ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

masuala ya katiba yanazungumziwa bungeni na wawakilishi wetu tuliowachagua. hapa tunazungumzia chama makini cha siasa ACT. watanzania chadema wameshaichoka

huo utafiti umefanya lini kama sio uzandiki, unafiki na undumilakuwili umekujaa na mahaba ya kisukule ya kidini ya act ya kigoma yamekupumbaza
 
Ni chama cha ZITO hicho wala msiangaike kutaka kujua mwenye nacho.Kuanzisha chama si kazi ndogo...................,CDM haijaanza leo ivyo ACT inahitaji milongo 3 ili kuweza kujua ata kirefu chake.
Zito wa mahakama amekalia kuti kavu na nje ya chadema ataanza moja!
 

lete udhibitisho kuwa ni chama cha zito.....toa uongo wako hapa.......
 

Pungwani wewe.
 
Masikini chadema itabaki kaskazini tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapo penye red binafsi nakushukuru kwa kuwa umekuwa transparent kwamba nyie ni ccm au watoto wake maana ninyi sio wapinzani.Mwenye akili afahamu.
 
kama makatibu wenezi wana akili za kisengerenyuma kama wewe,basi hiki chama kitakufa kabla hata ya kupata usajili wa kudumu!!!
Jibu hoja, viongozi wake wa juu ni kina nani ili maneno yako ya kuwapamba eti ni wasomi tuyaamini!!!

Hivi kwanini ni ngumu kutaja majina ya hawa viongozi jamaa wanazunguka zunguka tu hata hawataji,nina uhakika kwa mtindo huu wa uoga hata wa kutaja majina ya viongozi kitakufa muda sio mrefu,inaonekana ni cha kikabila au kikanda
 
Hapo penye red binafsi nakushukuru kwa kuwa umekuwa transparent kwamba nyie ni ccm au watoto wake maana ninyi sio wapinzani.Mwenye akili afahamu.

mkuu hongera kuwa makini,jamaa kajichongea mwenyewe kuwa kuwa hiki chama ni CCM tu maana kasema vyama vyote vya upinzani ni hovyo tu,kama ACT ingekuwa upinzani nadhani asingesema hivo
 


Acha ndoto za alinacha! Eti act ni chama makini! Viongozi wake sio chochote ila WACHUMIA TUMBO TU.
Kwa sasa na kwa miaka mingi hakuna/ hakutakuwa na chama makini zaidi ya CHADEMA.
 
Acha ndoto za alinacha! Eti act ni chama makini! Viongozi wake sio chochote ila WACHUMIA TUMBO TU.
Kwa sasa na kwa miaka mingi hakuna/ hakutakuwa na chama makini zaidi ya CHADEMA.

viongozi wa act ni watu makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…