Achora picha ya mama na kulala nayo...

Achora picha ya mama na kulala nayo...

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
An Iraqi boy who lost his mother so he drew himself a mother on the ground and slept next to her.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    16.6 KB · Views: 519
Very sad, May God rest her soul in eternal peace.
 
maskini this heartless world!!!!!!!!!!!!so saaaaaaaaaad!!!!!! poor boy The almighty one will always be with you.
 
Dah!
R.I.P mamake huyo Boy.
Ila kwa kweli hakuna kama Mama chini ya jua.

:rip: Mama yangu kipenzi.
 
Pole sana,kukosana mapenzi ya mama pagumu,amenikumbusha mbali sana, mama zetu Mungu awaweke mahali pema peponi,ameen
 
Usikute mama yake aliuawa na jeshi la America. Nahisi tuu.

Hapana, siku hizi wanauliwa kwa sucide bombers wa Kishia na Sunni sect violence.

Na haka katoto kanatia huruma jinsi kanavyo mmiss mama yake. I hope he will grow to be a good man.
 
Usikute mama yake aliuawa na jeshi la America. Nahisi tuu.

Haijalishi mama yake alikufaje, hadithi hapo ni HANA MAMA.

Iraq inapitia magumu mengi hata sasa. America haikuwahi kutarget raia Iraq. Vifo vingi vimetokea kwa huu ugomvi wa Shiite vs Sunni ambapo mwarabu mmoja haoni shida kuvaa bomu na kulipua msikiti wa dhehebu pinzani.

Pia wapo wale waliokuwa wahanga wa mauaji ya halaiki ya Wakurd yaliyofanywa na marehemu Saddam Hussein kwa mkono wa Chemical Alli. Kukimbilia kuishutumu America ni ukosefu wa akili, Syria ile pale juzi wamekufa raia 50 kwa mpigo
 
Hapana, siku hizi wanauliwa kwa sucide bombers wa Kishia na Sunni sect violence.

Na haka katoto kanatia huruma jinsi kanavyo mmiss mama yake. I hope he will grow to be a good man.

Natamani kangekuwa nearby kapate hifadhi. At least hapa kangeona amani for a while before hawa waua tembo hawajaanza kuua watu
 
Back
Top Bottom