Wakuu katika siku za karibuni kuna chama kipya kimeanzishwa (sidhani kama kimesajiliwa). kinaitwa act chama hiki kinachoenea kwa kasi kwenye mitandao hasa jamii forum kwa kupewa promo ya juu,kinatupa mashaka sana sisi watu wa demokrasia na ukuaji wa nchi.
Mashaka tunayopata ni je chama hichi kimekuja kuikomboa nchi kutoka kwa mafisadi wa magambani au chama hiki kimekuja kuipa upinzani chadema??
nasema hivi kwa kua chama chochote cha siasa kinakua na marengo na sera flani ili kukamata dola lkn chama hiki kinachopewa support na wafuasi wasioelewa hata sera na kanuni za chama hiki kimekua kikijitanabaisha kuipiku chadema kama chama kikuu cha upinzani..hapa ndo napata mashaka haiwezekani chama kianzishwe alafu lengo kuu la chama husika liwe ni kukipinga chama kingine cha siasa..
napata shaka na uelewa wa kisiasa wa viongozi waanzilishi wa chama hichi...