ACT ndipo mnapokosea hapa, kuweni makini sana!

Wakuu,

Bado siamini kwamba Zitto can do that . Nadhani tuache habari za kupakaza . Je mleta taarifa umekiona kitabu hicho na kukinunua mkutanoni?

I am just curious
 
We tafuta kwenye mikutano yao huku Tabora utakiona.Me Napenda vyama vyote vyenye kuleta changes na challenges kwa chama tawala!Ila kwa hapa mnacheka nduguzanguni, Marehemu aliacha mke na watoto na bado wanamliliangeandaa kitabu chenye sera za chama kikinadi na sio haya.

Zzk ndio anadhani anajenga chama na kwa kumpakazia mbowe anafikiri ndio anaimaliza cdm kumbe ndio anakabomoa hako ka vikoba
 
unauhakika gani kwamba chama cha ACT kinahusika na uuzwaji wa hicho kitabu?? kuna nembo ya ACT??? je km n wafanya biashara wameona soko lipo kwenye mkutano wa ACT wasiuze icho kitabu??? na kama mbowe aliona kaonewa kwa nn hakuzuia mahakaman uchapishwaj wa icho kitabu kabla ata ya ACT kuzinduliwa???

Huna ulicho kiandika hapa na hujaeleweka kajipange upya.
 
Ingalikuwa Mh. Mbowe alihusika na kifo cha Wangwe wala CDM haingekuwepo mda huu, ingebaki historia.

Kwa jinsi serikali ya ccm inavyo iogopa cdm naamini leo hii cdm wasinge kuwepo ktk uso wa dunia
 
unauhakika gani kwamba chama cha ACT kinahusika na uuzwaji wa hicho kitabu?? kuna nembo ya ACT??? je km n wafanya biashara wameona soko lipo kwenye mkutano wa ACT wasiuze icho kitabu??? na kama mbowe aliona kaonewa kwa nn hakuzuia mahakaman uchapishwaj wa icho kitabu kabla ata ya ACT kuzinduliwa???

Mkuu me sina chama, sawa?Sio Ccm,sio Chadema,Sio CUF, Sio NCCR, Wala sio ACT! Ya chadema hayahusiani na mm kuleta huu uzi.Penye ukweli upuuzi hujitenga.
 
Wakuu,

Bado siamini kwamba Zitto can do that . Nadhani tuache habari za kupakaza . Je mleta taarifa umekiona kitabu hicho na kukinunua mkutanoni?

I am just curious

Mkuu sio mimi tu, hata wengine waliokiona watakuja hapa kukithibitishia, Hakijaandilwa na ACT wala hakina nembo ya ACT,Hata mwandishi wake sijui yuko Mlengo upi! Swali; Je,mbona kinauzwa na wanacha wa ACT tu kwenye mikutano yao?Sidhani hata CCM yenye watu wengi wasomi kama wanaweza kufanya hilo jambo.
 
Sisi Wazalendo tuko kwa ajili ya kupambana na upinzani kwa hisani ya kile chama chetu tawala
 
unauhakika gani kwamba chama cha ACT kinahusika na uuzwaji wa hicho kitabu?? kuna nembo ya ACT??? je km n wafanya biashara wameona soko lipo kwenye mkutano wa ACT wasiuze icho kitabu??? na kama mbowe aliona kaonewa kwa nn hakuzuia mahakaman uchapishwaj wa icho kitabu kabla ata ya ACT kuzinduliwa???

Good analysts you made my day
 
Mhkinana alizunguka nchi nzima akiwa na Nape Nnauye hakuwahi kupata maombi ya watu kuuza vitabu vya Chacha wangwe.

Pili,Tunavyombo vya usalama Tanzania,ambavyo vinataaluma ya upelelezi,Act kwa kuuza kitabu hicho mnataka kuishawishi Mahakama kuwa ninyi mnajua zaidi nani alimuua wangwe na kwa hivyo mnadhihirisha kuwa haki haikutendeka.

Kama mnaushahidi badala ya kuuza kitabu hicho nendeni mahakamani,vinginevyo tutaamini kuwa Act ni ccm ambayo inawezeshwa na ccm na ili kuhadaa umma,inalazimika kuchapisha vitabu vya chacha Wangwe kwa kodi za wananchi ili kuwaaminisha wananchi uongo na kuwalisha matangopori.

Jiandaeni kusulubiwa,muda bado utasema tu
 
Hawana Sera wala dira zinazoeleweka.yet macho
 
Wakuu,

Bado siamini kwamba Zitto can do that . Nadhani tuache habari za kupakaza . Je mleta taarifa umekiona kitabu hicho na kukinunua mkutanoni?

I am just curious

Act bila kutaja Chadema walininyanyasa,sera itakuwa nini,lini mtu anayrhamahama chama hasa cha upinzani ukadhani anatafuta marndeleo ya raia,zaidi ya kulinda nafasi yake?

Kukaa kijiweni hadi uwe umezoea,vyeo vinamuuma sana
 
Kuna baadhi ya watanzania ni wajinga sana. Mmojawapo ni huyu mleta mada.
Kwanza amejitambulisha kuwa hayuko chama chochote. Halafu hapo hapo maandiko yake yanaonyesha wazi wazi kuitetea CHADEMA na kuikandamiza ACT. Kwani unaona ni sahihi kwa Mbowe kukatisha uhai wa mwenzie kisa madaraka?
 
unauhakika gani kwamba chama cha ACT kinahusika na uuzwaji wa hicho kitabu?? kuna nembo ya ACT??? je km n wafanya biashara wameona soko lipo kwenye mkutano wa ACT wasiuze icho kitabu??? na kama mbowe aliona kaonewa kwa nn hakuzuia mahakaman uchapishwaj wa icho kitabu kabla ata ya ACT kuzinduliwa???
wake wa cha cha wangwe na waoto wake wote ni matahira kama wana uhakika Mbowe alimuuwa chacha wangwe mbona hawajaenda mahakamani propaganda za act za ovyo sana
 
Zzk ndio anadhani anajenga chama na kwa kumpakazia mbowe anafikiri ndio anaimaliza cdm kumbe ndio anakabomoa hako ka vikoba
Zitto ni M.s.a.l.i.ti.Aya.to,llah amezoe kubebwa hana fikra za kuendesha chama ndio maana anatumia njia ovu za kujitangaza , kwa nini watoto wa chacha wangwe, au wake zake wasimshitaki Mbowe bali Zitto alishikie bango jambo ovu kama hilo, anadhani atamuweza mbowe alimshindwa akiwa ndani ya chadema itakuwa sasa akiwa kapi
 
Kuna baadhi ya watanzania ni wajinga sana. Mmojawapo ni huyu mleta mada.
Kwanza amejitambulisha kuwa hayuko chama chochote. Halafu hapo hapo maandiko yake yanaonyesha wazi wazi kuitetea CHADEMA na kuikandamiza ACT. Kwani unaona ni sahihi kwa Mbowe kukatisha uhai wa mwenzie kisa madaraka?
Zitto huna akili una laana ya mama yako unadhani hiyo propaganda itapaisha chama chako ha ha watoto wa chacha wangwe na wake zake ni bei rahisi sana wanaingia kwenye propaganda za kijinga kama hizo Zitto chelewi kulia mchezo unaoucheza majibu yake yako karibu mno
 
Kuna baadhi ya watanzania ni wajinga sana. Mmojawapo ni huyu mleta mada.
Kwanza amejitambulisha kuwa hayuko chama chochote. Halafu hapo hapo maandiko yake yanaonyesha wazi wazi kuitetea CHADEMA na kuikandamiza ACT. Kwani unaona ni sahihi kwa Mbowe kukatisha uhai wa mwenzie kisa madaraka?

Nilitaka nikuite VUVUZELA lakini natengua kauli yangu kwa kua hujui lolote!Mm sina chama ila penye ukweli napenda sana kusimamia?Nimeuliza kwamba hata CCM chama hasira sana na wapinzani hawawezi kuyafanya haya!Mh kinana au Nape kwa akili zao nazozijua hawawezi kufanya upuuzi kama huu.Kama kitu kesi iliisha mahakamani unaenda kujikunja na kujifungia ndani kungeneza uongo ili ujipati pesa wataka nini? Kama Mbowe alikua na makosa mbona hayuko jela?
 
Unasema ni uongo kwa sababu huna uchungu na kifo kile, ila familia yake bado kidonda hakijapona kwahiyo wakimuona Mbowe wanatamani wamrarue rarue!
 
Nilitaka nikuite VUVUZELA lakini natengua kauli yangu kwa kua hujui lolote!Mm sina chama ila penye ukweli napenda sana kusimamia?Nimeuliza kwamba hata CCM chama hasira sana na wapinzani hawawezi kuyafanya haya!Mh kinana au Nape kwa akili zao nazozijua hawawezi kufanya upuuzi kama huu.Kama kitu kesi iliisha mahakamani unaenda kujikunja na kujifungia ndani kungeneza uongo ili ujipati pesa wataka nini? Kama Mbowe alikua na makosa mbona hayuko jela?
Waliomtanguliza Zitto mbele hawana akili kama yeye tunamuuliza na kumueleza hana ubavu na Mbowe amemkimbia yupo ana hanja hanja tu angalia watu wanaomzunguka Anna Mgwira, Selemani ha ha siasa za zitto kaputi hana wa kumsaidia kufikiri kwa sababu tangu azaliwe hajawahi endesha chama
 
Kwahiyo kuwepo kitabu cha chacha wagwe ndio uunganishe na act? Mbona kwenye book shop vipo . kwani Zzt kakitangaza hicho kitabu au yeye Ndoo kakiandika? Wewe mbona unaweweseka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom