Achieni Keyboard mkaongoze mapambano makamanda

Aidha, maandamano yafanyike yasifanyike lakini raia bado ni washindi, kwa kuzuia shughuli halali za kiuchumi, rukeni mtakavyo matokeo mtayaona kama sio leo basi wiki ijayo vitu vikianza kupanda bei.
 
Reactions: naa
Coca una mapepo?
Si wewe tar 29 tulitoka kupinga uhuni wa gavoo.!! Na risasi ikakukosa IMEKUWAJE TENA? 😥
Mahiii najua hamuwezi kuelewa, ila mnisameheee.
Sio kwamba nafanya haya kukatisha tamaa au napenda ila bas tUuh.

Kuna Waja wamenitibua asubuhi hii ya leo humu ndani sina hamu hata.
 
Mbona mie niko na wapigania uhuru kila dkk, ila haya nayoyafanya kuna baadhi ya watu ndo nataka iwafikie.

Hamasa ikitokea huko road, najoin. Huwa sijari lolote mie.
 
Reactions: naa
Mahiii najua hamuwezi kuelewa, ila mnisameheee.
Sio kwamba nafanya haya kukatisha tamaa au napenda ila bas tUuh.

Kuna Waja wamenitibua asubuhi hii ya leo humu ndani sina hamu hata.
Wamekutibua nini?
Na kwanini uwape umuhimu kwenye maisha yako?

Udugu simamia haki na kile unachokiamini, hao wapuuze.

Safari ya ukombozi haijawahi kuwa nyepesi watatokea wavurugaji..!!
 
Wamekutibua nini?
Na kwanini uwape umuhimu kwenye maisha yako?

Udugu simamia haki na kile unachokiamini, hao wapuuze.

Safari ya ukombozi haijawahi kuwa nyepesi watatokea wavurugaji..!!
Ahsanteee mahiii, ngoja tuamke tupiganie kile tulicho kianzishaaaa.
Mapambano yaendeleee, tchao.
 
Hii ndio shida ya washauri wa CCM, hembu fikiria ni vingapi vimedoda kwa akili zako, hakuna shuhuli ya uchumi inaendelea leo, gharama ambayo Serikali imeingia leo kwa ishu ya kuzuia MAANDAMANO, fikiria na Kesho tena wakihamasishana kwamba waandamane, hata kama hayatanikiwa lkn shuhuli za Uchumi zitasimama, hatutakiwi kutoa dhihaka kwa mtu yyt hapa, tutafute suluhu ndio jawabu.
Moja ya vitu walivyopanga ni kuparalise Serikali kiuchumi, hali ikiendelea hivi wiki hata wewe unayekebehi hapa utalia, CCM kuweni na akili, huu sio muda wa kebehi, kebehi ndio zimefikisha hapa Taifa, sasa tuwe serious kutafuta dawa ya kudumu, ni ushauri natoa maana binafsi leo nimepoteza kikao muhimu sana pengine life yangu ingeboreka zaidi na ninaamini sio mimi Tu, wengi leo uchumi umesimama.
Narudia tena ni mawazo yangu maana naiona hasara kubwa huko mbele.
 
Mbona kejeli sana?
Hawa watu hawafikri vizuri, hii nguvu iliyotumika wamefikiria imegharibu kiasi gani cha fedha, Uchumi unazama wao wanakebehi, binafsi kama hali itakuwa shwari nitaambia vijana asanteni kwa kutoandamana na sio kuwakejeli, Jeshi/Polisi wamejaa road halafu unasema MAANDAMANO hayajafanikiwa, akili za kijinga sijapata kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…