Zitto atawavuruga sana mpaka mtafutane zitto waswage tu walizoea kupotosha wamepata kiboko yao.Jamaa kaishiwa kiasi hiki???
Kuendesha chama si mchezo ,walio kuwa na mashaka na malengo ya chama hiki wanazidi kuwa na kila sababu ya kutokiamini
Wewe ni Msukule wa Mbowe! Wacha kujambajamba hapa. Mwambie aende mahakamani na wewe uwe shahidi wake.Habarize wandugu!
Kwanza naomba niseme kua mimi ni mtoa mada tu na siko affiliated na part yeyeto! Napenda tu kuchangia pamoja na kutoa mada humu.
ACT kwa suala la kutembea na kuuza kitabu kinatoa simulizi ya kifo cha marehemu CHACHA WAMNGWE mtawafanya wananchi wawaelewe kua mmetumwa, Sasa kama Mbowe alihusika kwenye kifo hicho ninyi kinawahusu nini?
Kesi iliisha mahakamani na alishinda kesi huku ninyi mnatengeneza kitabu kujipatia pesa, hamuoni kua akienda mahakamani mtaelekea kubaya?
Kwanini mhangaike naye msihangaike na Chama tawala ambao wametufikisha hapa tulipo ili mlete babadiliko?
Sasa mkihangaika na Chadema mtapata wapi muda wa kuhangaika na CCM?
Mtawaaminisha wananchi kua mnaimarisha chama tawala hu mkifanya kazi ya kuua upinzani. Wapinzani wenyewe bado idadi yao hailingani na ya CCM na hamtaweza kuwashawishi wote, Sasa mtaambulia nini hapo?
Haswaaaaaa kama noma naiwe noma!mbowe kamwaga mboga kwanini tusimwage ugali?
Mkuu Mh Mbowe ana mambo mengi yakufanya kuhusu taifa hili hawezi kupoteza muda kwa kujibishana nawapumbavu!
Mnafiki mkubwa,nenda ukamshauri Mbowe na vifaranga vyakr
Kuna baadhi ya watanzania ni wajinga sana. Mmojawapo ni huyu mleta mada.
Kwanza amejitambulisha kuwa hayuko chama chochote. Halafu hapo hapo maandiko yake yanaonyesha wazi wazi kuitetea CHADEMA na kuikandamiza ACT. Kwani unaona ni sahihi kwa Mbowe kukatisha uhai wa mwenzie kisa madaraka?
Wewe ni Msukule wa Mbowe! Wacha kujambajamba hapa. Mwambie aende mahakamani na wewe uwe shahidi wake.
DEO MECK ni Mwenyekiti wa Kitengo cha Vijana(NCCR-Mageuzi),Huwezi jua labda hapo ndipo kaliona SOKO Asiuze kitabu chake kwa vile WAUAJI mnaogopa kukumbushwa kuhusu mauaji mliofanya.Kwa vile kitabu kimeuzwa kwenye mikutano ya #ACTWazalendo basi conclusively Zitto ndo anauza.Mbona JF siku hizi kuna VILAZA sana.Zamani ilikuwa mtu ukitaka kuanzisha MADA amma KUKOMENTI unajiuliza mara mbili.Siku hizi JF is FULL OF SHITS.......
akili zao ni kwamba hiyo ni moja ya siri ya kuimaliza CDMHabarize wandugu! Kwanza naomba niseme kua mimi ni mtoa mada tu na siko affiliated na part yeyeto! Napenda tu kuchangia pamoja na kutoa mada humu. ACT kwa suala la kutembea na kuuza kitabu kinatoa simulizi ya kifo cha marehemu CHACHA WAMNGWE mtawafanya wananchi wawaelewe kua mmetumwa, Sasa kama Mbowe alihusika kwenye kifo hicho ninyi kinawahusu nini? Kesi iliisha mahakamani na alishinda kesi huku ninyi mnatengeneza kitabu kujipatia pesa, hamuoni kua akienda mahakamani mtaelekea kubaya? Kwanini mhangaike naye msihangaike na Chama tawala ambao wametufikisha hapa tulipo ili mlete babadiliko? Sasa mkihangaika na Chadema mtapata wapi muda wa kuhangaika na CCM? Mtawaaminisha wananchi kua mnaimarisha chama tawala hu mkifanya kazi ya kuua upinzani. Wapinzani wenyewe bado idadi yao hailingani na ya CCM na hamtaweza kuwashawishi wote, Sasa mtaambulia nini hapo?
MBOWE Akiona komenti hii,Lazima ufukuzwe uanachama.WEWE NI MSALITI.This is funny, wakati ni chama kimoja na CDM walikua kimya, sa hivi kufukuzwa na kuunda kachama kao wanaanza kufichua maovu yaliyokua yakifanyika... Only in the next life ntampa kura mtu wa namna hii, its obvious hadi hapo kua hawapo kwa ajili ya watu, wapo kwa ajili ya wao wenyewe, wangekuwepo kwa ajili ya watu wangefichua maovu haya toka mwanzoni kuonyesha kabisa kua they care... so stupid
MBOWE Akiona komenti hii,Lazima ufukuzwe uanachama.WEWE NI MSALITI.