gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,343
- 3,396
Ni ukweli usiopingika kwamba maisha ya uanachama wa Prof Lipumba kwenye chama alichokipigania kwa jasho na damu upo mashakani.Kuna kila dalili Lipumba akatimuliwa uanachama na chama chake.
Ni bora kuondoka kwa heshima kwa kujivua mwenyewe uanachama kuliko kusubiri akawapa nafasi kina Mtatiro wakamuondoa na kujiona washindi.Kutimuliwa ni jambo la aibu si vema Lipumba akalisubiri,ni wakati sasa wa Lipumba kuchukua maamuzi ya haraka kujiwajibisha mwenyewe ili kujilindia heshima yake.
Lipumba ajiondoe haraka ahame chama tena awemakini juu chama ambacho atakichagua kuelekea.Ni imani yangu ACT wazalendo kingekua chama muafaka kwake.Lipumba ni mpinzani na abaki kuwa mpinzani hili litaendelea kumjengea heshima.
Kama ACT wazalendo watampata Lipumba basi watakuwa wameongeza nguvu kubwa sana kwenye chaguzi zijazo kwani ni wazi Lipumba ni kama taasisi nyuma yake wapo wengi watakao mfuata.