Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

Status
Not open for further replies.
Unataka kuniambia huyu dada ni kabila la kina ufoo osaro...???hatare sana
Hujakosea mkuu! tena ni mama mmoja ila baba tofauti...ila nahisi huyo dada alikuwa anamhonga mihela huyo jamaa marehemu na marehemu akawa anapeleka mapenzi kwa wasichana wengine...chezea mahabu niue...rip
 
Hivi saa aliyovaa Willy ni yake au ya Rose, au zimefanana?
 
Hujakosea mkuu! tena ni mama mmoja ila baba tofauti...ila nahisi huyo dada alikuwa anamhonga mihela huyo jamaa marehemu na marehemu akawa anapeleka mapenzi kwa wasichana wengine...chezea mahabu niue...rip

Hii ni hatari sana mkuu....kweli mahaba ninyonyoe nywele
 
Kama vile unamfahamu huyo dada alikuwa anafanyakazi ICTR alikuwa anendesha gari kibabe sana.mume wake alishafariki siku nyingi.

wajua ile #physique yake inaonesha tu ukimuangalia kwa umakini, ila ndio hivyo mkuu ashamlambisha mdau beto za kutosha kisa mapenzi.
 
attachment.php

Mbona huyu Bidada anaonekana mkubwa kuliko kijana usikute kijana alikuwa anavuta mshiko halafu anakwenda kutafuta dogo dogo
 
wajua ile #physique yake inaonesha tu ukimuangalia kwa umakini, ila ndio hivyo mkuu ashamlambisha mdau beto za kutosha kisa mapenzi.
Na ndio maana huwa wanachagua "softies" wakiona una misimamo na mkunja ndita wanakimbia!!!
Wanataka ever smilling!!!!
 
attachment.php

Mbona kama nawafahamu hasa huyo mama namuonaga kwenye majengo ya AICC.
 
Mamaa Paulina mama ya kutoka pande ya machame. Ni kwikwi hii mama ilishatutoa baru Mimi na mshikaji wangu tulimpeleka mume wake hm, ilivuta beto tulilala mbele mbaya.
Mume wake alikuwa Abbas Tumbi ambaye alikuwa ni dereva pale ICTR alivyofariki ndiyo huyu mama akapata favor ya job pale ICTR
 
Haa jaman huyo mkaka wa ukwee alikosa wa rika yake kweli mhh
 
Sio mbaya as long as ni mpnz wake... Kosa lilianzia kwenye kuchagua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom