Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

Status
Not open for further replies.
Ndiyo Yalivyo Ma Mama Ya Kichaga.Huwa Yana Sura Ya Kazi Na Bonge La Mwili Alafu Miguu Miembambaaa,,, Kwi Kwi Samahan Watan Wangu

Insult asee sio wanawake wote wa kichaga wapo hivo
 
mbona kama huyo bidada nimeshatafuna lakini haitwi rozi alinidanganya ....au ni macho yangu .....inawezakana nimemfananisha

ngoja kwanza nitafute uhakika nitarudi
 
Mamaa Paulina mama ya kutoka pande ya machame. Ni kwikwi hii mama ilishatutoa baru Mimi na mshikaji wangu tulimpeleka mume wake hm, ilivuta beto tulilala mbele mbaya.
Mume wake alikuwa Abbas Tumbi ambaye alikuwa ni dereva pale ICTR alivyofariki ndiyo huyu mama akapata favor ya job pale ICTR

Ayaaaaaa........kumbe Paulina........dada wa siku nyingi sana A town........kama ni huyo........wacha nichague kukaa kimya........
 
Ayaaaaaa........kumbe Paulina........dada wa siku nyingi sana A town........kama ni huyo........wacha nichague kukaa kimya........

Hahahaha!!! Unamjua huyu Paulina vizuri eeeh
 
Jinsi bidada alivyo kwenye picha anaendana na tukio alilofanya, juzi kati mtu alileta uzi kuhusu Wakurya kumbe kuna sehemu zingine nako yanatokea ila Ukuryani huwa matukio yanavuta hisia sana kwa watu kwa kuwa kila mtu akili yake ameiweka kuwawazia mabaya yale majamaa ila hata sehemu zingine yanatokea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom