Acp liberatus barlow umetanguliza nini huko uendako?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Acp liberatus barlow umetanguliza nini huko uendako?!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by CHAI CHUNGU, Oct 15, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Peleni wa TANZANIA wote kwa msiba mzito uliotukuta juu ya kuondokewa na mpiganaji huyu.
  Binafsi imeniuma,ingawa nimekua nikifatilia comments za humu ndani tangu siku ya tukio mpaka sasa na kama ningekua jaji basi ningetoa point 60:40.
  Nikiwa na maana kuna walioguswa na kuumizwa na hili,na pia kuna walioona ni poa tu.
  By the way mimi sipo hapa kulisemea hilo.
  Nipo hapa kwa ajiri ya kukumbushana kwamba dunia ni mapito na kwake tutarejea.
  Tayari kamanda Barlow kishapata VIZA ya kwenda mbele ya bwana.
  Kiutaratibu kila mtu anayepata VIZA hii ni lazima aende na GIFT,na GIFT hiyo ni lazima iwe mbele kisha yeye nyuma,na pia GIFT hiyo imegawanyika sehemu mbili(nzuri/mbaya)sasa swali jee,kamanda huyu,ambaye ni mh hayati jee yeye katanguliza gift gani?na mimi na wewe ambao bado hatujapewa VIZA hiyo(tupo hai)jee tumejiandaa kumpelekea bwana mkubwa GIFT gani?
  Nawatakia mchana mwema na M/mungu awape moyo wa subra ndugu wote wa marehemu.
  Nisalimieni wana JF wote hapo nyumbani.
  RIP ACP BARLOW!
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,429
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
  Umesomeka mkuu.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,399
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  hilo swali ni gumu!!!
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Yes ni gumu.
  But ni lazima ipo siku utalazimishwa kulijibu,na tena kwa bakora!!!!!
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,803
  Likes Received: 1,019
  Trophy Points: 280
  asante kwa kutukumbusha mkuu!
   
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Siku hiyo kutakuwa na vilio na kusaga meno! Atunusuru muumba wetu, amen!
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Atakua ametanguliza bunduki na pingu huyu!
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Dahhhhhh!
  J2 lazima niende church lol!
   
 9. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,764
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa ujumbe.
   
Loading...