ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

chama makini cha ACT kinajiandaa kuchukua nchi mwakani
 
ACT ni genge la wahuni....Na wewe Nyakarungu ni mmoja wa hilo genge la wahuni...Wewe ni msemaji wa wahuni ACT
 
Wewe ndo Punguani kabisa kwa kupotoka.
ACT means Alliance for coward traitors

we msukule wa slaa umeshalewa gongo ACT ni Alliance for Change and Transparency. pimbi mkubwa we
 

wengine tu wageni na hiki chama je waweza toa majina ya safu ya uongozi wa chama? au hawajulikani
 
ACT ni kitengo maalum cha CCM kinachoratibu mipango ya kuivuruga Chadema.

CDm inajivuruga yenyewe hakuna mchawi juu ya kifo cha cdm na ccm. Vyama hivi vyote (ccm n cdm) vinampango wa kuwanya wtz masikin milele. Acha ACT chama cha vijana kisichokua na mmiliki. Wamiliki ni watanzania wote wapenda mandeleo.
 
Inavoonesha ni chama cha kishirikina,mbona viongozi wake hawajulikani? halafu ni cha kibaguzi,mbona hakiwajali watoto na wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…