chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Kuna mtu aliniambia Kitila ni fully TISS na ndiye aliyekuwa assigned kuimaliza cdm by 2013. Sikuwahi kmwamini huyo jamaa maana ni mtu wa kawaida tu. Lakini kutokana na huu uking'ng'anizi wa jamaa nimeanza kuamini huenda ikawa ni kweli!
Wakuu,
Baada ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kupoteza uelekeo na kusambaratika, hatimae chama mbadala wa CHADEMA kimepatikana.
Chama hiki makini na mkombozi wa watanzania ni ACT.
ACT ni chama makini sana na viongozi wake ni wasomi hawajakimbia shule wala kupata division zero kwenye mitihani yao,
Sera kuu ya ACT ni maendeleo kwa vijana wote wa tanzania.
ACT ni chama cha watanzania wote hakina ubaguzi wa kidini, kikabila wala kikanda kama vyama vingine
Naomba serikali iboreshe daftari la kudumu la mpiga kura haraka ili vijana wajiunge na chama chao makini wanachokipenda cha ACT.
Naomba kuwakilisha hoja.
Duh. Hii kiboko!Mkuu,
Nimekuwa nikisoma mada nyingi sana katika ukumbi huu ambazo umezianzisha!
Naomba nikiri kuwa,Kati ya wachangiaji wote wa JF ,nafikiri wewe utakuwa na akili ndogo kuliko wote!!!?
Nafikiri ujazo wa akili yako haujai ujazo wa KISODA!
we msukule unahitaji kukombolewa kifikra na chama makini ACT
LEO ACT KIMEKUWA CHAMA MAKINI KULIKO CCM UNAYOTOA MAPOVU KILA KUKICHA KUITETEA HUMU?Acha unafiki na kujitoa nguo hadharani ndugu...
we ni mchumia tumbo tu huna hoja, chama makini cha act kitakukomboa
Ala... Chama cha siasa kinaenezwa kwenye mitandao
Mkuu kwa mtindo huu CCM itatawala milele manake upinzani kugawanyika ndo raha ya CCM sasa naona wanaitangaza ACT bila kujua kuna watakaoondoka CCM na kujiunga na ACT wakidhani hili ni pigo kwa CHADEMA tu
Mhaya na Mnyambo wanazo tunu za kuzaliwa. Tunu hizi huwa zikichanganywa na mazingira mazuri ya Kagera wahaya na wanyambo huishi maisha mazuri hasa kwa tz yetu. Lakini itokeapo mmoja akajichanganya kama Abakorakamo, huanza kuchanganyikiwa, kuwa Opportunist, Tapeli, Mwizi, Mnafiki, Mbabaishaji, Kuendesha Shallow Politics, Biashara bila eneo au mtaji, hujilazimisha kuwa Wasomi kwa kuchanganya kiingereza koko, watakwambia kitu fulani wanajua au mkubwa fulani ni rafiki yangu, nk. Hawa ndio ACT! Nshomile bwana, kama atakuwa ni Mkiristo atajidai kaslim na kuanza kulala msikitini ili awalagai na kuwaibia waislamu maana huwa rahisi, ni mwepesi wa kuifahamu kwa kuisoma na kuitafsiri koran, kwa malengo yaliyo hasidi. Wana lugha ya kutongoza kama ya ZZK na watakudanganya kwa suti zao za mitumba. Zamani wakibeba briefcase siku hizi wana lap top za kichina. Wana tabia ya umalaya usio wa kuuza miili lakini wanaamini kuwa hapendwi mtu au chama bali pesa, hawa watashinda wakiandika ACT hapa mitandaoni wapuuzie.
Mkuu umetumia maneno mengi ikiwa n pamoja na kukashifu kibila za watu kama kawaida ya cdm. Ambayo sera yao kuu ni kukejeli na kukashifu makabila mengine. Mkuu acha ACT iwakomboe watanzania.