Act like a Lady, Think like a Man

Hizo ndo sifa bainishi za mwanamke? Akifuatilia current events anakuwa anafikiri na kutenda kama mwanaume?

Kwa mtaji huo basi Folly Bah Thibault si mwanamke anayefikiri kama mwanamke!
 
Reactions: EMT
NI kama Steve ana suggest
to think like a woman is think like a loser...hivi...

Tatizo tulilonalo siku hizi ni wanaume wengi wengi ku-think na ku-act like women.

Wengi wanafanya hivyo kujaribu kuwa-please wanawake.

Hata hivyo, ina-backfire maana wanawake wengi hawataki kuwa na feminine looking men.
 
You can say that again
halafu wanawake ni viumbe wa ajabu mno
atataka ubadilike uwe more 'sensitive' na more 'caring'
ukibadilika tu ana lose interest na wewe lol
anatafuta a real dog out there lol
 
Reactions: EMT
Tatizo ni kwamba the moment you think kua all women have a way of thinking, umesha kosea.
Kweli kunaweza kua na common trait in some women thinking ambazo hazipo kwa wanaume
but huwezi sema in general women love surprises. mwandishi wa post hii hapendi kabisa sueprises!
Vile vile huwezi sema all men think the same, ingawa kunaweza kua na idadi kubwa ya wanaume
wanao penda the same sort of things, in a given enviironment, a given education, a given class etc.
So hayo ya "think like a man" na wanaposema how men think, mi tayari naona ni kujaribu ku-mystify tu
 
Reactions: EMT
You can say that again
halafu wanawake ni viumbe wa ajabu mno
atataka ubadilike uwe more 'sensitive' na more 'caring'
ukibadilika tu ana lose interest na wewe lol
anatafuta a real dog out there lol

Ushawahi jiuliza kwa nini bad boys wanakuwa wanatoka na vipusa wakali?
 
Reactions: EMT
You can say that again
halafu wanawake ni viumbe wa ajabu mno
atataka ubadilike uwe more 'sensitive' na more 'caring'
ukibadilika tu ana lose interest na wewe lol
anatafuta a real dog out there lol
hahahahaha, haya bwana, I give up!
 
sina uhakika, lakini inawezekana hayo unayoyasema....
lakini pia inawezekana kunatokea kuto-kuelewana.
mfano unaweza dhani huyu dada ananiita kumbe wala hata wazo na wewe halipo.
kuna watu kama mimi huwa siwezi kum-push mtu bila sababu, mpaka anikosee ndo nitalazimika kum-push, otherwise nitakuwa friendly kwa mtu yeyote.
inawezekana kwa hiyo tabia yangu watu wanaweza wasinielewe. jinsi unavyojitahidi kuwa nice kwa mtu anadhani unamwita, kumbe ndo alivyo. akikutokea na ukamkataa mtu anakuwa hakuelewi, kichwani mwake anaamini kabisa kuwa ulikuwa unamwita, kumbe wewe kichwani kwako wala huna hata wazo la kuongea naye baadhi ya stori, let alone kutoka naye. hili pia tunaliongeleaje? KUTOKUELEWA SIGNS
 
But people should not rely too much on this book.

Naona kama kipo kwa ajili ya money-making zaidi.

Read it and make your own judgement.

We should not forget that we're individual and behave differently.
 
Nadhani hicho kisehemu "Think Like a Man" ni ujumbe kwa wanaume...
halafu hicho kipande cha "Act Like a Lady" ni mahsusi kwa wanawake...
watu8, hapana kitabu chote kiko meant kwa ajili ya wananwake. Mimi chapter iliyonishangaza ni 'Why Men Cheat'
 
Hizo ndo sifa bainishi za mwanamke? Akifuatilia current events anakuwa anafikiri na kutenda kama mwanaume?

Kwa mtaji huo basi Folly Bah Thibault si mwanamke anayefikiri kama mwanamke!

Bearing in mind every person is unique, haziwezi kuwa kwa kila mwanamke.

Just people trying to find ways of making money and the easy target seems to be women.
 
The phenomenon of love!
 
kuna dada alisema this worked for her, she managed to "hoock" the man of her dreams.
Nilipo chunguza nilihisi it must be the pygmalion effect: she shared the book with her charming prince!

Hata saa mbovu inakuwa sahihi mara mbili kwa siku.

Na naamini kwamba kuna watu wengine wanasaidilika kweli kwa hivi vitabu, lakini wengi wanaovisoma kama tayari wana low self esteem haviwasaidii bali kuwazidisha
 
Reactions: EMT
But people should not rely too much on this book.

Naona kama kipo kwa ajili ya money-making zaidi.

Read it and make your own judgement.

We should not forget that we're individual and behave differently.

Kwenye kitabu hiki Steve ana wa enjoy mno wanawake
aliposema ili kuridhika wanahitaji four different men
ni kama amesema its impossible kumridhisha mwanamke lol
 
Hata saa mbovu inakuwa sahihi mara mbili kwa siku.

Na naamini kwamba kuna watu wengine wanasaidilika kweli kwa hivi vitabu, lakini wengi wanaovisoma kama tayari wana low self esteem haviwasaidii bali kuwazidisha
IN some places niliona anatumia techniques za waganga wa kienyeji:
anaweka so many things for a simple fact that lazima uji-recognize!
kama alivo sema Bwa'nchuchu, ni mambo ya mtazamo, mtazamo wake
ni lazima kuna ambao watamuunga mkono, wengine hawamuungi,
na wengine wanaunga baadhi, na ku-reject baadhi ya anayo sema.
 
Kwenye kitabu hiki Steve ana wa enjoy mno wanawake
aliposema ili kuridhika wanahitaji four different men
ni kama amesema its impossible kumridhisha mwanamke lol

And from the looks of it he made a killing. Couple that with his nationally syndicated morning radio talk show and the feature film based on it- Think Like A Man-, he is sitting pretty.
 
Agreed.

Kutokuelewa kuko sana, tena kwa pande zote mbili.

Kwa mfano, nina tabia (sijui ni mbaya au ni nzuri) nikitambulishwa kwa mwanamke, kama amependeza kutokana na efforts zake, huwa namwambia genuinely and innocently kuwa amependeza.

Noma, ni ukishaondoka eneo la makutano, nakuja kuambiwa baadae kuwa, "...unajua yule mwanamke niliyekutambulisha siku pale blah blah?" ...... "Ana-kumind.."

Sometimes, just joking around, tayari mwingine anachukulia seriously.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…