia Prof
Lipumba.
Lakin kwa upande wa chama cha ACT-
Tanzania imekuwa neema,chama kimepata
coverage ya kutosha katika vyombo vyote
vya habari.
Chama kimejitangaza bila kutumia
gharama,chakufurahisha nikuwa
wamaoitangaza ACT ni chadema.
Huenda kutokana na uelewa mdogo wa
viongozi wao hawajagumdia kama wanazidi
kuifanya ACT kufahamika mbele ya macho
yawanyonge.
Hapa ndipo unapokubali kuwa chama
kikiwa na viongozi makini kazi ya
kurangaza chama huwa rahisi.
Ni ukweli usiopingika kuwa chadema
ilitangazwa na CCM baada ya kuwa
inasemwa kila ccm walipohutubia.
Pia ni ukweli usiopingika kuwa ACT
inatangazwa na chadema
Hongereni ACT kwa kupata covarage
kwenye vyombo vya habari kwa kutumia
gharama za chadema.
Asanteni chadema kwa kuijenga ACT
kupitia magazeti yenu ya Tanzania Daima
na Mawio.

Wewe umekewa gongo huna lolote chumia tumbo mkubwa
 
Kama na wewe ni mwalimu basi ni halali watoto wetu wamalize masomo wakiwa vilaza.

Mkuu kwanza huyu anayejiita Mwalimu Kaijage nasikia anavyeti feki ndio mana walimfukuza hata shule aliyokuwa anafundisha ya Mwilamvya Kasulu,na hivi karibuni alimuomba kazi bwana mmoja anaitwa Hoha anayetarajia kufungua shule mpya kasulu naye nasikia amemtolea nje kwa swala hilo
 
Pole yenu mnaoanza kujenga chama 2015 tegemeeni matunda 2090.
 
Poleni chadema na Hongereni ACT.
Baada ya chama cha Chadema kushindwa
propaganda ya kumchafua Mzalendo
namba moja Zitto zuberi Kabwe kuwa
anatumiwa na ccm,waliamua kuwatumia
waandishi wa Tanzania Daima pamoja na
wazee mashuhuri ili kumbakisha chadema.
Hofu kubwa ya chadema ni kuhofia endapo
Zitto atajiunga na chama cha Kizalendo cha
ACT,basi itakuwa mwisho wa chadema.
Pamoja na jitihada za kumbakisha chadema
Zitto alitoa Masharti Magumu ambayo
chadema walishindwa kuyatekeleza.
Moja ya sharti la Zitto kubaki chadema ni
wale waliomzushia tuhuma kuwa
anatumiwa kuhujumu chadema basi warudi
kwenye vyombo vya habari na kukanusha
maneno yao(Sharti gumu)
Sharti lingine ni kuwa yupo tayari kubaki
chadema endapo tu wapiganaji wake
watarudishwa kwenye chama,(Prof
Mkumbo,Mwigamba ,na wengine wengi)
Chadema baada ya kushindwa
kumshawishi,wakaja na plan B.
Katika plan hii waliamua kumrubuni
Mwenyekiti wa muda Bw.Kadawi Limbu ili
asikubali kuitisha uchaguzi wa chama na
kisha akiendeshe chama kwa maelekezo
toka makao makuu ya chadema (Ufipa)
Limbu kwa kushawishiwa na pesa kidogo
zilizoletwa na mtu anaeitwa Saidi
Kubenea,akaapa kuwashughulikia wote
wanaodai uchaguzi ndani ya chama
Akamfukuza Katibu Mkuu wa chama na
viongozi wandamizi wa chama bila kufuata
katiba wala taratibu za chama.
Lengo ni kuhakikisha chama
kinasambaratika ili kumkatisha tamaa Zitto
Kabwe ambae muda wowote atatua ACT
kujenga demokrasia kwa vitendo.
Hatimae Plan B nayo imeshindwa,Maana
mission kupewa mtu mwenye shule ya
Form four (Kubenea)kukabiliana na Think
tank za ACT kama Prof Mkumbo,Zitto na
Mwigamba ni sawa na kumtisha kuku ndoo
ya maji.
Kubenea kumshinda Prof Mkumbo ni sawa
na Kabati kuangushwa na Mende.
Nilitegemea tu kuwa plan B nayo
ingeshindwa maana akili ndogo haiwezi
kuishinda akili kubwa.
Kushindwa kwa mipango hiyo dhidi za Zitto
Kabwe ,kumewagharimu mamilioni ya fedha
chadema ,pamoja na hayo yote chadema
wameibuka na plan C.
Hii nikumwaga pesa kwa wahariri wa
vyombo vya habari ili kuhakikisha habari
chanya za Mzalendo Zitto hazitolewi
kwenye vyombo vya habari.
Lakini pamoja jitihada hizo za chadema
kumhujumu Zitto,lakini Zitto anazidi
kuchanja Mbuga.
Ni katikati ya zengwe hilo ,Zitto alihutubia
mkutani Mkubwa huko mkoani Mtwara kwa
kushirikiana na Mchumi wa Dunia Prof
Lipumba.
Lakin kwa upande wa chama cha ACT-
Tanzania imekuwa neema,chama kimepata
coverage ya kutosha katika vyombo vyote
vya habari.
Chama kimejitangaza bila kutumia
gharama,chakufurahisha nikuwa
wamaoitangaza ACT ni chadema.
Huenda kutokana na uelewa mdogo wa
viongozi wao hawajagumdia kama wanazidi
kuifanya ACT kufahamika mbele ya macho
yawanyonge.
Hapa ndipo unapokubali kuwa chama
kikiwa na viongozi makini kazi ya
kurangaza chama huwa rahisi.
Ni ukweli usiopingika kuwa chadema
ilitangazwa na CCM baada ya kuwa
inasemwa kila ccm walipohutubia.
Pia ni ukweli usiopingika kuwa ACT
inatangazwa na chadema
Hongereni ACT kwa kupata covarage
kwenye vyombo vya habari kwa kutumia
gharama za chadema.
Asanteni chadema kwa kuijenga ACT
kupitia magazeti yenu ya Tanzania Daima
na Mawio.

Wewe umelewa kayoga au hongo, nguuri, nipa au waragi.eti act ni mwiba kwa chadema? Umeezeka makuti kwenye gorofa.
 
Poleni chadema na Hongereni ACT.
Baada ya chama cha Chadema kushindwa
propaganda ya kumchafua Mzalendo
namba moja Zitto zuberi Kabwe kuwa
anatumiwa na ccm,waliamua kuwatumia
waandishi wa Tanzania Daima pamoja na
wazee mashuhuri ili kumbakisha chadema.
Hofu kubwa ya chadema ni kuhofia endapo
Zitto atajiunga na chama cha Kizalendo cha
ACT,basi itakuwa mwisho wa chadema.
Pamoja na jitihada za kumbakisha chadema
Zitto alitoa Masharti Magumu ambayo
chadema walishindwa kuyatekeleza.
Moja ya sharti la Zitto kubaki chadema ni
wale waliomzushia tuhuma kuwa
anatumiwa kuhujumu chadema basi warudi
kwenye vyombo vya habari na kukanusha
maneno yao(Sharti gumu)
Sharti lingine ni kuwa yupo tayari kubaki
chadema endapo tu wapiganaji wake
watarudishwa kwenye chama,(Prof
Mkumbo,Mwigamba ,na wengine wengi)
Chadema baada ya kushindwa
kumshawishi,wakaja na plan B.
Katika plan hii waliamua kumrubuni
Mwenyekiti wa muda Bw.Kadawi Limbu ili
asikubali kuitisha uchaguzi wa chama na
kisha akiendeshe chama kwa maelekezo
toka makao makuu ya chadema (Ufipa)
Limbu kwa kushawishiwa na pesa kidogo
zilizoletwa na mtu anaeitwa Saidi
Kubenea,akaapa kuwashughulikia wote
wanaodai uchaguzi ndani ya chama
Akamfukuza Katibu Mkuu wa chama na
viongozi wandamizi wa chama bila kufuata
katiba wala taratibu za chama.
Lengo ni kuhakikisha chama
kinasambaratika ili kumkatisha tamaa Zitto
Kabwe ambae muda wowote atatua ACT
kujenga demokrasia kwa vitendo.
Hatimae Plan B nayo imeshindwa,Maana
mission kupewa mtu mwenye shule ya
Form four (Kubenea)kukabiliana na Think
tank za ACT kama Prof Mkumbo,Zitto na
Mwigamba ni sawa na kumtisha kuku ndoo
ya maji.
Kubenea kumshinda Prof Mkumbo ni sawa
na Kabati kuangushwa na Mende.
Nilitegemea tu kuwa plan B nayo
ingeshindwa maana akili ndogo haiwezi
kuishinda akili kubwa.
Kushindwa kwa mipango hiyo dhidi za Zitto
Kabwe ,kumewagharimu mamilioni ya fedha
chadema ,pamoja na hayo yote chadema
wameibuka na plan C.
Hii nikumwaga pesa kwa wahariri wa
vyombo vya habari ili kuhakikisha habari
chanya za Mzalendo Zitto hazitolewi
kwenye vyombo vya habari.
Lakini pamoja jitihada hizo za chadema
kumhujumu Zitto,lakini Zitto anazidi
kuchanja Mbuga.
Ni katikati ya zengwe hilo ,Zitto alihutubia
mkutani Mkubwa huko mkoani Mtwara kwa
kushirikiana na Mchumi wa Dunia Prof
Lipumba.
Lakin kwa upande wa chama cha ACT-
Tanzania imekuwa neema,chama kimepata
coverage ya kutosha katika vyombo vyote
vya habari.
Chama kimejitangaza bila kutumia
gharama,chakufurahisha nikuwa
wamaoitangaza ACT ni chadema.
Huenda kutokana na uelewa mdogo wa
viongozi wao hawajagumdia kama wanazidi
kuifanya ACT kufahamika mbele ya macho
yawanyonge.
Hapa ndipo unapokubali kuwa chama
kikiwa na viongozi makini kazi ya
kurangaza chama huwa rahisi.
Ni ukweli usiopingika kuwa chadema
ilitangazwa na CCM baada ya kuwa
inasemwa kila ccm walipohutubia.
Pia ni ukweli usiopingika kuwa ACT
inatangazwa na chadema
Hongereni ACT kwa kupata covarage
kwenye vyombo vya habari kwa kutumia
gharama za chadema.
Asanteni chadema kwa kuijenga ACT
kupitia magazeti yenu ya Tanzania Daima
na Mawio.

Wewe umelewa kayoga au hongo, nguuri, nipa au waragi.eti act ni mwiba kwa chadema? Umeezeka makuti kwenye gorofa.
 
Hata kuchangia kwa mada za kipuuzi kama hizi ni kupoteza muda, mpumbavu kama kaijage hawezi kupoteza muda wetu, ni kumpuuza tu
 
ACT haifiki popote, itajifia muda si mrefu. hakina mbele wala nyuma kila siku mnalia na CHADEMA, kwani lengo la chama chenu ilikuwa ni kupambana na CHADEMA?
 
ACT isumbue CHADEMA? ? Kweli ni Sawa na kusema kamasi litawale PUA? ?? Majanga act ni sawa na kusema account ambayo ni domant
 
We mwalimu umesomea wapi ndio maana umefukuzwa Mwilavya secondary sababu huna vyeti hata cha form 4 ulifeli Uganda na shangaa unamponda Kubenea wakati hapa Kasulu wanakujua wewe ni mbumbu,uwezo wako nikutuma salamu hakuna msomi anaepotezaga muda kutuma salamu kwenye redio,Ujinga wako utakufanya kuwa mtumwa wa kumtetea Zito na kuwa mpinzani wa CDM badala ya CCM
 
Poleni chadema na Hongereni ACT.
Baada ya chama cha Chadema kushindwa
propaganda ya kumchafua Mzalendo
namba moja Zitto zuberi Kabwe kuwa
anatumiwa na ccm,waliamua kuwatumia
waandishi wa Tanzania Daima pamoja na
wazee mashuhuri ili kumbakisha chadema.
Hofu kubwa ya chadema ni kuhofia endapo
Zitto atajiunga na chama cha Kizalendo cha
ACT,basi itakuwa mwisho wa chadema.
Pamoja na jitihada za kumbakisha chadema
Zitto alitoa Masharti Magumu ambayo
chadema walishindwa kuyatekeleza.
Moja ya sharti la Zitto kubaki chadema ni
wale waliomzushia tuhuma kuwa
anatumiwa kuhujumu chadema basi warudi
kwenye vyombo vya habari na kukanusha
maneno yao(Sharti gumu)
Sharti lingine ni kuwa yupo tayari kubaki
chadema endapo tu wapiganaji wake
watarudishwa kwenye chama,(Prof
Mkumbo,Mwigamba ,na wengine wengi)
Chadema baada ya kushindwa
kumshawishi,wakaja na plan B.
Katika plan hii waliamua kumrubuni
Mwenyekiti wa muda Bw.Kadawi Limbu ili
asikubali kuitisha uchaguzi wa chama na
kisha akiendeshe chama kwa maelekezo
toka makao makuu ya chadema (Ufipa)
Limbu kwa kushawishiwa na pesa kidogo
zilizoletwa na mtu anaeitwa Saidi
Kubenea,akaapa kuwashughulikia wote
wanaodai uchaguzi ndani ya chama
Akamfukuza Katibu Mkuu wa chama na
viongozi wandamizi wa chama bila kufuata
katiba wala taratibu za chama.
Lengo ni kuhakikisha chama
kinasambaratika ili kumkatisha tamaa Zitto
Kabwe ambae muda wowote atatua ACT
kujenga demokrasia kwa vitendo.
Hatimae Plan B nayo imeshindwa,Maana
mission kupewa mtu mwenye shule ya
Form four (Kubenea)kukabiliana na Think
tank za ACT kama Prof Mkumbo,Zitto na
Mwigamba ni sawa na kumtisha kuku ndoo
ya maji.
Kubenea kumshinda Prof Mkumbo ni sawa
na Kabati kuangushwa na Mende.
Nilitegemea tu kuwa plan B nayo
ingeshindwa maana akili ndogo haiwezi
kuishinda akili kubwa.
Kushindwa kwa mipango hiyo dhidi za Zitto
Kabwe ,kumewagharimu mamilioni ya fedha
chadema ,pamoja na hayo yote chadema
wameibuka na plan C.
Hii nikumwaga pesa kwa wahariri wa
vyombo vya habari ili kuhakikisha habari
chanya za Mzalendo Zitto hazitolewi
kwenye vyombo vya habari.
Lakini pamoja jitihada hizo za chadema
kumhujumu Zitto,lakini Zitto anazidi
kuchanja Mbuga.
Ni katikati ya zengwe hilo ,Zitto alihutubia
mkutani Mkubwa huko mkoani Mtwara kwa
kushirikiana na Mchumi wa Dunia Prof
Lipumba.
Lakin kwa upande wa chama cha ACT-
Tanzania imekuwa neema,chama kimepata
coverage ya kutosha katika vyombo vyote
vya habari.
Chama kimejitangaza bila kutumia
gharama,chakufurahisha nikuwa
wamaoitangaza ACT ni chadema.
Huenda kutokana na uelewa mdogo wa
viongozi wao hawajagumdia kama wanazidi
kuifanya ACT kufahamika mbele ya macho
yawanyonge.
Hapa ndipo unapokubali kuwa chama
kikiwa na viongozi makini kazi ya
kurangaza chama huwa rahisi.
Ni ukweli usiopingika kuwa chadema
ilitangazwa na CCM baada ya kuwa
inasemwa kila ccm walipohutubia.
Pia ni ukweli usiopingika kuwa ACT
inatangazwa na chadema
Hongereni ACT kwa kupata covarage
kwenye vyombo vya habari kwa kutumia
gharama za chadema.
Asanteni chadema kwa kuijenga ACT
kupitia magazeti yenu ya Tanzania Daima
na Mawio.

I see nimeamini ACT si chama cha upinzani !!? Hivi hasa nia yao ni ipi , kuchukua inchi na kuingoza au kuingausha CHADEMA ?!! Isee hadi huruma !!
 
Hivi kuna tofauti kati ya act na ccm? Maana act ni kijitawi tu cha ccm,kipo kwa maslahi ya ccm mafisadi.
 
Hongera sana Mwl Kaijage kwa Makala nzuri,tulikumis sana Jamiiforums maana wewe ni kiboko ya hawa watumwa wa Mtei.
Ukiona mtu anapemda kumtaja mtu ujue anamkosesha raha hivyo usilegeze uzi,wasasambue mpaka wasambaratike.

mimi sasa nipo ACT -TANZANIA

Naona Wachumia tumbo mnafarijiana! Nani ahangaike na hicho kijigenge ambacho wilayani kwangu hakina hata mjumbe mmoja? Teh teh teh teh teh
 
Zitto mwenyewe alishajichokea akapayuka kisiasa,hana lolote kwa sasa zaidi ya kuililia cdm imsamehe. Angekuwa maarufu asingekimbilia mahakamani bali angejiengua na kuungana na wasaliti wenzake kujenga hilo tawi la ccm.
 
umimi utaiponza chadema lipumba ukuta wa zito kwa sasa atembezwa na lipumba katika sehemu nyeti za cuf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom